Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Unaonekana unaringa sana wewe, halafu ni much know na mjuaji mjuaji hivi, pia huna heshima na ni jeuri! Sasa ulimkataa wa nini na wakati ulimnenea kuwa unataka kumtambulisha?
 
Sio mapepo kweli hayo?
 
Hiki kitabu kama unacho soft mkuu nakiomba tafadhal
 
1 Timotheo 4:
1 Timothy

1 Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani;

1 Now the Spirit expressly says that in latter times some will depart from the faith, giving heed to deceiving spirits and doctrines of demons,


2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;

2 speaking lies in hypocrisy, having their own conscience seared with a hot iron,


3 wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na vyakula, ambavyo Mungu aliviumba vipokewe kwa shukrani na walio na imani wenye kuijua hiyo kweli.

3 forbidding to marry, and commanding to abstain from foods which God created to be received with thanksgiving by those who believe and know the truth.


4 Kwa maana kila kiumbe cha Mungu ni kizuri, wala hakuna cha kukataliwa, kama kikipokewa kwa shukrani;

4 For every creature of God is good, and nothing is to be refused if it is received with thanksgiving;


5 kwa kuwa kimetakaswa kwa neno la Mungu na kwa kuomba.

5 for it is sanctified by the word of God and prayer.
 
Hii kitu ninayo pia. Hapa nipo njiani natoka Mwanza na ndio mara ya kwanza kufika ila nafeel kwa baadhi ya sehemu kuwa nilishawahifika. Absursly enough hata kuna baadhi ya mazungumzo yetu ni kama nilishawahi kuyafanya kabisaaaaa. Nilipohisi hivyo kuna mada moja niliianzisha ila kabla hajarespond nikamalizia na response yake. Alishangaa sana dogo. Sasa leo ndio nikaona nianze kugoogle. Thank God nimeangukia jukwaa la nyumbani (JF)
 
Hii ilinitokea wakati nafanya paper ya NECTA form 6 2002. Nilikaa na maswali 3 ya History Paper 2 nikawqfuata wabobezi wa History nikawaambia nina wasiwasi sana hayo maswali yatatoka. Tuliyasovu kwa umakini sana, huweziamini kesho yake tunayakuta maswali in the same order I sorted in my rough paper. Jamaa walihisi nilikuwa nina gaka. Ila it never happened again hadi namaliza chuo.

Ila juu ya hilo nahisi kuna connection na certain powers, maana wakati huo huo wa mtihani, History 1 sikumaliza mtihani nikifanya maswali 3½ badala ya matano and I was so desparate.
Nahisi huwa nina nguvu flani nikiwa in desparate moments maana nina matukio zaidi ya hilo la mtihani.

Mwaka 2012, mradi niliokuwa nausimamia ofisini ulisitishwa. In the meantime vikao vya harusi yangu vinaendelea na sina kazi kabisaaaa. Jioni ni moja nimekaa najiwazia sana juu ya hilo suala, wakati napika kopo la chumvi likaangukia kwenye sufuria la ugali nililoloweka. Nikaamua kwenda dukani kununua chumvi dukani. Nikiwa njiani narudi nakutana jamaa akanipa mchongo wa kazi kuwa nipeleke CV ofisini kwao. Jamaa sikuwa na mazoea nae kivile zaidi ya salamu na kujuliana hali kijuu juu. Nilipopeleka CV, siku hiyo hiyo nikapigwa interview na tulikuwa watu 6, nilifaulu interview na kuanza kazi.

2016 nilichukua mkopo Mkubwa benki nikafanyia ujenzi nikiamini mwezi wa 7 tungepanda vyeo (hapa tayari nimeajiriwa serikalini). Ndio likaja zuio la serikali ya awamu ya 5 kutopandishwa watumishi vyeo. Niliishi maisha magumu sana kwa miezi miwili.
Siku hiyo nimekaa kuna mtu akanipigia simu akanipa mchongo mmoja wa consultancy in part time basis, nikawa napata pesa nzuri tu ikichanganywa na mshahara. Kazi nimedumu nayo hadi COVID inaingia wale wazungu wakasepa, na miezi sita mbele deni langu likaisha.

Sijajua hii kupata solution in desparate moment kama ni power au Qudra za Mwenyezi Mungu.
 
I was walking 7miles in each Sunday to get good meals at Kshna temple. Maneno ya stive jobs katika hotuba yake 2005 Stanford University.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Imani ni ukweri unaosababishwa na struggling ya kutafuta tulikotokea ili kupata utulivu wa nafsi japokuwa hata kwa kupapasa papasa. Na wakati mwingine kutokana na matatizo yetu yaliyojuu ya fikra za binadamu majibu yake yanapatikana kwa Imani na dini ipo siku nyingi Sana toka enzi na enzi Matendo ya mitume 17:22-24.
 
Ukisoma Bibilia kitabu Cha Yushua Sura yote ya 24 hasa Aya ya 2 na 15. Utaona ukweri kwamba Mambo ya Imani ni kitambo Sana Ibrahim aliitwa kuanzisha Imani ya Kristu. Hivyo aliitwa akatoka kwenye Imani na inazihilisha Imani zilikuwapo toka kitambo zaidi. Umenena vyema Kuwa Kuna two power and both work ( power of lightness and darkness). Sasa ishu ni kwamba power of darkness end yake ni mbaya na power of lightness Ina end nzuri. Kumbuka Mambo ya meditation yako hata katika ukritu hata kwa wakatoriki japokuwa wengi wetu hatujari kufatilia zaidi. Sasa dini ya kweri ni ipi ambayo ndiyo ya lightness?. Mimi mkatoriki muumini wa kawaida tu sijapitia hizo Imani zingine hivyo sizijui Sana but mkatoriki nilibahatika kusoma katekisimu bubwa ya wakatoriki Mambo mengi na misingi kidogo ya ukatoriki nikaifahamu.
Kwangu Mimi Safari ya Ibrahim Hadi Wana wa Islaeri Hadi kuzaliwa Yesu na mitume kutimiza kazi ya kuanzisha jumuiya ya ukiristu imegubikwa na swala na struggle ya ipi ni dini ya kweri Yani lightness Kati ya
Hizo nyingi zilizokuwapo toka 300k kabla.
Nawe Sasa nakuuliza ipi ni dini ya kweri baada ya kujifunza dini nyingi???

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…