Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
Doh!! Sikua na maana ya kukuudhi ndugu yangu, wala hakuna alienituma kuja kujibu post yako...nilipokua napitia huu uzi moja kati ya sehemu zilizonivuta kuziongelea ilikua post yako..Mi nafikiri ingekua vizuri ukanishika kwa facts kuliko kunituhumu kua nimetumwa na kua nimevamia post isionihusu...Post yako ni debatable, mimi kutoa maoni yangu ( ambayo in some ways yameonekana kama ni conclusion na yana-infuriate ) hakukuzuii wewe kutoa hoja zako ambazo zitakinzana na zangu. Kama hutopenda kuendelea kujadiliana namimi I'll understand. Ni hayo tu mkuu.
Ha Haa Haaaa!
Teh teh teh!
Pole Mkuu...! Mzizimkavu huwa hayupo hivyo ila muda mwengine mnaboa hata ng'ombe Au Punda Ukimtandika Sana Inafikia Sehemu Anajihami Maana Quotes Hazielezi Hisia Za Mtu Utakavyo Isoma Ndio Inavyokupeleka Huko Huko....
think umeelezea kitu kwa kirefu... halafu kwa experience zako halafu mtu anatokea Anakwambia kimkato "HAPA HAMNA TU" Hata kama kuna Tusi Uliliacha 1993 Utalikumbuka umpe ili ajue dawa ya moto moto....
ungeweka hikma ya staili hii kwenye quote yako ya kwanza sidhani kama angekwambia umetumwa ni hayo tu.......
"Rakims"