Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
-
- #141
Mbeky, hili la Steve Jobs na Buddhaism silijui, ila powers hazina dini!. Ya india nitayawekea thread yake infuture ili nikiwa Dheli nilikuwa napost threads humu jf, sema sizikumbuki.Au kaka ndio maana Steve Jobs yule founder Apple Inc. Kabla ya uzinduzi wa Apple comptures alienda India kwanza kujifunza Buddahism na inasemekana Jobs hakuwa anapenda kuvaa viatu kama Monks. Je kwa elimu uliyoipata wewe uko South hizi dots nazojaribu kuziunganisha hapa zinaweza kuwa ndio mafanikio ya Steve Jobs na Apple kwa ujumla.
Kitu kingine kama ombi binafsi ebu endelea kutupa experince ya uliyojifunza India..na sehemu zote ulizawai pita vitu vipi vya kustajabisha na kufurahisha ulivyowai viona.
Na nimeshawai ona CNN hawa Monks wa Tibet wakijichoma moto hadhalani kama njia ya kudai uhuru wao kutoka China..hii inakuaje?
Kitu kingine mi ni mpenzi wa busara za Dalali Lama huyu kiongozi wa Tibet vipi nae anauwezo ka hao Monks wengine au ye kajikita kwenye politics tu
Mkuu Bufa, labda kwa wenye imani ya dini nyingine, sawa!, lakini kwa sisi Wakristo, "God is Power!", tumeumbwa kwa mfano wake!, hukaa ndani yetu na sisi ndani yake!, hivyo we have the powers!.Kwa yeyote anaetaka kujua zaidi kuhusu haya mambo kwanza kabisa inabidi ukubali Mungu hayupo maana haya mambo mostly yanapingana na imani tulizozizoea.
Unaweza kuendelea huku ukiamini Mungu yupo lakini jua doubts zako juu ya uwepo wa Mungu zitaongezeka greatly.
kiukweli mkuu mm naungana na ww ila nakupingana na ww pia .Kwa yeyote anaetaka kujua zaidi kuhusu haya mambo kwanza kabisa inabidi ukubali Mungu hayupo maana haya mambo mostly yanapingana na imani tulizozizoea.
Unaweza kuendelea huku ukiamini Mungu yupo lakini jua doubts zako juu ya uwepo wa Mungu zitaongezeka greatly.
Nimekipata kitabu cha Al Koran
Bring out the magic in your Mind
Kinapatikana amazon kwa hardcopy ama kindle soft copy..Nimenunua soft copy dolar 8..worth it though
Mkuu Sabayi, hawa monks wamevuka stage ya imani!, they are powers!. Kama hukujua unajua baada ya kukufuka Yesu iliishi wapi?. Alitembeaje?!. Alikulaje?, hayo ndio maisha ya hawa monks!, Yesu alitembea juu ya maji!, hawa jamaa wanatembea juu ya maji!. Yesu alikuwa akiibuka na kupotea, hawa jamaa wanatokea na kupotea!. Yesu alikuwa akitembea kwa kupaa!, hawa jamaa wanatembea kwa kupaa!. Ukristo ni wa juzi tuu! na Uislamu ni wa jana tuu, dini ya hawa jamaa ilikuwepo kitambo sana!.
Kwa hizi dini za zamani Hinduism, Buddhiism na Taoism, kuzilinganisha na Ukristu, ni kama mlima na kichuguu!.
Wewe ambaye umezaliwa kwenye kichuguu, umekulia kwenye kichuguu, na unaishi humo humo ndani ya kichuguu, nyie humo ndani ndio mmeambiwa hicho kichuguu chenu, ndio mlima mkubwa kabisa kuliko yote!. Kwa sababu unachikijya ndio hicho hicho kichuguu, hivyo kinakuwa ndio mlima mkubwa wako!.
Ili kuweza kulinganisha, inakubidi wewe sikumoja utoke humo ndani ya kichuguu itembee tembee huko nje, utakaouna mlima mkubwa, uuliza hilo dubwana ni nini?, utaambiwa huo ndio mlima mkubwa!, utashangaa na kuuliza huo utakuwa ndio mlima wakati umeelezwa mlima mkubwa ni ule wewnu wewe ulimotoka!. Ndipo utakapoambiwa mlima mkubwa ni huo unauona!, mule wewe ulimotoka sio kwenye mlima mkubwa, bali umetoka kwenye kichuguu tuu!. Ukilinganisha huo mlima na kile kichuguu sasa ndio utajua ulima ni upi na kichuguu ni kipi!.
Hivi ndivyo ulivyo Ukristu na hizi dini!. Nimekaa kidogo India, nimezisoma kidogo, ndipo nikagundua kumbe Ukristu ni kichuguu tuu!. Pamoja na ukichuguu wa Ukristo, ninaendelea kushikamana nao, ila when it comes to powers, powers zote ziko ndani yetu!.
Pasco.
Mkuu mwakibete, kwanza hongera sana!, you have the powers!. Kinachotakiwa sasa ni namna ya kuzidevep na kuzi channel uanze kuzitumia positively to make things happen!. Hilo la kuruka kwenye ndoto ni kuwa watu wabaya hufanya mambo yao usiku, wachawi huloga usiku, wanga huwanga usiku, etc, hizo unazoziona kama ndoto, ni uwezo wa kuwashutukia na hawakupati!, hawakuwezi!.Toka jana sijahama kwenye hii thread. Mkuu Pasco, Mimi huwa inatokea kupepea km ndege na mabawa yake mara baya linapotaka kunitokea dhidi ya maadui zangu. Nawaacha wakinishangaa nikipepea usingizin. Na pia kuna baadhi ya vitu, watu na maeneo mbalimbali huwa nafika, kuvijua au kuwajua kabla ya kukutana nao au kuviona physically. Na kuna wakati hujikuta kuna matukio yanatokea ktk real life nayakumbuka kama yalitokea before. Huwa nashangaa sana.
Kutokana na huyo shangazi yako kukuhitaji, ile statement ya "hotokufa mpaka nimuone", wewe bila kujijua, uli stop her death!. Hizi ni powers kubwa sana na hapo uliweza kuzi invoke kwa sababu you had no way, unahitaji kumuona shangazi ila huwezi kuacha mitihani!, the powers from within, zika open up, zikamzuia shangazi asife mpaka ulikenda, na ulipomuona, wewe bila kujijua, uka let it go, na shangazi alipokuona naye she let it go, the she was gone!, laiti ungelijue by then kuwa you have such powers, ungeweza kuzitumia sio kumuacha shangazi afe, bali hata kumponya!, unless alikuwa too old, and she needed to rest!. Powers to delay death ni sawa na powers to stop death, ni powers to perform miracles!.Ilishapata kutokea mara kadhaa kuwazungumzia watu vifo na ikawa ivo. Moja kuna shangazi yangu aliumwa kwa mda mrefu sana, akawa ananihitaji nikamuone, wazazi waliniimiza niende kumuona coz ananitaja sana na hawakuwa na uhakika na hata chembe ya kesho yake, by then nilikuwa form three na nikiwa ktk maandalizi ya mitihani ya annual km sikosei. Niliwaambia wazazi, anti hatokufa mpk niende kumuona. Ni kweli baada ya kimaliza mitihani nilienda kumuona na siku mbili badae akafa.
Hapo ni Death-warning - A vision of a living person prior to his or her death.Lingine kuna mtoto wa mama yangu mkubwa alikuwa anasumbuliwa na miguu. Nikiwa nimepanga kwenda kumuona kesho yake, usiku nikaona ameshakufa. Asubuhi nikamwambia mama yangu, naenda kuthibitisha, dada amefariki. Mama akasema ni ndoto tu. Nilipofika huko nilikuta wanatoa makochi nje, nikamuuliza bamkubwa hali ya mgonjwa,, kwa majonzi makuu akanijibu " dada yako ametushinda", nilistaajabu sana. Niliporud home kupeleka taarifa mama yang alibaki kunishangaa.
Huna haja ya kumuomba Mungu kukuepusha, bali kukuongaza, nguvu hizi zijidhihirishe wazi, uzitumie more positively more profitably zaidi ya kupambana tuu na wanga na wachawi, bali kuwatokomeza na hata ikibidi kutoa mapepo kwa wengine, kuponya, kuzuia vifo na kuleta mafanikio.Pia nilikuwa na uwezo wa kuona wanga na kujua usiku mbaya. Nimepigana na wengi. Ilishanitokea kipindi nikashindwa kulala usingizi japo wa lisaa kwa mwaka mzima. Nikaomba Mungu aniepushie kuona hayo coz nilianza kuogopa. Baadhi ya marafiki nilikuwa nikiwaambia yanitokeayo wakawa wanasema nawasimulia nigerian movies.
Hili la kusoma tuu vitabu kuwa makini sana!, kuna vitabu sio tuu vinafundisha kutumia nguvu hizi vuzuri, vingine vinapoteza, ikiwemo matumizi mabaya kuusaka utajiri!.Nilpotizama series ya Kyle XY nilipata funzo kwa kiwango fulani juu ya uwepo wa nguvu ndani yetu ambazo binadamu hatuzitumii.
Tupo pamoja katika hii thread.
kiukweli mkuu mm naungana na ww ila nakupingana na ww pia .
ujue hapa nimesoma coment za wadau hasa mkuu Pasco kiukweli mwenyewe kasema kuwa kuna mambo ya kimungu na kishetani na hizi power huwa zinapotea sana hasa kwakufanya mabaya na kila mtu huwa anazaliwa nazo sasa jinsi anapokuwa ndio huwa zinapotea sasa hapa ndio kwenye main point ukiangalia sana mtoto mchanga huwa anakuwa hana dhambi na hatendi dhambi sasa anapokoa shida ndipo huanza huanza kutenda mabaya na hasa machukio kwa mwenyezi mungu na ndipo nguvu hupotea na kama umesoma soma bible kuna sehem kunamistari inasema kama tungekuwa na imani japo hata kiduchu tuu kama punje ya mchanga (hadarani) hakika tungeweza omba moto toka mbinguni na ungeshuka.
ila sasa binadam asilimia 99 hatuna imani na mambo ya kumpendeza mungu ndio maana tunaangukia kwenye mikono ya shetani na wafuasi wake ndio maana hizi nguvu zinakuwa za kishetani lkn kama tungekuwa wacha mungu basi tungekuwa na nguvu za kimungu.
Hapana, Hinduis wana miungu kibao, miungu wakuu ni Shiva, Visnhu and Brahma, Buddhism wao waabudu sanamu ya Budha. Tao wanaabudu sanamu fulani fulani. Dini zote hizi hazimwamini Mungu tunayemwamini sisi, bali kwao ni cencerpt tuu!. Mimi nilipoishi India, nimeisoma kidogo Hinduism na Buddhism, ukizama sana, kama sio imara!, unaweza kutetereka maana huko ni manifestations of powers.Ubarikiwe kwa maelezo mazuri mkuu Pasco one more question
Waamini wa Hinduism, Buddhiism na Taoism Mungu wanayemwamini na kumtumikia ni huyu huyu tunayemwamini na kumtumikia Wakristo?
Hapana, Hinduis wana miungu kibao, miungu wakuu ni Shiva, Visnhu and Brahma, Buddhism wao waabudu sanamu ya Budha. Tao wanaabudu sanamu fulani fulani. Dini zote hizi hazimwamini Mungu tunayemwamini sisi, bali kwao ni cencerpt tuu!. Mimi nilipoishi India, nimeisoma kidogo Hinduism na Buddhism, ukizama sana, kama sio imara!, unaweza kutetereka maana huko ni manifestations of powers.
Pasco.
Mkuu MC RAS PAROKO, hii inatwa De-javu, yaani unakutana na mtu unajiona uliisha wahi kumuona!, au unafika mahali papya kwa mara ya kwanza, unajiona kama uliishawahi kufika hapo!.
Sababu kuu ni mbili.
1. Huwa unatembea kwa astra travel, hivyo huyo mtu umekutana nae huko, au hapo mahali ulipatembelea hivyo kumbukumbu zimehifadhiwa kwenye sub-concious mind yako, unapomuona au kufika mahali hapo, phisical mind inalink na sub-concious na hivyo kukujulisha ulishamuona, au mahali hapo uliishafika!.
2.Remote viewing - Gathering of information at a distance. Hii ni kuwa kabla hujafika hapo, mind yako imetembelea hilo eneo au imemuona huyo mtu kabla, hivyo unapomuona, unajiona uliisha muona au hapo mahali uliishafika!.
3. Kwa waumini wa Hinduisim, Buddhiisn na Krisna, wanaamini kwenye life after life na life before life katika kitu wanachoita reincarnation, hivyo hoyo mtu ulikutana nae katika life before, na hapo mahali ulifika kwenye maisha yako ya before, hivi hayo maisha yako ya sasa ni "after life!".
Pasco.
Hii Bullshit ni nzuri sana, bull akiwa ni mnene, hii shit pia ni nene!, inapowers pia ndio maana sisi tunaila kupitia mchicha, na unakuwa ni mtamu sana!, hivyo bullshit ni tamu sana!. Asante!.
Pasco.
Mimi ninazo 2:
- Astral projection: Nimewahi kuhama kutoka ndani ya mwili wangu kama mara 2 hivi, moja ni pale nilipokuwa natembea barabarani halafu nikajaribu kuhama kutoka kwenye mwili, nilipourejea nikaukuta umelala chini kwenye vumbi katikati ya barabara, sikufurahia tendo hilo zaidi ya kuogopa! Pili, ni pale nilipokuwa nimekaa kwenye kiti nikisikiliza mziki laini na kujaribu kuzama kwenye huo mziki na kuuacha mwili wangu ambao baadaye nilijikuta nimelala sakafuni!
- Hii ya pili bado sijaijua jina au haipo kwenye list hapo juu: Nina uwezo wa kuwaona watu walio uchi ambao wenzangu huwa hawawaoni kila ninapojaribu kuwaonesha, wamefikia mahali wanadhani mimi ni mchawi!
Nimeipenda mada hii, nadhani ni ukweli mtupu ingawa inaweza kuonekana kituko kwa wengine!
Na mimi navihitaji vitabu hivyo 0655608067
Mimi ninazo 2:
- Astral projection: Nimewahi kuhama kutoka ndani ya mwili wangu kama mara 2 hivi, moja ni pale nilipokuwa natembea barabarani halafu nikajaribu kuhama kutoka kwenye mwili, nilipourejea nikaukuta umelala chini kwenye vumbi katikati ya barabara, sikufurahia tendo hilo zaidi ya kuogopa! Pili, ni pale nilipokuwa nimekaa kwenye kiti nikisikiliza mziki laini na kujaribu kuzama kwenye huo mziki na kuuacha mwili wangu ambao baadaye nilijikuta nimelala sakafuni!
- Hii ya pili bado sijaijua jina au haipo kwenye list hapo juu: Nina uwezo wa kuwaona watu walio uchi ambao wenzangu huwa hawawaoni kila ninapojaribu kuwaonesha, wamefikia mahali wanadhani mimi ni mchawi!
Nimeipenda mada hii, nadhani ni ukweli mtupu ingawa inaweza kuonekana kituko kwa wengine!
Mkuu Utali, usemayo ni kweli, mimi nilifikia stage ya kujiungana Illuminati waitwa Rosecrusins, hawa ndio the most powerful of all, wanaweza kuchange their body vibration at will na kuwa invicible!. Tatizo lao wanataka kwanza lazima ufanyiwe ukubali kula kiapo cha usiri, ndipo ufanyiwe initiations ndipo uwe member!. Hili la kiapo na initiations liliniogopesha!. Freemasons ni cha mtoto!.
Kiukweli lazima uwe very selective, unatafuta powers zipi kwa sababu za Mungu na za shetani ziko hapo hapo from within!.
Pasco.
Toka jana sijahama kwenye hii thread. Mkuu Pasco, Mimi huwa inatokea kupepea km ndege na mabawa yake mara baya linapotaka kunitokea dhidi ya maadui zangu. Nawaacha wakinishangaa nikipepea usingizin. Na pia kuna baadhi ya vitu, watu na maeneo mbalimbali huwa nafika, kuvijua au kuwajua kabla ya kukutana nao au kuviona physically. Na kuna wakati hujikuta kuna matukio yanatokea ktk real life nayakumbuka kama yalitokea before. Huwa nashangaa sana.
Ilishapata kutokea mara kadhaa kuwazungumzia watu vifo na ikawa ivo. Moja kuna shangazi yangu aliumwa kwa mda mrefu sana, akawa ananihitaji nikamuone, wazazi waliniimiza niende kumuona coz ananitaja sana na hawakuwa na uhakika na hata chembe ya kesho yake, by then nilikuwa form three na nikiwa ktk maandalizi ya mitihani ya annual km sikosei. Niliwaambia wazazi, anti hatokufa mpk niende kumuona. Ni kweli baada ya kimaliza mitihani nilienda kumuona na siku mbili badae akafa.
Lingine kuna mtoto wa mama yangu mkubwa alikuwa anasumbuliwa na miguu. Nikiwa nimepanga kwenda kumuona kesho yake, usiku nikaona ameshakufa. Asubuhi nikamwambia mama yangu, naenda kuthibitisha, dada amefariki. Mama akasema ni ndoto tu. Nilipofika huko nilikuta wanatoa makochi nje, nikamuuliza bamkubwa hali ya mgonjwa,, kwa majonzi makuu akanijibu " dada yako ametushinda", nilistaajabu sana. Niliporud home kupeleka taarifa mama yang alibaki kunishangaa.
Pia nilikuwa na uwezo wa kuona wanga na kujua usiku mbaya. Nimepigana na wengi. Ilishanitokea kipindi nikashindwa kulala usingizi japo wa lisaa kwa mwaka mzima. Nikaomba Mungu aniepushie kuona hayo coz nilianza kuogopa. Baadhi ya marafiki nilikuwa nikiwaambia yanitokeayo wakawa wanasema nawasimulia nigerian movies.
Nilpotizama series ya Kyle XY nilipata funzo kwa kiwango fulani juu ya uwepo wa nguvu ndani yetu ambazo binadamu hatuzitumii.
Tupo pamoja katika hii thread.