vCTRMA
JF-Expert Member
- Jan 12, 2016
- 306
- 102
vitu mnavyozungumzia nyinyi ni vitu tofauti,..uponyaji wa ki MUNGU upo plain,na kama huamini katika njia za MUNGU ni ngumu kuaminishwa,.but miujiza mnayosema ni mazingaombwe tu na si hasili ya mtu kuwa nao ndani,..mbona huu uzi hamuleti mirejesho kuwa munatoa mapepo na munaponyesha watu kwa kuzitambua hizo nguvu mlizo nazo milini mwenu,.....Mkuu kwanza naomba nikukaribishe katika uzi huu, kwa vile hii ni post ya 1572, na nawaelewa Watanzania wengi ni wavivu kusoma, hivyo hujaweza kusoma nini kilisemwa huko nyuma, kwa sababu hayo maswali yako yote yaliishaulizwa kule nyuma na yalijibiwa, ila kwa faida ya wengi, na wengine kama wewe ambao ni wavivu kusoma, nitajibu tena!.
Kwanza karibu uzi huu,
"Will Powers!", "Faith Healing!"-Nguvu ya Miujiza Ya Uponyaji kwa Imani
Wanabodi,
Huu ni muendelezo makala zangu kuhusu "works of powers", nguvu za kutenda miujiza, "psychic powers!", leo nitajikita zaidi katika nguvu za uponaji "faith healing!". Nitakuwa na maeneo yafuatayo.
- Faith Healing ni nini?.
- Faith Healing Inafanyikaje?.
- Nguvu za Uponyaji zinatoka wapi
- Je Wahubiri wa Uponyaji ni Lazima wawe Wakristu?.
ni upuuzi kujadili vitu visivyo na msingi,na mantiki yoyote pasi kuwa na faida