Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Hapa ndipo kwenye tatizo kubwa kabisa na nyinyi ambao mko limited to the Bible!. Haya mambo yamefanyika miaka 300,000 kabla ya Kristu!, issue ni kuamini!, nguvu hizi tulipewa kabla hata ya ujio wa Yesu!,.
Kwenye thread start nimeweka links za dini zote ambazo zinafundisha hizi powers ikiwemo Christianity!
Pasco
 

Mbona hiyo Imani haikuwaponya wale vipofu wao kama wao mpaka wakamwamini Yesu ndo wakapona???
 
Hapa ndipo kwenye tatizo kubwa kabisa na nyinyi ambao mko limited to the Bible!. Haya mambo yamefanyika miaka 300,000 kabla ya Kristu!, issue ni kuamini!, nguvu hizi tulipewa kabla hata ya ujio wa Yesu!. Unayakumbuka mambo ya Musa?, Shadrarck Metili na Abednogo?, Sodoma na Gomora?, Noah, Ayubu, Yusufu, Dudi, Suleimani etc!. Hawa wote walitumia jina la Yesu?!.

Nawaombeni sana tusiendelee kugombana kumhusu Yesu, wale wenye imani ya Kikristo, mwaminini Yesu, wengine wote, amini unachoamini, nguvu ziko ndani yako!.
Pasco.
 
Mbona hiyo Imani haikuwaponya wale vipofu wao kama wao mpaka wakamwamini Yesu ndo wakapona???
Kinachoponya ni imani!, where there is a will, there is a way!. Hao ambao hawakupona, hawakuwa na imani, kwa vile nguvu ziko ndani yako, haijalishi uko wapi, huko huko ulipo, unapona!.

Hata wale watenda miujiza kwenye TV, wale mnaonyeshwa wamepoma, ndio wenye imani!. Kinachoponya ni imani iliyoko ndani yako!. Kule kutajiwa "Ni katika Jina la Yesu!" huo ndio ufunguo wa kufungulia hazina ya nguvu za Mungu alizotuwekea, ili zifunguke, zifanye mambo. Hata Wasio mjua Kristu, wanazo nguvu hizi kwa kadri ya imani zao, kwa sababu Mungu Muumba ni mmoja tuu, haijalishi unaamini nini!.
Pasco.
 

Mkuu shida si kwamba napinga uwepo Wa Hizo nguvu na ninalielewa sana Hilo fungu.
Shida ni pale unapomlinganisha Mungu na shetani Na Kusema kua Mungu hakuwaumba malaika na Kusema Adam na Eve tunda walilo kula si tunda la mti na mpaka Yesu kuzaliwa na mama yake bila kuingiliwa ni kukwepa dhambi Ambayo Adam na Hawa waliifanya. Pamoja na mambo mengine Ambayo unadai yamo kwenye bible!

Kwahiyo hiyo Ndio shida! Shida si kwamba napinga nguvu unayo zungumzia ila tatizo unachanganya mambo ya kidunia na maandiko.
 
Ha ha ha ha ha hata mimi ninazo enh?
Yes you have them, kila mtu anazo!, hatua ya kwanza kabisa ni kujitambua kuwa you have the powers kufanya kila kitu!, kupata kazi nzuri, pesa nzuri, nyumba nzuri, gari zuri, mke mzuri, maisha mazuri, just name it, belive it, and get it!, as simple as that, bila masharti yoyote!. Wengi wenye mafanikio, wamefanikiwa kwa sababu ya kuamini wanaweza, ila wengi wanafanya siri za mafanikio yao, ili wengine wasijue.
Just open the powers doors and windows za nguvu zako, zitoke zifanye mambo!.
Pasco.
 

Yesu alikuwa nazo?
 
Mkuu Mtuzu, you can never tell things you've never known!. Maadam mwisho wa uelewa wako wa Mungu ni kwa mujibu wa Biblia, then usibishie kuhusu uwepo wa Mungu miaka milioni 100 kabla ya Ukristo!. Kule juu nimekuwekea vitabu mamia kwa maelfu ujisomee mwenyewe!, why limit your self only kwenye Bible?!.

Nimekuamba na nitakuambia tena na tena, maadam wewe unamjua tuu Mungu kama Mwanzo na Mwisho, bila kujua his source of power, na unajua tuu kuwa shetani alikuwa malaika mkuu mwenye nguvu next to God, na aliitwa shetani baada ya kuasi, kama unazijua sababu kwa nini Mungu hakum destroy there and then kama iliandikwa mahali Mungu alimuumba tuu shetani enzi zile akiwa malaika lakini sasa akiwa shetani, amemuacha uavuruge ulimwengu!, na kwa jinsi hii Mungu, ameupenda ulimwengu hadi kumtoa Mwanaye wa pekee, aje kuukomboa dhidi ya shetani!, bado tuu hutaki kuelewa!.

Nimewaeleza humu shetani ni very tricky, kuna watu bila kujua, wanajidhania wanamuabudu Mungu!, kumbe masikini wa Mungu, hawajijui!, wanamuabidu shetani ambaye anaji pretend ni Mungu, na watu hao wanatoa mapepo na miujiza wanafanya ila sii wa Yesu!.
Haya mambo ya Mungu na shetani naomba tuyaache, lets concentrate on powers za Mungu za kutenda mema!.
Pasco.
 
Mkuu Pasco mimi nimekulewa sanaaa!!!! Mimi kama Mkristu huwa nazitumia hizo power kwa jina la Yesu....Nimepata somo zuri sana.....
Mkuu Tedo, There you are!, tuanzie hapo twendo mdogo mdogo, ili na wengine wenye imani kama yako, wazitumie!. Unazo zipi na unazitumiaje?!.
Pasco.
 
Mkuu Tedo, There you are!, tuanzie hapo twendo mdogo mdogo, ili na wengine wenye imani kama yako, wazitumie!. Unazo zipi na unazitumiaje?!.
Pasco.

Mkuu katika uzi wako sijafuatilia sana ila nimesoma first page...

Mimi katika maisha yangu ya kimasomo sijawahi feli hata siku moja....Ninaposema hili somo limenifungua ni kweli limenifungua...

Mf. Kipindi nikiwa nasoma naweza nikasali kuomuomba Mungu anioneshe sehemu ya kusoma ambapo maswali yatatoke kwenye mtihani... Amini usiamini kuna kitu kinaniambia fungua page hii au soma handout hizi.......Kesho kwenye mtihani nakuta kama ilivyo....Hata kama sitakumbuka vizuri basi huenda hiyo sehemu ya kusoma niliyooneshwa niliiona na mimi labda nikaipuuza.....

Kuna wakati watu walikuwa wakinifuata niwaoneshe sehemu za kusoma maana nilikuwa nikuambia soma hapa usiposoma basi swali lazima litoke hapo....

Nilikuwa naogopa sana maana watu walishaanza niamini na utabiri wangu..
 
Mbona una hasira sana we mzee ni Mungu yupo unamtetea kwa kauli chafu hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…