Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

vitu mnavyozungumzia nyinyi ni vitu tofauti,..uponyaji wa ki MUNGU upo plain,na kama huamini katika njia za MUNGU ni ngumu kuaminishwa,.but miujiza mnayosema ni mazingaombwe tu na si hasili ya mtu kuwa nao ndani,..mbona huu uzi hamuleti mirejesho kuwa munatoa mapepo na munaponyesha watu kwa kuzitambua hizo nguvu mlizo nazo milini mwenu,.....
ni upuuzi kujadili vitu visivyo na msingi,na mantiki yoyote pasi kuwa na faida
 
... .. .na ni upuuzi pia kuchangia mada ya vitu visivyo na msingi na mantiki yoyote pasipokuwa na faida
 
Hicho kitabu kinaitwaaje
 
Habar Jf members!.
Pia heshma kwenu wataalam/walimu mliojitolea kutoe elimu ya meditations hapa Jf.
Kuna hali flan imenistua wakati nameditate kutaka kuelekea 3rd eye. Nlipokua nameditate macho yakawa na yanatetemeka/kupepesa kwa nguvu na kutaka kujifumbua nlipojizuia kufumbua yakafunga kwa nguvu ya ajabu na kukawa kama giza kubwa na kuhis yamejifunga kwa nguvu kubwa lakn baada ya mfup yakajiachia na nikawa katka hal ya kawaid ya kufumba macho. na hapo ni kama naanza upya kama mwanzo. Imenitokea mara 2 na sijui kwanin!. Je ni hali ya kawaida au ni matatizo?. Naomba walimu mjitokeze kunipa ufafanuzi kuhusu hili kwa maana imenistua hadi naogopa kuendlea na hii kitu.
 



Pasco dadavua hapo unaposema bora maskin happy kuliko tajiri happy.
 

Mshana jr sasa kama wewe mwenyewe uliona yanapingana na imani yako it Means siyo mazuri kabisa.why muwaincoirage wengine wayapractise? An ndo upinga mungu?
 


NIMEKUELEWA NA NDO MWANA WEWE ULIFAULU INTERVIEW NA KUWASHINDA WALE PHDS
 
Umeipingaje Ida96
Mkuu malaria ilikuwa inanisumbua sana mkuu miaka ya nyuma ilikuwa kila baada ya miez mitatu lazma niugue
Ila nilipofuatilia uz huu bas nikawa kila nikihs dalili za malaria nazkemea mkuu kwa jins yoyote na hata unikute utajua hakika naumwa lakn mi huwa nakana kuwa siumwi
Huwa kunakuwa kuna power aina mbili mkuu mwili unakuwa unahis kuwa moja kwa moja naumwa ila akili naifanya ikir kuwa mimi ni mzima na siwez kuumwa kwa kuwa huu mwili si wamaradh
Basi kwa mda tuu nakuwa niko sawa na cjiskii tena homa mkuu
 
Mshana jr sasa kama wewe mwenyewe uliona yanapingana na imani yako it Means siyo mazuri kabisa.why muwaincoirage wengine wayapractise? An ndo upinga mungu?
Acha presha mkuu... Hayo Mambo yalinifanya nianze kuchunguza uwepo wa Mungu na Mwisho wake nilikuja kugundua Binadamu ndio walitengeneza Mungu... na ni fact tupu hata wewe Chunguza utakubaliana na mimi kabisa... Ni Story Hakuna aliyemuona hajawahi Ongea na Mtu zaidi ya Watu kujidai tu na kuja na Imaginationa zao ambazo hata wewe unaweza kuzifanya ukaja na yako... ndio ukawa mtindo wa kila mtu anakuja na lake mwishowe wakajiamulia kujiwekea vitabu na kuviita vya Dini Biblia,Koran na vinginevyo wakiona sasa yatosha... Enzi hizo Ukipinga Unauliwa tu ilikuwa ni Amri kulazimishana utake usitake... watu walipoujua ukweli na kukataa wakawa Free wakaenjoy Life... Enzi hizo Dini inapinga karibu kila kitu... Jiulize utapata Majibu and Then Uje useme Dini inaruhusu nini na nini.... Mwishowe utaona ni Usanii mtupu na wala hauna Ushahidi wowote zaidi ya kukimbilia vitabu hivyo hivyo vya Hadithi.

Uptdate: Mnisamehe niliowakwaza Nimeamua Niamnini Uwepo wa Mungu.
 

Duuuhhhh tena..... Kazi ipo binadamu walitengeneza mungu why binadamu wawe wanakufa? Jaribu wewe kumtengeneza binadamu...
 

Pasco jiridhishe haraka ulete mrejesho.mimi kupractise mbado Sana mpaka nielewe positive na negative output
 
Duuuhhhh tena..... Kazi ipo binadamu walitengeneza mungu why binadamu wawe wanakufa? Jaribu wewe kumtengeneza binadamu...
Wanakufa sababu wana expire but mbinu za kujirekebisha zinaendelea kila siku na watafanikiwa tu....

Hivi kwa kushangaa kwako Duuuuh kuna mtu alishakuonesha Mungu... au kakuambia anafananaje? na yeye kamuona au source yake walimuona? am sure huwezi pata ushahidi wowote zaidi ya story tu kupita kwa yule na yule...
 
Duuuuuh mbinu zipo,watafanikiwa,it Means hawajawahi kumtengeneza hadi Leo.jaribu wewe kumtengeneza binadamu hata mmoja
Kazi kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…