Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Paskali, nashkuru kw mjadala huu ulivoanza, huenda pia ndo somo lenyewe lilivohitajitokeza. inaelekea tupo wengi tunalipenda. you're a public figure na huenda una address ambayo hutajali tukiitumia kukupata. naona tuko wengi, turushie au tufanyeje kukupata privately? telepathically huenda tumekupata - tenda miujiza ...au?
 
Naomba kujua kuna post ulisema pale kisutu secondary kuna temple la monks je bado lipo hapo?na hawa monks wana uwezo wa kumtibia mtu?
Yes na sio moja, yako several!. Hawa monks, japo they are very powerful, lakini hawatibu kwasababu uwezo wa kujitibia unao, uko ndani yako, wanachokifanya wao ni kuku convert wewe ujitibu mwenyewe na kuzuia usiugue tena. Wana nyoa vipara "shaven heads" wana vaa vitambaa vya Orange.

Wanachofanya waganga na waganguzi ni kuzifungulia powers zako za uponyaji huku wakijifanya ni wao ili uwarudie!.
P
 
HIzo temple zingine kwa dsm ziko wapi?
Samahani kwa maswali😊
 
Niliwahi kwenda kwa mganga akanifusha kwa sufuria la maji ya moto yenye mchanganyiko wa majani, lakini kuanzia pale nikaaza kuumwa kweli kweli nikawa nahisi vitu vinatembea mwilini kama radi!

Hii inaweza kuwa ni nini?
 
Kunakitu nimejifunza nanilikiuwa sikitambui juzi kati tarehe 23.05.2023 nilikuwa nafungulia vifaranga vyangu vyenye kama miezi kadhaa ila kuna kifaranga mmoja nikamtazama nafsini nikasema huyu haponi atakufa kilichotokea hayakupita masaa matatu yule kifaranga akabebwa na mwewe ukawa mwisho wake

Wakuu embue niwekeni sawa kuhusu hiyo power inaitwaje naninaweza vipi kuitumia
ASANTENI
 
Mimi mara nyingi inanitokea hii Kwa mfano nikiwa nimelala mtu akiingia chumbani najua kama Kuna mtu na nikishtuka kweli Kuna mtu unakuta ameingia na ya pili nikiwa natembea mtu akiwa ananiangalia bila mm kumuona nikigeuka basi unakuta kweli alikua ananiangalia unakuta anaangalia pembeni kama ananikwepa je na mm pia na nguvu ndani yangu au na je zinaitwaje kama ni nguvu eti bro pasco mayala
 
Hata Mimi Pananishinda Sana Hiki Kipengele Eti Unakufa Alafu Unaamkia Mwili Mwingine,Sasa Hapa Waafrika Tukifa Tuaamkia Mwili Wa Kiafrika Na Wazungu The Same Sio [emoji28]
Hii iko hivi:

Kila Roho ina makusudi ya kuwapo hapa Duniani!

Roho fulani inaweza kuwa na Mission ya Muda Mrefu ktk kuikamilisha!

Roho iyo ya namna hiyo inaweza kuchakaza miili zaidi ya Mmoja...na hii ni Substitution method ambayo Roho moja yenye mpango wa muda Mfupi lakini iko kwenye mwili wenye umri mdogo na afya pia unakuwa substituted na long time missioned Soul....

Hiyo siyo re incanation but rather a substitution!

Kuhusu Psychic..

Ni kwamba kila Mwanadamu ana Misuli inaitwa Psychic muscles...

Misuli hii iko na nerve zake connected ..

Misuli hii ukiifanyia mazoezi na ukiihusisha vizuri na Nerve zake basi unaweza kuibua nguvu za ajabu...!
 
I wish ungetutajia jina ya hicho kitabu na mwandishi wake
 
Hapo kusema shetani hakuumbwa na mungu unakosea Tena unapotosha

Labda nikupe elimu moja

mungu anazo nguvu zote za mwanga na Giza na asili ya nguvu zote zinatoka kwa mungu
Na shetan ni moja ya viumbe vilivoumbwa na mungu ni miongon mwa majini

IKO HIVI
wanadam ote wamepewa nguvu Ila nguvu zao zinatofautiana hii tunaiita nyota kitaalam
Inategemea na Kila mtu na nyota yake
Na wapo wanadam Wana nguvu nyingi na uwezo mkubwa kuwazid hata majini

Kwaiyo hizo ni nguvu zilizojificha ktk mwili wa binadam

Mfano wapo watu wanaweza wakawaza jambo alafu baadae likatokea

Au mtu anaweza kukwambia jaman Kim naondoka alafu baadae likatokea tukio hatak baada ya yeye kuondoka

Hizi ni nguvu za Siri ambazo wanadam wanazo na zinatofautiana baina ya Kila mtu kutokana na nyota ya mtu

Wapo watu ambao Wana nguvu za kiroho Zaid mfano mtu anaeza akaota jambo alafu likatokea hivo hivo ni Kama manabiii na watu wema

Na wapo watu Wana nguvu za kuona vitu vibaya usku visivooneoana kwa macho ya kawaida

Kwa kifupi
Kila mwanadam anayo nguvu ktk mwili wake
Lengo la nguvu hizi sio zitumike vibaya hapana lengo ni kumlinda mwanadam mwenyewe ijapo Kuna wengine huzitumia vibaya

Na ndo Mana walimu wanaogopa kuwafunza watu jinsi ya kuamsha nguvu hizi Mana wanahofia watakuja kuleta madhara kwa wengine

Na miongon mwa elimu ambazo zimekatazwa kujifunza ni hizo sababu matokeo yake mwanadam akijifunza atahitaj kufanya practice ( kujalibu)
Huku kujalibu huku ndiko huleta mazara Mana ikitokea mtu akakukwaza kidogo utataka umnyooshe kupitia nguvu zako

Kidin hailuhusiw na ni makosa kujifunza hayo ikiwemo, ramri, uchawi, meditation
Hayo yote ni mambo ya nguvu za Giza

Meditation
Hiki ni kitu ambacho watu hukiona Cha kawaida lakn ni jambo BAYA Sana mtu akizama humo huenda akawa mbaya Zaid lakn ni kitu ambacho kinahitaj utulivu wa Hali ya juu wasio na nguvu ya kutuliza akili hata wafanye meditation MWAKA haitoleta chochote lakn wako binadam ambao ubongo wao uko na nguvu ya kukusanya mambo na kuyaeka pamoja hao wakigusa tu week bas huona mabadiliko

SO NDUGU ZANGU SIWASHAULi KUJIFUNZA HAYO SJUI KUIBUA NGUVU ZA SILI NI MAMBO MABAYA AMBAYO YAMEKATAZWA LIZIKA NA ULICHONACHO BAS
 

Mkuu Mungu hakumuumba Shetani.

Chukulia mf. Huu Jeshi limempa mafunzo ya kijeshi The Mona katika misingi ya kulitumikia taifa, baada ya mafunzo ya muda mrefu na kuhitimu, The Mona akaamua kuhasi jeshi na taifa kwa ajili ya kuyataka madaraka ya nchi kinyume na sheria za nchi (mapinduzi) je hapa jeshi litakuwa limemtengeneza muasi The Mona? Hapana kwa nini? Lilimtengeneza The Mona kama mwanajeshi mzalendo.

Hivyo Mungu hakumuumba shetani, alimuumba Malaika kisha malaika akaasi, kwa hiyo mwanzo Mungu hakumuumba Malaika mkaidi (shetani) alimuumba malaika mtiifu ( Lucifer).

Ukiiweka kwa mtazamo huo utaona ni jinsi gani Mungu hakumuumba shetani.
 
Same sh!t just different day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…