Mkuu umeuliza maswali mazuri,
Niwaombe mods waruhusu chalenge kwa pasco na wafuasi wake tusijenge Taifa la ndio mzee
Mkuu Eiyer, nakuomba sana usilazimishe mambo!, hapa sio nyumba ya ibada!, naomba tufanye appontment kule jukwaa la dini, nikupige somo!, usijekujikuta na wewe ndio hao wamuabidia shetani aliyejidisguised kama Mungu, ndio maana unababaika sana!. Issue ya shetani aliumbwa na nani usiifanye a very big deal!, nilikuuliza huko nyuma, jee unaujua mwanzo wa Mungu?!, jee unaijua source of powers za Mungu?!, Jee unaujua mwanzo wa shetani?!, kama ulifundishwa kuwa shetani aliumbwa na Mungu, na ndiye aliyempa hizo nguvu za kushetani tufuindishi na sisi tujue!. Nilikuuliza baada ya shetani kuasi kule kwa Mbinguni, jee unajua ni kwa nini Mungu hakumuangamiza?!. Jee unajua Mungu alituumba sisi binadamu kwa mfano wake?!, jee huyo shetani baada ya kumdanganya mama Yetu Eva na kumshawishi kumuasi Mungu!, unajua alifanywa nini?!. Baada ya Kaini mtoto wa kwanza wa Eva, kumuua ndugu yake Abeli, unajua alifanywa nini?!.
Kwa maana hiyo jinsi Mungu aliupenda ulimwengu, hadi akamtoa mwanaye mpendwa wake anayependezwa naye kuja kuuokoa ulimwengu from what!, yaani huyu shetani ni nani haswa hadi Mungu kumtoa kafara mwanaye?!, kwa nini asingemuangamiza shetani na yote yakaisha!.
Nakushauri kwa mambo usiyoyajua ukidhani unajua, bora jikalie kimya, acha watu tufungulie watu milango ya kumtambua shetani na kumuepuka!, huku tukiwaacha watu mliojifungia katika box la shetani, akiwaaminisha yeye ndio Mungu, huku mkiamini!, bila kuwa elightened!, utajikuta unamtumikia shetani bila kujijua!.
Sio lazima kuchangia, fuatilia tuu uzi huu ukifunguka, utakuja kunishukuru nimekuokoa!.
Kipimo cha kwanza kwa wanaomwabudu shetani bila kujijua, Yesu wa ukweli akitajwa, watataka kukuzuia usimtaje!. Huyo Roho Mtakatifu mnaotaka kuzuia tusimtaje ndio hizo powers zenyewe na kufanya kila kitu!, neno Roho Mtakatifu likiwa ni jina tuu, the essence is powers!.
Nitamtaja Mungu!, Nitamtaja Yesu, Nitamtaja Roho Mtakatifu kwa ajili ya wale waaminio, na kwa kwa wasio waaminia, nitawaruhusu kuitumia imani yoyote wanayoiamini kuifungua milango ya "powers from within!".
Pasco!.
Pasco anatumia biblia hiohio unayotumia wewe na kwa madai yake ni mkristo safi kama wewe.Tatizo Pasco anajificha kwenye kivuli cha dini. Kwamba kila anayehoji asili ya nguvu hizi anaendekeza udini, bali yeye haoni kuwa anafundisha ushirikina kwa kutumia Biblia Takatifu. Yaani apotoshe maandiko halafu tumtazame tu. Shetani huwa haanzishi jambo jipya bali ana-twist maandiko.
Tatizo Pasco anajificha kwenye kivuli cha dini. Kwamba kila anayehoji asili ya nguvu hizi anaendekeza udini, bali yeye haoni kuwa anafundisha ushirikina kwa kutumia Biblia Takatifu. Yaani apotoshe maandiko halafu tumtazame tu. Shetani huwa haanzishi jambo jipya bali ana-twist maandiko.
Nimelazimisha mambo gani?Mkuu Eiyer, nakuomba sana usilazimishe mambo!
Who said so?, hapa sio nyumba ya ibada!,
Kwanini?naomba tufanye appontment kule jukwaa la dini, nikupige somo!,
Hili ni sehemu ya mada yako?usijekujikuta na wewe ndio hao wamuabidia shetani aliyejidisguised kama Mungu,
Kubabaika maana yake nini?ndio maana unababaika sana!.
Wewe huoni kama ni big deal?Issue ya shetani aliumbwa na nani usiifanye a very big deal!,
Utaendelea kushangaza kama utakuwa huelewi uzito wa haya unayoongea hapanilikuuliza huko nyuma, jee unaujua mwanzo wa Mungu?!, jee unaijua source of powers za Mungu?!,
Simple,Jee unaujua mwanzo wa shetani?!,
Nishakujibu tayarikama ulifundishwa kuwa shetani aliumbwa na Mungu, na ndiye aliyempa hizo nguvu za kushetani tufuindishi na sisi tujue!.
Kwani hujui ni adhabu gani Mungu aliyomuandalia?Nilikuuliza baada ya shetani kuasi kule kwa Mbinguni, jee unajua ni kwa nini Mungu hakumuangamiza?!.
Najua hiloJee unajua Mungu alituumba sisi binadamu kwa mfano wake?!,
Hakuna alichofanywajee huyo shetani baada ya kumdanganya mama Yetu Eva na kumshawishi kumuasi Mungu!, unajua alifanywa nini?!.
Narudia tena haya maswali yako hayaeleweki lengo lakeBaada ya Kaini mtoto wa kwanza wa Eva, kumuua ndugu yake Abeli, unajua alifanywa nini?!.
Sababu si umeiandika mwenyewe hapo juu?Kwa maana hiyo jinsi Mungu aliupenda ulimwengu, hadi akamtoa mwanaye mpendwa wake anayependezwa naye kuja kuuokoa ulimwengu from what!,
Your mixing things hereyaani huyu shetani ni nani haswa hadi Mungu kumtoa kafara mwanaye?!,
Hili swali linaonesha wewe hujui ukristo kabisakwa nini asingemuangamiza shetani na yote yakaisha!.
Sitaki ushauri wakoNakushauri kwa mambo usiyoyajua ukidhani unajua, bora jikalie kimya, acha watu tufungulie watu milango ya kumtambua shetani na kumuepuka!, huku tukiwaacha watu mliojifungia katika box la shetani, akiwaaminisha yeye ndio Mungu,
Hizi trick zako tunazijuahuku mkiamini!, bila kuwa elightened!, utajikuta unamtumikia shetani bila kujijua!.
Nilichokifanya na ninachokifanya mimi na wengine kuwafunulia watu udanganyifu wako na wapo waliokuja kushukuru hapaSio lazima kuchangia, fuatilia tuu uzi huu ukifunguka, utakuja kunishukuru nimekuokoa!.
Yesu wa kweli ni Yupi?Kipimo cha kwanza kwa wanaomwabudu shetani bila kujijua, Yesu wa ukweli akitajwa, watataka kukuzuia usimtaje!.
You may be right here,lakini usichokijua wewe ni kuwa unadhani kuna nguvu zinazotumika tu hovyo hovyo biula kutumia kanuniHuyo Roho Mtakatifu mnaotaka kuzuia tusimtaje ndio hizo powers zenyewe na kufanya kila kitu!,
Nguvu gani zinazotumika bila utaratibu?neno Roho Mtakatifu likiwa ni jina tuu, the essence is powers!.
Go on brother,i can not stop you because i don't have that authorityNitamtaja Mungu!, Nitamtaja Yesu, Nitamtaja Roho Mtakatifu kwa ajili ya wale waaminio, na kwa kwa wasio waaminia, nitawaruhusu kuitumia imani yoyote wanayoiamini kuifungua milango ya "powers from within!".
Pasco anatumia biblia hiohio unayotumia wewe na kwa madai yake ni mkristo safi kama wewe.
Sasa badala ya kumu attack yeye unachotakiwa ni kuleta point za ku challenge anayoyasema!
Kumshambulia yeye binafsi kunaonyesha udhaifu wako ktk kulijua andiko.lako mwenyewe!
Sisi hapa tusiokuwa wakristo tunaangalia movie! Tuone starring atakufa saa ngapi!?
Teh teh teh teh teh.
Mathay 7:1 inasema "Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi."
Kwa nini inasema hivyo. Mstari unaofuata (ambao kwa kutojua au makusudi umeuacha) unasema "Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa."
Kwa hiyo mstari huu unaonge hukumu ya kinafiki a sio hukumu ya kweli kwa kuwa Yesu mwenyewe alihukumu, Yohana Mbatizaji akahukumu na mitume wote walihukumu so..!?
Biblia haiko vague juu ya nani ataenda mbinguni. Kila aliitae jina la Bwana ataokoka. Kwa hiyo hata kama Hitler aliliita jina la Bwana haitakuwa ajabu kumkuta mbinguni! Mungu si Pasco wala Mtangoo
Nahisi una matatizo fulani wewe! Yaani huoni ni kwa jinsi gani andiko hili limeuhusisha Ukristo moja kwa moja na ushirikina? Hebu ona hiyo nukuu ya Pasco hapo juu halafu ulete ubishi wako tena. Jifunze kusoma between lines.
Narudia tena, kufuatia ushuhuda alioutoa Pasco katika maandiko yake humu jamvini, hastahili kujiita mkristu. Kabla sijaja kwenye swala lako la kuhukumu (kichaka cha waovu), nitakueleza mkristu ni nani;
Wakati unadhani kwamba kuwa mshirika wa kanisa fulani (mf. Katoliki) ni kuwa mkristo, ukweli ni tofauti kabisa. Wakristo wote wamo katika kanisa ya Yesu Kristo, lakini si kila mshirika wa kanisa ni mkristo. Hawa ndio wakristo wanaokusudiwa na biblia takatifu:
Mathayo 28:19 ..... Basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu; 20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi.......
Yeyote anayefanyika mwanafunzi wa Yesu Kristu kwa kushika yale yote aliyoagiza huyo ndiye mkristo. Hebu soma tena:
Matendo 11 : 26 .....Hapo Antiokia ndipo waamini waliitwa 'wakristo' kwa mara ya kwanza.
Kumbe kuhudhuria kanisani, au kujitangaza wewe ni mkristo haitoshi hata kidogo, bali msingi wa ukristo ni kuyaishi mafundisho ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Kuhusu kuhukumu:
Andiko hili linatoka katika injili ya Mtakatifu Mathayo 7 : 1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.
Andiko hili limekuwa likitumika kama kichaka cha watenda maovu kukwepa kurudiwa. Na hii inafuatia tafsiri potofu kabisa, nje ya kile Kristo alichokikusudia. Kwa nini?
Kusudio la Kristo hapa ni kwamba usihukumu kama wewe mwenyewe hauko safi. Kwa lugha nyingine ni sawa na kusema, usihukumu wengine, vininevyo na wewe uwe tayari kuhukumiwa nao. Ndio maana mstari unaofuatia unasema:
2 Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa
kwamba ukimwambia mwenzio aache wizi hali wewe pia ni mwizi, atakuhukkumu kwa hukumu hiyo hiyo, au ukimshambulia mwenzio kwa kosa la uzinzi wakati wewe pia ni mzinzi, atakugeukia wewe pia. Hivyo unapomhukumu mwenzako wewe pia uwe tayari kuhukumiwa.
3 Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii?
4 Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe?
Hapo maana yake safisha kwanza mwenendo wako ndipo uwe na moral authority ya kunyooshea kidole wengine. Ni sawa na Papaa Msofe aanzishe kampeni ya kupinga utapeli, wakati watu wengi wanamchukulia yeye ni tapeli aliyekubuhu.
5 Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
Na hiyo red ndio msingi mkuu wa fundisho hili, kuacha unafiki. Ndio maana anamalizia kwa kusema itoe kwanza boriti... ndipo umtoe na mwenzako kibanzi. Hivyo haijakatazwa kwa namna yoyote ile. Tunapaswa kuikemea dhambi ili shetani akimbie. Kufundisha vinginevyo ni kuwapoteza wana wa Mungu.
Kwenye hoja:
Alichokifanya Pasco ni kumkana Kristo wazi wazi. Kusema Jina la Yesu halina nguvu yoyote kuponya bali ni nguvu iliyo ndani yako ni kumtupa nje Kristo. Sasa kama bado unabisha itakuwa ni tatizo lako binafsi.
Nadhani kilichoandikwa kimejibu swali hili
Hapa nakuchalenji soma biblia, ni swali basic sana hili.
hiyo ni hyponesis ya kuwadanganya watu,Yesu akuponye ilo pepo
hiyo ni hyponesis ya kuwadanganya watu,Yesu akuponye ilo pepo
Hili linaweza kuwa sawaMkuu Bona, hili ni swali la msingi sana, kuna wanaojua sana dini humu, lakini hawajibu!. Ukijibu wanakuja juu!.
Sambamba na swali hili, dini zote hawaruhusiwi kuuliza Mungu ni Nani?, wala kuuliza mwanzo wake!, wala hawaulizi Roho Mtakatifu ni nani, wala hawaulizi mwanzo wake!.
He!!!!!Kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu, kulikuwepo na Powers, hizo powers ndizo Mungu. Hana mwanzo, hana mwisho, yeye ni Alfa na Omega!.
Hii umeitoa wapi?Huyu Mungu alikuwa na wasaidizi, waitwao Malaika, kati ya malaika hawa, malaika Mkuu kabisa kuliko wote, mwenye madaraka makubwa karibu kabisa na Mungu, aliitwa Luciferi. Huyu alikuwa na karibu nguvu zote sawa na Mungu, ila alikosa nguvu mbili tuu, Uumbaji, na Utoaji Roho!.
Ndio maana nakuambia wewe ni mpotoshaji kabisaYaani Lucifer kama malaika Mkuu,
Hivyo viwango vya fulani alikuwa wa tatu na sijui nani wa ngapi umevitoa wapi?alikuwa na uwezo wa kufanya kila Mungu anachofanya, isipokuwa hakuwa na uwezo wa kuumba, wala kutoa roho!. Malaika wa tatu kwa ukuu aliitwa Gabriel!, wa nne Mikaeli, malaika wote waliobakia hawakutajwa kwa majina!.
Kama huji jambo ni bora ukauliza uambiweHakuna mahali popote palipoelezwa Mungu aliwaumba hawa malaika akiwemo Luciferi!.
.Hivyo mwanza wa Mungu ndio mwanzo wa Malaika!
Kwanza ni nguvu gani anazo?Malaika huyu Mkuu, Lusiferi, akaendesha uasi mbinguni kwa kuandaa jeshi la malaika kutaka kuyatwaa madaraka ya Mungu, baadhi ya malaika ambao ni watiifu kwa Mungu wakiongozwa na Gabrieli, hawakukubali kuasi!. Vikapiganwa vita kati ya jeshi la Mungu na jeshi la Luciferi, jeshi la Lusiferi likashindwa, hivyo ndivyo Lusiferi akapewa jina la shetani!, akatupwa duniani kuja kutafuta wafuasi!. Haikuelezwa popote kama alinyanganywa hizo nguvu!.
Nimeshakuonesha hapo juu kuwa shetani aliumbwa na naniShetani aliumbwa kama malaika mtakatifu (haikusema aliumbwa na nani), Isaya 14:12 inampa Shetani jina kabla aanguke kuwa nyota ya alfajiri. Ezekieli 28:12-14 inamwelezea Shetani kuwa, aliumbwa awe kerubi, kawaida malaika mkuu. Aligeuka na kuwa mkali kwa ajili ya urembo wake na cheo chake na akaamua kuwa aketi kwenye kiti kilicho juu ya Mungu (Isaya 14:13-14; Ezekieli 28:15; 1 Timotheo 3:6). Kiburi cha Shetani kilimfanya aanguke. Kumbuka usemi wa wengi "nita" katika Isaya 14:12-15. Kwa sababu ya dhambi zake, Mungu alimfukuza Shetani kutoka mbinguni na kumtupa duniani!.
Kwanini husemi kuwa utawala wake ni wa muda?Shetani akawa kiongozi wa ulimwengu na mfalme wa anga (Yohana 12:31; 1 Wathesalonike 3:5), na mwongo (Mwanzo 3; 2 Wakorintho 4:4; Ufunuo Wa Yohana 20:3). Jina lake linamaanisha Mwenye "majanga" au "mpingamizi." Majina yake mengine ni, Ibilisi kumaanisha "mdanganyaji."
Kuzidi Mungu?Hata kama alifukuzwa kutoka mbinguni, bado anazidi kujinua kiti chake juu ya Mungu.
Unayajua ya Mungu wewe?Anayageuza yale Mungu anayafanya,
Hiki tumekisoma kwenye makala za devil worshipers mara mia kidogoakitumaini kuabudiwa na ulimwengu na anatia tumaini kwa pingamizi zote za ufalme wa Mungu.
Dini ni nini?Shetani ndiye ako nyuma ya dini zote za uongo na dini za dunia akijipretend ni Mungu!.
Hivi wewe unadhani unazungumza na watoto hapa?Shetani atafanya na kila kitu katika uwezo wake ili ampinge Mungu na wale wote wanaomfuata. Ingawa hatima ya Shetani imewekwa muhuri kuwa tanuru la moto milele (Ufunuo Wa Yohana 20:10).
Sheria ni nini?Kitabu cha Kumbukumbu la Torati kimeweka sheria zote na jinsi ya kuabudu!.
Na wewe ni mmoja waoKuna dini nyingi duniani zinamwabidu shetani bila masikini waumini kujua!.
Ambayo wewe unaipingaUkijisomea Bibilia Takatifu, huku umetulia, utafunuliwa tuu na kuijua kweli,
Hakuna ushirika kati ya nuru na giza wewehivyo kama uu miongoni mwa waabudu shetani bila kujijua, utafunguka na unaweza kuamua kubadilika, au kuendelea kuabudia nyumba za Ibada zile zile, huku moyoni mwako unamwabudu Mungu wa Kweli!.
Wewe si umesema hawezi kufanya kila kitu?Mungu alipotuumba, alituumba kwa mfano wake, akatupulizia pumzi ya uzima ambayo ndio source ya hizi nguvu tulizo nazo za kutenda mema, na miujiza na kutenda kila kitu!. Kwa vile shetani naye yuko duniani, naye ananguvu na kufanya kila kitu,
Anaendaje kuomba kibali kwa ambae hakuhusika na mwanzo wake?Kuna wakati huwa anazungumza hata na Mungu kabla ua kuleta majanga na huwa anapata kibali cha kufanya hayo majanga mfano ni kwa Ayubu!.
So what?Hata Yesu alipokuja duniani, kuna wakati Shetani alimjaribu.
Kwaniniusitafute kitu kingine cha kufanya ukaachana na hii mada yako ya kitoto?Katika nguvu tulizopewa na Mungu, pia tumepewa uwezo wa kujitambua na kuzitambua hilo zote za shetani. Bila kuwa na uwezo huu, unaweza kabisa kujidhania unamwabudu Mungu wa kweli, kumbe sivyo, bali unamwabudu shetani, ibilisi na mwisho wa siku, utateketezwa nae kwenye jehanum ya milele!.
Tabia yako ya kuzungumza mambo bila ushahidi watu watakuona kama vile unapiga story za kwenye kahawa na kashata tu,huna ushahidi wowoteKwa vile Mungu ni onmipresence, vivyo hivyo shetani naye ni omni present!,
Hadi unatia uvivubinadamu wote ambao hutenda mema, hutumia nguvu za Mungu, na wote watendao maovu hutumia nguvu za shetani!.
Umejuaje haya?The dividing line between nguvu za Mungu na nguvu za shetani is very thin!, the only diference ni Nguvu za Mungu ni freely na unconditional, hazina masheri yoyote zaidi ya kuamini tuu!. Nguvu za shetani ni conditional, kwamba uli zipate lazima ufanye hiki, na kile!.
Hakuna aliekuambia uwatozeMafunzo ninayoyatoa humu ni free, freely na unconditional, na nguvu hizo wote tunazo ila tuu hatujaziamsha!.
Unadhani shetani anadhihirika kwa vitisho kama vyako hivi?Usikute hata hizi juhudi zinazoendelea humu watu kuogopa zisifunuliwe, inaweza kabisa kuwa ni kazi ya shetani, nawahakikishia zitashindwa!, watu watafunuliwa na watatenda miujiza!.
Mkuu ulishajaribu kupitia pitia hivi vitu lakini ukajua ni kwa nini unaviita pepo?
Hivi Eiyer ni kwa nini mara nyingi ukiulizwa swali ambalo wengi tunasubiria jibu ni lazima useme "Narudia tena haya maswali yako hayaeleweki lengo lake
Huenda ukiniambia leng lake kwenye mjadala huu na maswali niliyokuuliza naweza kupata hamu ya kukujibu"??
Tahadhari: maswali kama "mara nyingi ni nini?", wengi ni akina nani?" sitayajibu.