Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

The power is inside you!, you have to "will" it ili itoke from you na kufanya kazi for you!. Where ther is a will, there is a way!. Kuna mengi ulioamua unayataka na ukayapata!, ukiamua chochote unapata!, mfano kama gari yako ni starlet ila unataka ku drive vogue, una "will" to drive vogue!, "will" ina open up power doors na uwezo wa kumiliki vogue unaingia!.
Pasco.
je hiyo wil naituiaje??
kwanza ni nini manake nikiitafsiri najua ni kama vile "amua" sasa ni amue nini??
je naweza kuamua kuendesha vogue?? na ikaja vogue??
unless am missing something here
 
Mkuu pasco naomba uniambie na mimi huwa nina experience mambo haya yafuatayo je nina uwezo gan?

1. Kama niki set alarm kwa ajili ya kuamka naamka dakika moja kabla ya alarm kuita na siku nyingine nakuta alarm set off wakati nilihakikisha kabisa nimeset na ikastart counting down

2. Usiku huwa ninashtuka saa 8 au 9 na kuhisi kuna kitu kilikiwa kinafanyika nahisi ni wachawi au wanga

3. Kuota ndoto afu inakija kitokea ila huwa siikimbuki hadi siku tukio linatokea na linapotokea najua baada ya hiki kinafatia hiki na ninafanya sawia kama kwenye ndoto

4. Nilishawah kuota uncle wangu ambaye alikuwa baada ya siku mbili anasafiri kuelekea moshi kapata ajali na kweli alivyosafiri akapata ajali

Na huyu house girl wetu aliniambia kuwa kila jambo analomuambia mtu in hostile way basi litamtokea huyo mtu mi
namuona kama mchawi maana kuna kijana alimwambia "tuone kama utapata kazi" hado leo hii hajapata kazi je nae ana psychic powers??kama ndio mtu asiye na psychic power anawezaje kujilinda dhidi ya watu kama hawa wanaonuwia kitu na kinatokea kwa watu wengine?
 
Jawilat naomba unijibu bandiko langu namba 232 naona Pasco na MziziMkavu hawataki kunijibu.

Hata jana tu nilipokuwa natoka kazini nilijiwa na hisia fuln kwamba njian kuna break down magari hayapiti i didn't give it a second thought nikaipotezea kweli kufika tu mbezi nikakuta folen ya ajabu yaani ajali imetokea kibamba darajani foleni iko mbezi ndipo sasa nikajisema mbona niliona hili kabla?? lkn kwann sikufanya utaratibu labda hata wa kubadili njia?? nilijuta sana sasa huu ni uwezo gani ama ni nguvu gani?? je sio pepo??

Hiyo unaitwa de javu
 
Last edited by a moderator:
Pasco haya mambo yanaogopesha wakati mwingine
umeyasomea wapi yote haya?
Mimi nshajiuliza sana kwanini inanitokea nikimkumbuka mtu ambae sijamwona siku nyingi ndani ya muda wa wiki hiyo hiyo huo ntaambiwa anaumwa sana au ameshafariki
Nimjearibu kuwaza kuna connection gani sijapata jibu hadi leo.
na ni kwanini mawazo hayo hunijia.

Kingine watu wengi wanapenda kunishirikisha matatizo na shida zao
sijui kinachowatuma wanieleze hata kwa watu wageni na nsiowajua.
mfano nikiwa ofisini Tanzania watu wanaofika na shida zao baada ya muda hurudi tena na kunishirikisha hata ambayo hayahusiani na kazi ninayofanya, kiofisi changu sipendi wanyimwe kuingia.
majibu ninayowapa wananijulisha yamefanya kazi na hali imetengamaa matatizo yameisha
ukiniuliza nimewapa ushauri gani wa maana kiasi cha wao kunishukuru sijui hata nikakoutoa na sijui kama ninachokisema kina umuhimu kwao kwani huwa napenda kuongea kawaida na kwa ucheshi mtu anajikuta akicheka hata kama alikuwa na huzuni kubwa kwa muda mrefu.
Nikijiangalia na umri wangu na jinsi hata watu wazima wanavopenda kunieleza yanayowakumba kwa kweli sielewi
sielewi kama nina hizo nguvu au kipaji umekitaja.
Unaweza kujibu kwa ufupi nini kinasababisha?
 
Kwa kifupi huu ni mwanga sana kwa wale ambao wapo njia panda hasa kwenye maswala ya kiimani wengi walikua wanaamini kama wewe sio muumini wa dini tulizorisishwa na wazazi wetu,huwezi kua na imani
 
Asante kwa mwaliko!, naona kama hii ni biashara fulani!. Wale waalimu wa ukweli, hata siku moja hawatozi hata senti tano kutoa mafunzo, bali ukiisha fanikiwa ndio utapeleka asante wewe mwenyewe kwa kadri unavyojisikia!.

Hata wale waganga wa kiasili wa ukweli, hawatozi hata senti tano!, ila ukifanikiwa, ndipo utarudi mwenyewe kushukuru!.

Tunapoanza kuwekeana viingilio kwenye mambo ya kiroho, hii sasa sio imani tena ni biashara!.

Wenye interest na meditation jijini Dar es Salaam, mafunzo yanatolewa bure

Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima ... - JamiiForums

Pasco.

That's why nakuadmire Pasco there something very special in you man.
 
Last edited by a moderator:
Daah!! Hatarii !!
Nakubaliana kabisa na wewe Mkuu Pasco, kipindi fulani katika maisha yangu nilitamani sana kujifunza uchawi mwenye tija, nikajikuta nimeangukia kwenye temple moja south Africa iliyokuwa inafundisha Buddhism Yoga meditation na supernatural powers

Yalikuwa ni masomo magumu ya ajabu na yenye kushangaza kwa jinsi yake, kwa ufupi ni kwamba hakuna chenye nguvu duniani kama bongo(mind) ya binadamu, na tunachokitumia katika mind zetu ni theluthi tu ya kile chote kilichopo

Tunafundishwa kuwa kuna 5senses, lakini Zipo 8 ambapo mtu ukiweza kuzifanyia kazi utafanya maajabu mengi , mind ya mwanadamu imejazwa takataka nyingi mno, illusions na dillusions ukiweza kuziondoa kwenye bongo yako ukabaki na pure and stable mind unakuwa mtu mwingine kabisa mwenye maono na nguvu za ajabu mno

Medition ni kitu cha Mwanzo kabisa kuendea kwenye kudevelop supernatural powers, nilifanya meditation zote, chanting, yoga nikiwa vegitarian kwa miaka mitano nikajikuta nabadilika nikaogopa nikaacha , kwakuwa niliona wazimu kuna mafundisho yanapingana waziwazi na imani yangu

Nimeipenda mada yako sana. Nakaribisha maswali na ufafanuzi nimeisoma sana Buddhism, Taiosm, Satanism na Kshna consciousness

Mwenye kupenda hii mambo atafute kitabu kiitwacho Analects: Way and Its Power.
 
Back
Top Bottom