Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Mkuu kwanza naomba nikukaribishe katika uzi huu, kwa vile hii ni post ya 1572, na nawaelewa Watanzania wengi ni wavivu kusoma, hivyo hujaweza kusoma nini kilisemwa huko nyuma, kwa sababu hayo maswali yako yote yaliishaulizwa kule nyuma na yalijibiwa, ila kwa faida ya wengi, na wengine kama wewe ambao ni wavivu kusoma, nitajibu tena!.
Kwanza karibu uzi huu,
"Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu ya Miujiza Ya Uponyaji kwa Imani
Wanabodi,
Huu ni muendelezo makala zangu kuhusu "works of powers", nguvu za kutenda miujiza, "psychic powers!", leo nitajikita zaidi katika nguvu za uponaji "faith healing!". Nitakuwa na maeneo yafuatayo.


  1. Faith Healing ni nini?.
  2. Faith Healing Inafanyikaje?.
  3. Nguvu za Uponyaji zinatoka wapi
  4. Je Wahubiri wa Uponyaji ni Lazima wawe Wakristu?.
vitu mnavyozungumzia nyinyi ni vitu tofauti,..uponyaji wa ki MUNGU upo plain,na kama huamini katika njia za MUNGU ni ngumu kuaminishwa,.but miujiza mnayosema ni mazingaombwe tu na si hasili ya mtu kuwa nao ndani,..mbona huu uzi hamuleti mirejesho kuwa munatoa mapepo na munaponyesha watu kwa kuzitambua hizo nguvu mlizo nazo milini mwenu,.....
ni upuuzi kujadili vitu visivyo na msingi,na mantiki yoyote pasi kuwa na faida
 
vitu mnavyozungumzia nyinyi ni vitu tofauti,..uponyaji wa ki MUNGU upo plain,na kama huamini katika njia za MUNGU ni ngumu kuaminishwa,.but miujiza mnayosema ni mazingaombwe tu na si hasili ya mtu kuwa nao ndani,..mbona huu uzi hamuleti mirejesho kuwa munatoa mapepo na munaponyesha watu kwa kuzitambua hizo nguvu mlizo nazo milini mwenu,.....
ni upuuzi kujadili vitu visivyo na msingi,na mantiki yoyote pasi kuwa na faida
... .. .na ni upuuzi pia kuchangia mada ya vitu visivyo na msingi na mantiki yoyote pasipokuwa na faida
 
Pasco kuna kitabu niliwahi kukisoma zamani na kujaribu kupractise nikawa naona kama inakuwa kweli.ni vitu vya kawaida ila ni rahisi kutokuvifanya kwa kujisahau
Inahitajika kuupa ubongo chakula chake kikuu ambacho ni oxygen then utaongeza thinking capacity against mambo yanayokuzunguka.
Namna ya kulala,Kujenga imani,kupata utulivu wa rangi na fresh flowers vyote hufungua milango ya nguvu hizi
Pia kutoa kiasi ya ulichonacho kws wahitaji hukuongezea,hii niliijaribu nikiwa chuo na ika-work out siku hiyo hiyo.kwa kifupi huwezi kupata zaidi kama hutumii(refer Bill Gates)
Mtu anayepractise njia hizi ile kumtazama tumgonjwa anaweza kujua kama atapona au la..bila kujali muonekano wake wa nje
Hakika nilifikia mahali nikasema ukiacha bible that was my second favourite book...
Hicho kitabu kinaitwaaje
 
Habar Jf members!.
Pia heshma kwenu wataalam/walimu mliojitolea kutoe elimu ya meditations hapa Jf.
Kuna hali flan imenistua wakati nameditate kutaka kuelekea 3rd eye. Nlipokua nameditate macho yakawa na yanatetemeka/kupepesa kwa nguvu na kutaka kujifumbua nlipojizuia kufumbua yakafunga kwa nguvu ya ajabu na kukawa kama giza kubwa na kuhis yamejifunga kwa nguvu kubwa lakn baada ya mfup yakajiachia na nikawa katka hal ya kawaid ya kufumba macho. na hapo ni kama naanza upya kama mwanzo. Imenitokea mara 2 na sijui kwanin!. Je ni hali ya kawaida au ni matatizo?. Naomba walimu mjitokeze kunipa ufafanuzi kuhusu hili kwa maana imenistua hadi naogopa kuendlea na hii kitu.
 
Mkuu Mshana,
Nakubaliana na wewe, hata mimi kuna wakati niliishi India, nikasoma sana buthiism, na ku practice ayuverda na pranayaana hivo nika turn vegetarian, pia nimemsoma sana krishna, niliporudi bongo, nikajikuta nashindwa ku mix na watu wangu!, kwanza nilianza kuirudia wine, kisha kuendelea kupiga kinywaji na hatimaye kurudia nyama!.

Wakati wa practive ni kweli nilikuwa poweful, nikajikuta badala ya kuishi kwa raha kufuation high state of alert, unajikuta unaishi kwa mateso, mathalan unagundua baadhi ya watu waliokuzunguka wako kinyume na wewe!, au kuna hiyo siku wife alitoka party ya kazini, sixth sense imekuambia mwenzako "tayari" ili kukuzuga, ajajifanya yuko "high!" akihitaji huduma!. "Mzee" aligoma! lakini aliamshwa!, na kwenye "game" ilibidi ajitahidi sana na ku fake "kufika" mapema kuliko kawaida!. Kupitia mazoezi hayo, unaweza kudistinguish "kufika" kweli na "kufika" fake ili kunizunga!.
Unakuja ile genuine trust, love na happyness inayeyuka kwa kujua you are cheated!.

Hivyo info nyingine unaachana nazo for love peace of mind and tranquility ya mahusiano!.

Ndio maana ukiwachunguza matajiri wengi, utagundua they are not real happy!. Unaweza kuwajua kwa kuwatazama machoni!. Nimejiamulia bora kubaki masikini happy kuliko tajiri huzuni!. Na sometime ukifuatilia life stily za hao matajiri, licha kula dinner Kempinsky, hawa enjoy kama sisi tunakula chips vumbi!.
Wee acha tuu!.
Pasco.



Pasco dadavua hapo unaposema bora maskin happy kuliko tajiri happy.
 
Duh Kuna Mchizi naye miaka ya 1997 hivi alienda huko South mambo ya kibudha hayo hayo nadhani itakuwa kipindi hicho jamaa nadhani alienda trip ya pili hivi Tulimuita Stivo lazima mlikuwa naye japo kama kuna tetesi kuwa hakumaliza.. nakumbuka alikuwa anashauri twende maana ilikuwa ni free nikafikiria kunyolewa nywele dah... Mafunzo ya Kupinga Mungu si tatizo kwani ni mambo ya kusadikika sio issue

Mshana jr sasa kama wewe mwenyewe uliona yanapingana na imani yako it Means siyo mazuri kabisa.why muwaincoirage wengine wayapractise? An ndo upinga mungu?
 
Yes hii inawezekana na inafanyika kila siku kwa kujijua au bila kujijua. Mambo ya mawasiliano ya mind yanaitwa telepathy, ni rahisi zaidi kwa watu wa karibu wakiongozwa na identical twins, wanaweza kuzungumza baina yao kwa mind tuu, mume na mke wenye kupendana kwa pendo la kweli, 'spiritual love' pia wanazungumza kwa mind tuu, hata siku mume anahitaji, mke anapokea taarifa na kujiandaa, au siku mke anahitaji, mume anapokea taarifa, hivyo muda ukifika ni utekelezaji tuu!.

Mimi nikiwa kijana, na mambo ya ujana, nikienda kwenye sherehe, unamtazama sana binti unayemhitaji, huku umemkazia macho, atageuka macho yakigona tuu, unamwambia njoo kimoyo moyo!, kisha unaamka, unatoka nje, atakufuata, mnakwenda nyuma ya nyumba, michongomani, kwenye ngazi, msalani, maliwatoni au popote penye faragha, utamshika, utamvua nguo, utamaliza shida zako, utamwambia avae, utamuongoza kurudi kwenye sherehe!, na from that time, hawezi tena kukuangalia machoni kwa aibu ya kutokuamini mmetoka kufanya nini!.

Kwenye maisha ya kili hizi telepathy zipo kibao!. Mnaweza kuwa mnamzungumzia mtu fulani mara akaibuka!, mnaishia kumwambia "una maisha marefu!". Mara kibao unakwenda mahali mahali ambao hujawahi kufika hata mara moja, au unakutana na mtu na kujisikia kama uliishawahi kumuona mahali, hii kwa Kifaransa inaitwa "de ja vu". Mind yako inakuwa iliwahi kufika mahali hapo kabla ya mwili wako haijafika!, au mind yako iliwahi kufika mahali hapo kabla ya mwili.

Kuna baadhi ya mabingwa wa kusoma mind za watu, kwenye mitihani wanaibuka vipanga kwa sababu kila swali, atasoma majibu ya vipanga na kuandika majibu sahihi, hivyo kuoneka ni jiniasi, kumbe ni jiniasi wa kuibilizia kwenye mind za vipanga!.

Pasco


NIMEKUELEWA NA NDO MWANA WEWE ULIFAULU INTERVIEW NA KUWASHINDA WALE PHDS
 
Umeipingaje Ida96
Mkuu malaria ilikuwa inanisumbua sana mkuu miaka ya nyuma ilikuwa kila baada ya miez mitatu lazma niugue
Ila nilipofuatilia uz huu bas nikawa kila nikihs dalili za malaria nazkemea mkuu kwa jins yoyote na hata unikute utajua hakika naumwa lakn mi huwa nakana kuwa siumwi
Huwa kunakuwa kuna power aina mbili mkuu mwili unakuwa unahis kuwa moja kwa moja naumwa ila akili naifanya ikir kuwa mimi ni mzima na siwez kuumwa kwa kuwa huu mwili si wamaradh
Basi kwa mda tuu nakuwa niko sawa na cjiskii tena homa mkuu
 
Mshana jr sasa kama wewe mwenyewe uliona yanapingana na imani yako it Means siyo mazuri kabisa.why muwaincoirage wengine wayapractise? An ndo upinga mungu?
Acha presha mkuu... Hayo Mambo yalinifanya nianze kuchunguza uwepo wa Mungu na Mwisho wake nilikuja kugundua Binadamu ndio walitengeneza Mungu... na ni fact tupu hata wewe Chunguza utakubaliana na mimi kabisa... Ni Story Hakuna aliyemuona hajawahi Ongea na Mtu zaidi ya Watu kujidai tu na kuja na Imaginationa zao ambazo hata wewe unaweza kuzifanya ukaja na yako... ndio ukawa mtindo wa kila mtu anakuja na lake mwishowe wakajiamulia kujiwekea vitabu na kuviita vya Dini Biblia,Koran na vinginevyo wakiona sasa yatosha... Enzi hizo Ukipinga Unauliwa tu ilikuwa ni Amri kulazimishana utake usitake... watu walipoujua ukweli na kukataa wakawa Free wakaenjoy Life... Enzi hizo Dini inapinga karibu kila kitu... Jiulize utapata Majibu and Then Uje useme Dini inaruhusu nini na nini.... Mwishowe utaona ni Usanii mtupu na wala hauna Ushahidi wowote zaidi ya kukimbilia vitabu hivyo hivyo vya Hadithi.

Uptdate: Mnisamehe niliowakwaza Nimeamua Niamnini Uwepo wa Mungu.
 
Acha presha mkuu... Hayo Mambo yalinifanya nianze kuchunguza uwepo wa Mungu na Mwisho wake nilikuja kugundua Binadamu ndio walitengeneza Mungu... na ni fact tupu hata wewe Chunguza utakubaliana na mimi kabisa... Ni Story Hakuna aliyemuona hajawahi Ongea na Mtu zaidi ya Watu kujidai tu na kuja na Imaginationa zao ambazo hata wewe unaweza kuzifanya ukaja na yako... ndio ukawa mtindo wa kila mtu anakuja na lake mwishowe wakajiamulia kujiwekea vitabu na kuviita vya Dini Biblia,Koran na vinginevyo wakiona sasa yatosha... Enzi hizo Ukipinga Unauliwa tu ilikuwa ni Amri kulazimishana utake usitake... watu walipoujua ukweli na kukataa wakawa Free wakaenjoy Life... Enzi hizo Dini inapinga karibu kila kitu... Jiulize utapata Majibu and Then Uje useme Dini inaruhusu nini na nini.... Mwishowe utaona ni Usanii mtupu na wala hauna Ushahidi wowote zaidi ya kukimbilia vitabu hivyo hivyo vya Hadithi

Duuuhhhh tena..... Kazi ipo binadamu walitengeneza mungu why binadamu wawe wanakufa? Jaribu wewe kumtengeneza binadamu...
 
Milaho, masomo yalikomea hatua la pili. Zipo mpaka hatua 10. Kilichonifanya nisitishe dozi, ni ili kwanza mimi mwenyewe nijiridhishe kuwa I'm doing something good for the people, isije kuwa ni kweli, elimu hii ni ya shetani, hivyo kuwafundisha watu humu isijekuwa matumizi ya powers hizi kwa binadamu ni kazi ya shetani, nitarudi soon nikiisha pata clearance by listening from my self!, the inner voice!.
Pasco

Pasco jiridhishe haraka ulete mrejesho.mimi kupractise mbado Sana mpaka nielewe positive na negative output
 
Duuuhhhh tena..... Kazi ipo binadamu walitengeneza mungu why binadamu wawe wanakufa? Jaribu wewe kumtengeneza binadamu...
Wanakufa sababu wana expire but mbinu za kujirekebisha zinaendelea kila siku na watafanikiwa tu....

Hivi kwa kushangaa kwako Duuuuh kuna mtu alishakuonesha Mungu... au kakuambia anafananaje? na yeye kamuona au source yake walimuona? am sure huwezi pata ushahidi wowote zaidi ya story tu kupita kwa yule na yule...
 
Wanakufa sababu wana expire but mbinu za kujirekebisha zinaendelea kila siku na watafanikiwa tu....

Hivi kwa kushangaa kwako Duuuuh kuna mtu alishakuonesha Mungu... au kakuambia anafananaje? na yeye kamuona au source yake walimuona? am sure huwezi pata ushahidi wowote zaidi ya story tu kupita kwa yule na yule...
Duuuuuh mbinu zipo,watafanikiwa,it Means hawajawahi kumtengeneza hadi Leo.jaribu wewe kumtengeneza binadamu hata mmoja
Kazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom