Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Doh!! Sikua na maana ya kukuudhi ndugu yangu, wala hakuna alienituma kuja kujibu post yako...nilipokua napitia huu uzi moja kati ya sehemu zilizonivuta kuziongelea ilikua post yako..Mi nafikiri ingekua vizuri ukanishika kwa facts kuliko kunituhumu kua nimetumwa na kua nimevamia post isionihusu...Post yako ni debatable, mimi kutoa maoni yangu ( ambayo in some ways yameonekana kama ni conclusion na yana-infuriate ) hakukuzuii wewe kutoa hoja zako ambazo zitakinzana na zangu. Kama hutopenda kuendelea kujadiliana namimi I'll understand. Ni hayo tu mkuu.

Ha Haa Haaaa!

Teh teh teh!

Pole Mkuu...! Mzizimkavu huwa hayupo hivyo ila muda mwengine mnaboa hata ng'ombe Au Punda Ukimtandika Sana Inafikia Sehemu Anajihami Maana Quotes Hazielezi Hisia Za Mtu Utakavyo Isoma Ndio Inavyokupeleka Huko Huko....

think umeelezea kitu kwa kirefu... halafu kwa experience zako halafu mtu anatokea Anakwambia kimkato "HAPA HAMNA TU" Hata kama kuna Tusi Uliliacha 1993 Utalikumbuka umpe ili ajue dawa ya moto moto....

ungeweka hikma ya staili hii kwenye quote yako ya kwanza sidhani kama angekwambia umetumwa ni hayo tu.......

"Rakims"
 
Bwana pasco kujuwa kwingi mbele ni giza acha kuongea usichokijuwa...jifunze au tafuta watu wakufundishe maandiko matakatifu na siyo kuyapotoa namna hii...neema ya Mungu ikushukie umjue yeye aliyewapekee...

Kumwambia Hivyo Mtu Umemuacha Dilema,njia panda sheli au nata..... uzi wa pasco! quotes za pasco zipo kama 500 na sehemu hapa ipi unayomuongelea hapa?
kuna nzuri kuna mbaya wapi? emu mpe huo ufunguo uone kama hatotegua hilo kufuli.....
nimeshauri tu usije ukaniwashia moto maana mmmmnh!

"Rakims"
 
Kaka mbona umekuwa mkali ghafla? Hupendi changamoto?
Wengine changamoto zao zinaudhi hawajuwi jinsi ya kuchangia wao wanapenda kuleta maneno ya kuwaudhi watu wengine bila ya sababu. Inatakikana kwanza ujuwe jinsi ya kuleta changamoto sio maneno ya kuwaudhi watu wengine hukulazimishwa kukubali kila unachoambia Mungu amekupa akili itumie ipasavyo sio kuleta maneno ya kike hapa jukwaani.
 
Pole pole mkuu wala usijali. Sometimes we have to agree in disagree
 
Natamani kwenda NIGERIA nikasomee hii knowledge but kabla ya kwenda napenda nipate walau mwanga tu coz mim ni mweupe kabisa! Mkuu Pasco tafadhali naomba uwe mwalimu wangu wa awali!
 
Wakuu nawaombeni msaada..mke wangu ana tatizo la kuota ndoto anapigana na watu,simba,tembo mara kwa mara..lakini pindi anapoota mimi huwa namsikia anaunguruma kama simba mpaka namuamsha akiamka huwa na hofu sana..NI NINI TATIZO WAKUU NAOMBENI MSAADA WA KIUSHARI KWANI IMEKUWA KAMA DESTURI KUOTA HIVI Rakims Mzizi_mkavu Pasco na wengineo
 
Last edited by a moderator:
Somo la kwanza kuhusu namna ya kusoma Aura ni picha ya kwanza.
Concentarate kuangalia hizo picha mbili, utaziona kama zinataka kuungana na kuwa picha tatu, ya katikati inakuwa na umbo la msalaba. Kwa pembeni unaona kama mwanga wa blue una glow!, hiyo ndio aura!

Somo la pili. ni picha ya pili.

Concetrate kwenye kuangalia hicho kidoti cheusi hapo katikati kwa muda mrefu. Utaona hizo picha mbili zinatoa mwanga wa light blea green kwa nyuma, huo mwanga ndio aura!.

Ukiweza hii hatua ya kwanza, nakupeleka ya pili!.

Pasco.

mkuu Pasco namna nzuri ya ku concetrate ni ipi katika hizo picha za aura? nimejaribu kufanya hivyo with no avail labda nakosea wapi? msaada tafadhali.
 
mkuu Pasco namna nzuri ya ku concetrate ni ipi katika hizo picha za aura? nimejaribu kufanya hivyo with no avail labda nakosea wapi? msaada tafadhali.

Pole Mkuu Mussa Teacher Is Around Today Na Nimeelewa Shida Yako.... Kuna Kitu Kinaitwa Altenative Way Wengine Kwa Lugha Yetu Ya Kuunga Tunasema Njia Mbadala. Njia Hii Ni Pale Mtu Anapotaka Kupata Suluhisho La Swali Lake Analikosa Njia Na Kutokana Tamaa Na Kuangalia Altrnative Way Nakupa Njia Bora Na Rahisi...

Hatua Za Kufuata Kuona AURA:

1: Hapo Ulipo Lala Chali Vuta Deep Breathing Kumi Inhale &Exhale...

2: Amka Osha Uso Wako Vema mwagia Maji Sehemu Ya Paji La Uso Na Uhakikishe Pamekuwa WET...

3: Chukua Kitambaa Safi Futa Maji Ya Bila Kutumia Nguvu Hakikisha Kichwa Kimepoa...

4: Chukua Plain Paper Nyeupe Pee Kaa Sehemu Yenye Mwanga Hafifu.. Au Tengeneza Mwanga Hafifu Wa Saa 1 au 12 asubuhi....

5: Weka Juu Ya Meza Paper Na Mkono Wako Ukiwa Juu ya Karatasi... kati ya kidole cha shahada na kati juu sentimita 1 hapo ndio unatizama bila kukapua macho wala kusisitiza macho eneo hilo unaangalia tu kama unaangalia kawaida..

6: hakikisha hakuna kivuli kutoka kidole kimoja hadi kingine angalia bila kupepesa macho kwa sekunde kumi utaona ncha za vidole vyako vinatoa mwanga mzuri mweupe...

7: na utaona macho yako yanatamani uangalie ule mwanga ukitikisa kidogo tu macho unayayuka mwanga huo wewe angalia palepale tu ikiwezekana weka alama ya kidoti...

8: endelea kuangalia hapo kwa kutumia ncha za pembezoni mwa macho kwa kuibia hadi ile rangi nyeupe ibadilike na kuwa rangi nyingine ambayo utaijua....

9: Njoo uitaje rangi gani umeona hapa nitakwambia ni nini na maana yake....

Wish You Lucky....

"Rakim$"
 
nimekusoma vizuri sana mkuu Rakims ila hii namba tano bado kidogo nikwamba hivi vidole cha shahada na cha kati navisimamisha sentimita 1 kuelekea juu ama vipi? naomba clarification kidogo natanguliza shukrani mkuu Rakims.
5: Weka Juu Ya Meza Paper Na Mkono Wako Ukiwa Juu ya
Karatasi... kati ya kidole cha shahada na kati juu sentimita 1
hapo ndio unatizama bila kukapua macho wala kusisitiza
macho eneo hilo unaangalia tu kama unaangalia kawaida..
 
Soon Nitajiunga Na Mtu Au Watu Kidogo Wenye Ideas Kidogo Na Meditation Kama Pasco,Mshana Jr & Mwingine Mwenye Ideas Kidogo Na Hii Mambo....

Halafu Tutainform Watu Baada Ya Kukutana Sisi Na Kupanga Jinsi Ya Kuongoza Wanafunzi Live Practice Siku Moja Kwa Wiki Halafu Siku Sita Mtu Unafanya Mazoezi Siku Ya Saba Unaleta Marejesho Na Hatua Zingine Ziendelee... Hadi Kila Mtu Atakapo Fika Sehemu Nzuri Kiasi Chake.....

Mnasemaje Cc: Pasco & mshana jr
 
Last edited by a moderator:
nimekusoma vizuri sana mkuu Rakims ila hii namba tano bado kidogo nikwamba hivi vidole cha shahada na cha kati navisimamisha sentimita 1 kuelekea juu ama vipi? naomba clarification kidogo natanguliza shukrani mkuu Rakims.

Nimejaribu kukutafutia walau picha nikuonyeshe pa kutizama endelea kusubiri I'll Get It Soon
Rakims
 
Last edited by a moderator:
Here it Is.... Between Two Fingers Above 2cm Here Is Where You Look........! gt me???
Mussa2000
 
Attachments

  • 1423243069177.jpg
    1423243069177.jpg
    7.3 KB · Views: 594
Last edited by a moderator:
Ndugu wataalamu mniambie
One. Day nilikuwa kijiji kimoja tulikuwa sita nyumba moja sasa usiku huo tuliwahi kulala sasa wenzangu walidai wanasikia vitu vya ajabu wakaa nza kupiga kelele wakiniita kwani tulikuwa Mumbai kimoja watu watatu wakapiga kelele hadi wenzangu wawili wakaamka but mm sikuamka japo nilisikia wakiniita nadhani ilichukua zaidi ya nusu saa ndipo nikaamka na nilipoamka nilikuwa nishalocate chuma kilipo ili nikapambane.
Na nilipoamka nikawambia fungueni milango tukafungua angalia stop hakuna subuleni hakuna nje ya nyumba hakuna had chooni hakuna kwani ni tulidhani wezi pili wachawi hivyo tukasema wachawi na nikasema Kwa sauti tumewajua tukarudi kulala but tulisikia bado kama mchanga unarushwa batini na madirisha kukwaruzwa.

Eti hii itakuwa ina maana gani kwangu
 
Jibu Unalotaka Ni Fupi ambalo ni "Nguvu Za Giza"

lakini siwezi kuishia kukujibu hapa tu... ipo hivi wakati wenzio wanakusemesha wewe tayari mwili ulikuwa umeshafika kwenye hali ya kupararaizi hii kila mtu anayosema kwa sisi tunaofanya lucid dreams hapo ni state of beginnin' astral projection yani hali ya kwanza kabisa katika kutoka nje ya mwili kila mtu huwa nayo hii hali ya pararaizi mwili sema wengi inapofikia hali hii hukutwa tayari wameshalala minds zao hii ni kinga ya mwili kutopata madhara mf: mtu akilala hali ya kuwa mwili haujalala ndio hupata kitu inaitwa sleep walkin (kuota unatembea) sasa wakati inakutokea ile hali wewe mind ndio ilikuwa inataka kulala mwisho mwisho ndio ukadaka zile sauti pia inaonyesha ulilala kidogo ndio ukaamka kwa maana mwili ulirecover ndio ukaamka ukakutana na hilo tukio kingine kama mlilala gizani ni mind tricks ndio iliwasumbua ila kumwagiwa mchanga juu ya bati ni wachawi wa nje....dats true
.

"Rakim$"
 
Back
Top Bottom