Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Kuna ambao pia wanatumika kukamata wahalifu wa mauwaji kwa kuwasiliana na spirits za hao waliouwawa, huwa wanafika hadi eneo la tukio hata kama ni sehemu mwili ulitupwa au kufichwa/kufukiwa! “Psychic detectives”

However, huyo Uri Geller, ni just an illusionist! Self proclaimed psychic!
 
Hahahaa, hizo nyingi huwa ni coincidence tu.
Niliwahi "kuona" kifo cha mtu kabla hajafa. Ni mtu ninayemfahamu, sku moja nilijikuta najisemea nafsini tu "hana maisha marefu", atapata ajali ya pikipiki atakufa. Na kweli mwaka haukuisha huyo ndugu alikufa exactly nilivowaza, ajali ya pikipiki, tena na aina ya gari iliyomsababishia ajali ni ileile niliyowaza, tofauti ilikuwa eneo tu..ilikuwa umbali wa kilomita kama mbili kutoka pale mimi "nilipoona" ajali yake ikitokea. Kuna mtu alinipigia simu "fulani amepata ajali hali yake si nzuri", wala skushtuka, and I knew he wouldn't survive, he died a few hour badae...RIP. Jambo hili sijawahi kumwambia mtu yeyote yule tunayejuana, ispokuwa ndugu yangu mmoja tu, ambaye naye haamini katika miujiza.
 
Deja vu

Tafuta hiyo mada uielewe vizuri
 

Hio mkuu ndio ile watu huwa wanasema kwamba ukifa unazaliwa upya.....so labda wewe ni new version ya mtu aliyeishi miaka iliyopita
 
Wajinga ndio chakula cha werevu siku zote...
Hapo sioni lolote
 
Nikweli
Kabisa inabidi mkutane mfanye mambo makubwa jamanii
 
mi ninachokumbuka nguvu yangu, naoneshagwa kesho itakavyokua, na kweli kesho katika mizunguko yangu naweza ona kitu ambacho jana nimekiona ndotoni, alafu nasema hapa kutakua hivihiv baada ya muda huwa linatokea tukio nililolisema,,,. Pia nilishawahi tokewa na tukio nikiwa shule ya msingi. kituo cha magomeni hospital nilipanda basi kuelekea kawe, baada ya kama dk 15 ndani ya lile basi nikawa nimeshafika kawe, nikasikia konda akisema kawe kanisani, nikamwambia shusha, ile nashuka tu mara vuup najishtukia nipo magomeni palepale, japo hii si nguvu ya asili, nafikiri nilifanyiwa/nilipanda basi la wachawi, siisahau hii siku,
 
Pascal Mayalla nahitaji sana elimu hii sijui nitajuaje nguvu zangu ili niweze kufanikiwa.
 
Mshana na Pascal Naomba kusaidiwa nikiota uwa sikumbuki nilichokiota hata nikisituka muda huo huo.
 
kuna watu anamuangalia mbuzi machoni mpaka mbuzi anakufa au anaangalia kitu mpaka kinasogea
 
Hii huwa inanikuta na huwa nachukia sana... unaishi maisha ya kesho... unaota umekutana na fulani mahali fulani na rangi za nguo na mzingira the same na kweli inatokea.... Kwa akili yangu huwa naamini kuna spirit yuko ndani yangu sijui ... hutokea sana nikiwa nasali sana na kuacha dhambi... hadi huwa inaboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…