Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?


Hizo Unazoguess Sisi Tunaziita Satanism (Magic Spells), (Ndani Ya Black Magic = Witchcraft Iliyopo Kwa Devil Au Satan..

Sisi Tunazongumzia.. Psychic Powers(nguvu Za Fikra Au Nguvu Za Ziada The Same Tukisema Nguvu Kutoka Ndani Yako),:
Ambazo Tumeamua Kuzifundisha Hapa Ni God's Power Light Power, Wengine Huziita Truth Au Right Powers The Most Strongest Powers From Human...
Kama Unataka Dark Powers Hili Sio Eneo Lake Na Atakae Tuletea Chanting Bila Kutuelewesha Tutampinga... Nipo Na Pasco Hapa..!

#Rakims
 
Of koz, u don't have that capability bcoz u too stupid.

U Can Do Anything What Anybody Do Bt It Depend How You Want It... Naona Kakwambia Ukweli Umeona Umtusi We Kaa Pembeni.. Hata Hayo Unayoyataka You Can Get Them Through Psychic Powers.. Ungejifanya Hujui Tungekujuza Jinsi Angalau Hata Ku Bett Token Za Jackpot Lakini Umemvunjia Heshima Mmoja Kati Yetu Hupati Kitu Hapa Na Utaendelea Kusoma Madudu Hivi Hivi... Hufai Hata Kufundishwa Powerful Methods Unaonekana Ukipata Utanyanyasa Watu So Move Away.. Mind Your Own Sh*ts...

"And Make Sure You Got Ur Sh*ts Together Before Talkin' Abt Smbody Else Sh*ts" Angalizo Kwa Watu Kama Wewe....
Samahani Kama Nimekukwaza
We Still The Home Of Great Thinkers....

#rakims
 

Tunashukuru Kwa Mchango Na Karibu Tena!

#rakims
 
Mkuu RAKIMS hao watu wanatumwa na wachungaji ambao endapo darasa hili litafanikiwa ni zahili wataumbuka kwani ndizo njia wanatumia kuwahadaa waumini,Sa huyu mtu asikupotezee muda wa kuumiza akili yako pia kuandika,mi nikuombe kitu kimoja tu,mtu yoyote akiandika upuuzi usijibu Bali endelea na darasa lako,Sisi wanafunzi na wengine wengi tu pamoja na wewe.....hao wengine ni waharibu jukwaa.....Asante kwa kunielewa....!!
 
Hizo Unazoguess Sisi Tunaziita Satanism (Magic Spells), (Ndani Ya Black Magic = Witchcraft Iliyopo Kwa Devil Au Satan..
'Kuzima taa' na 'kutaka maisha mazuri' upi ni ushetani..duh, nyie watu mnahitraji deliverance! Nikiwa na maisha mazuri ntaweza kusaidia watz wenzangu kuwalipia ada, matibabu nk..huko kuzima taa kutamsaidia nani???
Sisi Tunazongumzia.. Psychic Powers(nguvu Za Fikra Au Nguvu Za Ziada The Same Tukisema Nguvu Kutoka Ndani Yako),:
ambazo sijaona mantiki yake..refer first post above.
Ambazo Tumeamua Kuzifundisha Hapa Ni God's Power Light Power, Wengine Huziita Truth Au Right Powers The Most Strongest Powers From Human...
Sijaona mafungamano na Mungu, maana ktk kupekua kwangu vitabu vya dini sijapata kuona elimu ya haya mazingaombwe.
Kama Unataka Dark Powers Hili Sio Eneo Lake Na Atakae Tuletea Chanting Bila Kutuelewesha Tutampinga... Nipo Na Pasco Hapa..!

#Rakims
Mazee una shida kubwa sana ya uelewa.
 

Busara ingekuongoza kuacha wanaofundishana haya mambo waendelee na wewe chukua hamsini zako kwani sherehe hujaalikwa kibwaya wamvalia nani?tafuta wamakonde wakwambie maana ya neno lipyoto halafu ujilinganishe nae kisha tuone kama inafaa kuendelea kuleta hojazako kwenye uzi huu au utaanzisha uzi,wako tofauti na huu.
 

ahsante kwa kunielewesha mkuu..

#Rakims
 
Of koz, u don't have that capability bcoz u too stupid.

Wewe ni mwanaume kamili kweli? mpuuzi mkubwa ww, mbona unakuwa na mambo ya kike sana, unaonekana unapenda sana kufatilia mambo ya wa2 embu mind yo biznes bwana, kuwa makini mjini hapa utaolewa kaka, punguani mkubwa wewe.
 
Mkuu Pasco, Rakims na MziziMkavu dk kama 10 zilizopita nimetoka ndotoni kuota kuna mtu alikuwa ananifundisha spell sasa sijua no za kichawi au vipi, akanipa kitabu nisome wakati nakisoma na kumfatilizia jinsi alivyokuwa anasema nikaweka kitabu pembeni, ma kufanya kitu kingine kuja kukuangalia tena nkakuta ile page imeshafunga nilipojaribu kuitafuta sikuweza kuiona ndio nikashtuka usingizi na huku nikipata hisia ya kusisimua ya moto inashuka kuanzia kwenye mabega mpaka maeneo ya kiuno(upande was mgongoni)

Kuna anayeweza kunitafsiria hii ndoto?Thanks in advance
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mega Pixel, mimi sio mfasiri wa ndoto, labda Rakims na MziziMkavu watasaidia.
Ila kwa utangulizi hiyo ilikuwa ni ndoto ya ukweli, ulikuwa ufundishwe magical spell fulani!, but you also have powers ndio maana uliweza kukiweka hicho kitabu pembeni!, ile page haikujifunga!, ilifungwa!.
Pasco.
 
Mkuu Andrew, asante kutia mguu panda hizi!, kwa kumbukumbu zangu japo sina hakika dana, ila nakumbuka wewe ndio mtu wa mwanzo kabisa kulete humu somo la meditation humu jf, [h=3]Default meditation - Jamii Forums tangu March, 2009!. Hapa nawakumbushia tuu kiduchu!.[/h]Pasco
 

Mkuu Kabla Sijakujibu Swali Hii Tafafanua Kidogo Ila Taomba Unijibu Haya Kwanza Ili Nikupe Jibu La Uhakika...
1: Ulifanya Nini Kabla Ya Kulala?

2: Mara Ya Kwanza Kuzisikia Magic Spells Ulizisikia Wapi?

3: Tofauti Na Ndoto Uliyoota Ulishawahi Kuota Ndo Ipi Unayoikumbuka?

4: Huyo Mtu Alikuwa Na Umbo Lipi?

5: Ulivyolala Ulikuwa Umevaa Nguo Gani Rangi Gani? na Shuka Gani?

6: ulikula Chakula Gani Cha Mwisho Na Saa Ngapi Ukalala?

Ukinijibu Hayo Takupa Jibu La Uhakika.. Maana Kwa Hapo Zimeingiliana Aina 3 Za Uelewa,

1: Dark Power

2: Brain Power

3: Light Power..!

Dark- vile umedai ni spells,

Brain - vile umedai ni ujoto ulishuka mpaka kiunono..

Light - kwanza Hongera Unapower Inaitwa Mediumship - contact with spirits vile umedai ni mtu anakufundisha.. Hii Ni Ule Uwezo Wa Mtu Kuongea Na Majini, wadudu/wanyama au Backup Ya Watu Waliokufa Zamani....

Nipe Jibu Hapo La Maswali Hayo Ndio Takwambia Japo Mediumship Ukiifungua Vibaya Waweza Kuwa Mchawi Au Ukifungua Vizuri Waweza Kuwa Tabibu(mganga/mzee wa upako) au Tajiri......

#Rakims
 
Last edited by a moderator:

Thank you mkuu Pasco . je unavyoona Mimi nitakuwa na powers za aina gani hapo?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Rakims

Baada ya kutoka kazini na kufika nyumbani 11 Jioni nilikula chakula maana ckuweza kupata mda wa kula mchana

1. Nilikaa na kuangalia movie na kuchat, jf, n.k(mpaka dk ya mwisho kwenda kulala)

2. Magic spells nimesikia kwenye movies,(circles, vampire Diaries na the originals)na nna kama mwezi sijaangalia movies za aina hii

3. Nshawahi kuota nnakula nyama na washkaji zangu nnaowajua, na hata hii ndoto ya Jana pembeni kulikuwa na marafiki zangu nnaowafahamu. Kipindi cha nyuma kama miaka 6 nilishaota ninatoka (chumbani kwangu) na kuacha choo cha ndani kwenda kukojoa cha nje servant quota, wakati nafungua mlango was nje nkakutana na mtu kajivika manguo meupe kashikilia grill ya mlango Mimi nkakimbia kurudi ndan ila nkashindwa kufungua mlango wa kuingia chumbani kwangu kwa kuwa weak ndipo niliposhtuka.(nnaota Mara nyingi ndoto za kawaida hizi no baadhi ya zilizowahi kunisisimua)

4. Alikuwa ana umbo la kawaida ana mwili kiasi

5. Nilikuwa nimevaa boxer ina rangi mchanganyiko(blue ndo nyingi, njano kijan, nyekundu kwa mbali)

5. Nilikula viazi vya kukaanga na nyama rosti (saa 4, nkalala SAA 6)


Nb: huwa nna kawaida ya kusali kabla ya kulala na Jana sikusali

Thanx mkuu
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Pasco kuhusu powers kipindi nipo form 6 nilikuwa na girlfriend wangu nikamuambia kuwa nna wish by the time naenda kwenye graduation ya kumaliza chuo niwe nimepata mtoto guess what...ikawa hivyo,

nshawahi kuota uncle wangu aliyekuwa anasafiri siku inayofuata kwamba kapata ajali lakini kapona na kweli alivyosafiri alipata ajali na akapona sikutaka kumwambia mtu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco na Mzizimkavu nadhani na mimi nina power flani maana macho yangu yana uwezo wa kujua kitu kitokeacho baadae ingawa si kwa undani kama jicho langu la kushoto likicheza najua nitapata pesa na inatapatikana kweli kwa miaka mingi tu na jicho la kulia likicheza najua ni mkosi,ugomvi au kipigo na lazima itokee naishi hv kwa miaka mingi sasa na imekua kawaida kujua kama ntapata bahati njema au mbaya kupitia macho yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…