Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Kama mkristu akiamua kusoma uislamu ni sawa,mwislamu kusoma hinduism ni uamuzi wake binafsi,kwa nini kulazimishana kufungiana kwenye box?

Hakuna aliyezuia mtu yeyote kusoma mafundisho yoyote, hata kama ni uchawi. Tatizo litaanza pale tu utakapojaribu kutumia maandiko yake kutoa tafsiri potofu. Kama unaona sisi ni wakorofi, jaribu kuhubiri uislamu tofauti na wao wanavyofundisha, halafu njoo na hiyo logic yako uone moto wake.
 
Hakuna aliyezuia mtu yeyote kusoma mafundisho yoyote, hata kama ni uchawi. Tatizo litaanza pale tu utakapojaribu kutumia maandiko yake kutoa tafsiri potofu. Kama unaona sisi ni wakorofi, jaribu kuhubiri uislamu tofauti na wao wanavyofundisha, halafu njoo na hiyo logic yako uone moto wake.



Kweli Mkuu ajaribu kufundisha huo upande Wa wenzetu kwa mafundisho Yake tofauti na wao aone moto.
 
Mkuu Aleyn, hana sababu ya kuniambia, sirekebishi chochote, sipunguzi chochote, siondoi chochote!.

Tukianza hivi kuamrishana, utafikia wakati tutakuja kufungiana hadi makanisa!. Imani ni utawala binafsi na uhuru binafsi!. Nanachofanya hapa ni kwanza nimalizane na nyinyi, lets sail the same boat kwanza ndipo tuendelee!.
Nitawawekea vifungu vya Biblia vinavyothibitisha kuwa sisi tumeumbwa kwa mfano wa Mungu na tumepewa uwezo wa kufanya kila kitu, isipokua kuumba, na kutoa roho!.
Pasco.

Mbona maswali haupendi kujibu?
 
Tatizo huyu jamaa anajibu maswali kutokana na kichwa chake kinavyomtuma, kama yeye anakiri kuwa ni Mkristo kwanini apingane na Biblia?

Kuna maswali nimemuuliza kuhusu tunda walilokua wazazi wetu Wa kwanza Adam na Hawa.

Na pia kuzaliwa kwa Yesu bila mama Yake kuingiliwa.

Biblia Yake na kwa fasiri Yake tunda walilokula si tunda toka kwenye mti Kama bibilia inavyosema.

Na kutokana na Hilo tunda walilokula Adam na Hawa Ndio maana Yesu akazaliwa na mama yake bila kuingiliwa Na mwanamke. Eti kwa kukwepa dhambi ya asili!

Mimi na swali jepesi haya Ndio mafundisho ya Ukristo Au hivi ndivyo Biblia inatuambia?
Nasubiri majibu!
 
Kuna maswali nimemuuliza kuhusu tunda walilokua wazazi wetu Wa kwanza Adam na Hawa.

Na pia kuzaliwa kwa Yesu bila mama Yake kuingiliwa.

Biblia Yake na kwa fasiri Yake tunda walilokula si tunda toka kwenye mti Kama bibilia inavyosema.

Na kutokana na Hilo tunda walilokula Adam na Hawa Ndio maana Yesu akazaliwa na mama yake bila kuingiliwa Na mwanamke. Eti kwa kukwepa dhambi ya asili!

Mimi na swali jepesi haya Ndio mafundisho ya Ukristo Au hivi ndivyo Biblia inatuambia?
Nasubiri majibu!
Tukutane Jukwaa la Dini, tuelimishane kuhusu dhambi ya asili.
Pasco
 
Mkuu Mimi nasubiri ushahidi Wa mafungu Wa kufanya kila kitu kasoro kuumba na kutoa Roho!
Hapa ndipo naposubiri!
Huku ndiko tulikotakiwa kwenda tangu mwanzo na sio huu ubishani!, wewe una uwezo wa kufanya kila kitu!, na kwa vile u miongoni mwa mlionibeza sana humu, hebu pokea mstari huu, kutoka [h=3]Mathayo 17:20[/h][h=3]"Yesu akawaambia, Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu. Kwa maana, amin, nawaambia, Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa uende kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu" [/h]Maana ya mstari huu ni binadamu amepewa uwezo wa kufanya kila kitu only if, ataamini kuwa uwezo huu anao!, chembe ya haradali ni mbegu ya tunda la komamanga!, hii inamaana imani ya wengi ni kama mbegu ya mchicha!,
Kitu cha kwanza to open powers doors ni kuamini, " you have the powers!, and you can be anything, anybody, and you can do everything!.
Pasco.
 
Tatizo huyu jamaa anajibu maswali kutokana na kichwa chake kinavyomtuma, kama yeye anakiri kuwa ni Mkristo kwanini apingane na Biblia?
niwekee kifungu chochote cha Biblia unachodhani nimepingana nacho, nami nitakuwekea kipande hicho kutoka ndani ya Biblia, na kipande kama hicho kutoka vitabu vingine vilivyoandikwa miaka 300,000 kabla ya Biblia, ili kuwatendea haki wasio Wakristu!.
Pasco.
 
Huku ndiko tulikotakiwa kwenda tangu mwanzo na sio huu ubishani!, wewe una uwezo wa kufanya kila kitu!, na kwa vile u miongoni mwa mlionibeza sana humu, hebu pokea mstari huu, kutoka [h=3]Mathayo 17:20[/h][h=3]“Yesu akawaambia, Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu. Kwa maana, amin, nawaambia, Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa uende kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu” [/h]Maana ya mstari huu ni binadamu amepewa uwezo wa kufanya kila kitu only if, ataamini kuwa uwezo huu anao!, chembe ya haradali ni mbegu ya tunda la komamanga!, hii inamaana imani ya wengi ni kama mbegu ya mchicha!,
Kitu cha kwanza to open powers doors ni kuamini, " you have the powers!, and you can be anything, anybody, and you can do everything!.
Pasco.

Narudia tena, Imani anayozungumzia Yesu ni Imani ya mwanadamu kumwamini Mungu na si vinginevyo kama unavodai. Ndio maana walioponywa walimwamini Mungu na si kujiamini wao kama wao. Mbona hiyo Imani iliyomo ndani mwao haikuwaponya mpaka walimwomamini Yesu? Wengine walipogusa upinde wa nguo ya Yesu waliponya. Mbona hakutumia Imani yake kujiponya?
 
niwekee kifungu chochote cha Biblia unachodhani nimepingana nacho, nami nitakuwekea kipande hicho kutoka ndani ya Biblia, na kipande kama hicho kutoka vitabu vingine vilivyoandikwa miaka 300,000 kabla ya Biblia, ili kuwatendea haki wasio Wakristu!.
Pasco.

Umesema kuwa kinachoponyesha ni power na Si Jina la Yesu. Mbona Yesu alisema Waaminio Jina lake watatenda Ishara hizo??? Wewe unasema sio Jina la Yesu, huoni kama unapingana na Biblia???
 
Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, mfano, "Miujiza ya Ukweli!".

Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo bila kujijua kuwa wanazo nguvu hizo!.

Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao!.

Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza!.

Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za giza!".

Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!".

Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you!.

"I know I can, be what I wanna be!"

Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea!.

Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make things happen!".

This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.


Psychic Powers- Ni Nguvu za Kufanya Miujiza-Wengi Wanazo Bila Kujitambua!-Jee Wewe Unazo?!,
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.

Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!.

Karibu tujadiliane!.

Pasco.

Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua.

World Religions
Traditions
Mysteries
What's New?
About
Abuse
Books
Bibliography
Contact
Credits
Copyrights
Donate
Downloads
FAQ
Links
Map
Press
Privacy
Search
Top Level
Terms of Service
Translate
Standards
Unicode
Volunteer
Wishlist
Catalog
African
Age of Reason
Alchemy
Americana
Ancient Near East
Astrology
Asia
Atlantis
Australia
Basque
Baha'i
Bible
Book of Shadows
Buddhism
Celtic
Christianity
Classics
Comparative
Confucianism
DNA
Earth Mysteries
Egyptian
England
Esoteric/Occult
Evil
Fortean
Freemasonry
Gothic
Gnosticism
Grimoires
Hinduism
I Ching
Islam
Icelandic
Jainism
Journals
Judaism
Legends/Sagas
Legendary Creatures
LGBT
Miscellaneous
Mormonism
Mysticism
Native American
Necronomicon
New Thought
Neopaganism/Wicca
Nostradamus
Oahspe
Pacific
Paleolithic
Parapsychology
Philosophy
Piri Re'is Map
Prophecy
Roma
Sacred Books of the East
Sacred Sexuality
Shakespeare
Shamanism
Shinto
Symbolism
Sikhism
Sub Rosa
Swedenborg
Tantra
Taoism
Tarot
Thelema
Theosophy
Time
Tolkien
UFOs
Utopia
Women
Wisdom of the East
Zoroastrianism

Kwa nini usiachane na hawa walokole waliokunywa maji ya msalaba, kisha tukaendelea na mada yetu ? Wameshaambiwa waende kwenye thread nyingine inayohusiana na dini, but wao wamekazana kubishana tu hapa ...!!! Achana nao, tuendelee na masomo yetu, maalim Pasco
 
mbona najibu kila kitu?!, sijajibu nini?!.
Pasco

Ulisema kuwa kila mwanadamu ambaye yupo hai yaani amepuliziwa pumzi basi huyo ni nafsi hai na huo uhai umesema ndio Roho na roho hiyo ndio R/Mtakatifu. Sasa nataka nikuulize maswali kutokana na maneno haya :-
1. Unajua maana ya Ubatizo?
2. Nini tofauti kati ya Ubatizo wa Yohana na aliokuja nao Yesu?
3. Yesu alikuwa mwanadamu kamili, sasa Je, kama R/Mtakatifu alikuwa ndani ya Yesu kama unavodai, unadhani kwanini hakutenda Miujiza yoyote ile??? Na kama Yesu tunatambua amekuja kama Mwanadamu yaani akiwa na Powers kwanini hakutenda lolote kupitia hizo Powers?
Biblia inaniambia Kristo alipobatizwa Mbingu zilifunguka na ROHO MTAKATIFU alishuka kama ua na kuketi Begani kwa YESU. Wewe unadai Yesu alikuwa na R/Mtakatifu tangu alipopata pumzi kuwa nafsi hai, BIBLIA inasema ni punde pale alipobatizwa. Na Yesu hakuanza kazi rasmi aliyotumwa na MUNGU mpaka pale ROHO MTAKATIFU alipomshukia.
 
Kwa nini usiachane na hawa walokole waliokunywa maji ya msalaba, kisha tukaendelea na mada yetu ? Wameshaambiwa waende kwenye thread nyingine inayohusiana na dini, but wao wamekazana kubishana tu hapa ...!!! Achana nao, tuendelee na masomo yetu, maalim Pasco

Ndugu fungua ufahamu wako, kama haya mafundisho msingi wake ni Biblia, basi hii thread ina-qualify kuwa ya kidini na si vinginevyo. Na kama haya yanayofundishwa yapo zaidi ya miaka 300,000 iliyopita, basi hayataitwa ukristo wala hayatatumia Biblia kama msingi wake mkuu. Na kila kilicho nje ya Biblia si ukristo, mbona logic ni simple sana? Mweleze guru Pasco aeleze ukweli wa asili ya haya mafundisho na aachane na Biblia ambayo imekuja jana tu kwa mujibu wake.
 
Last edited by a moderator:
ndugu fungua ufahamu wako, kama haya mafundisho msingi wake ni biblia, basi hii thread ina-qualify kuwa ya kidini na si vinginevyo. Na kama haya yanayofundishwa yapo zaidi ya miaka 300,000 iliyopita, basi hayataitwa ukristo wala hayatatumia biblia kama msingi wake mkuu. Na kila kilicho nje ya biblia si ukristo, mbona logic ni simple sana? Mweleze guru pasco aeleze ukweli wa asili ya haya mafundisho na aachane na biblia ambayo imekuja jana tu kwa mujibu wake.


:closed_2:
 
Hii hapa ndiyo asili ya hii imani inayodhaniwa mpya. Tazama hii video ujifunze siri zooote za maguru:

[video=youtube_share;mLHx-r6-a3o]http://youtu.be/mLHx-r6-a3o[/video]
 
Twenda jukwaa la dini tukamalizane kule!, alijarabiwa Mwana mwenyewe wa Adamu, nitakuwa mimi Pasco wa jf!, bahati nzuri niko enlightened kidogo, shetani hata akijifanya ni mtumishi wa Mungu, ati anaijua sana Bibilia, kwangu namshutukia!, na nawawahikikishia wote wausomai uzi huu, mwisho wa siku shetani atashindwa!, tutazifungua powers tulizopewa bure na Mungu na tutazitumia!.
Pasco.
Kwanini usiupeleke huko na huu uzi wako?
 
Back
Top Bottom