jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Kuna ambao pia wanatumika kukamata wahalifu wa mauwaji kwa kuwasiliana na spirits za hao waliouwawa, huwa wanafika hadi eneo la tukio hata kama ni sehemu mwili ulitupwa au kufichwa/kufukiwa! “Psychic detectives”Mamndenyi, kwanza hongera kwa kujitambua, na pili nakuunga mkono, hivi vitu sio vya kuvizingatia sana, ila pia sio vya kupuuzia!.
Kitu wengi wasichokijua, everybody has these powers, na hayo matumizi uliyoeleza, they are channels of power, ukiweza kuzicontroll na kuzidirect kukufanyia mambo mengine makubwa zaidi, unaweza, hizo unazotumia ni channel moja tuu ya communication, information is power, ukiwa na uwezo wa ku access information, then you can access vital info, and use it for your advantage!. Kuna Myahudi, Uri Geller yeye ni psychic, alianza kwa metal bending's kwenye sherehe mbali mbali, sasa hivi ni multi billionaire, anazitumia powers zake kufanyia dowsing, ya madini, Mafuta, etc kwa kupewa shares, makampuni ya madini na Mafuta, wana save a lot kwenye exploration kwa kumtumia huyu, anaelekeza exactly where to drill!.
P.
However, huyo Uri Geller, ni just an illusionist! Self proclaimed psychic!