Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uzi unakosa gani?.
uzi umepelekwa jukwaa la dini na imani huu hapa,mkuu Pasco wameua uzi maswali yangu nitauliza humu
Naomba nikuulize, braza ... Unaamini uwepo wa mungu ? :A S-coffee:[/QUO
Hata kama naamini, kuamini kwangu hakumfanyi mungu awepo. Ninachoweza kukuambia ni kuwa hakuna maarifa juu ya uwepo wa mungu. Wewe huna, Mimi sina.
Bado hujanijibu swali langu, braza ...:washing:
Unataka jibu gani?
Tukutane Jukwaa la Dini, tuelimishane kuhusu dhambi ya asili.
Pasco
Mkuu Nabihili, everything happens for a reason!. Kitu kingine kuhusu Mungu ambacho hakikusemwa, anazo all the knowledges zote hivyo chochote kinachopangwa anakiona na anauwezo wa kukizuia, ila kuna vitu anaviacha for a reason!.
Tangu Malaika Lusiferi akipanga uasi Mungu aliona na hakuzuia for a reason.
Alipotekeleza uasi ule Mungu aliona na alikuwa na uwezo wa kuzuia lakini hakuzuia for a reason.
Shetani alivyojigeuza nyoka akapenye Bustanini Mungu aliona lakini aliacha for a reason.
Eva alivyodanganywa Mungu aliona na akaacha for a reason.
Yesu alipojaribiwa, kusulubiwa hadi kufa kifo cha aibu msalabani, Mungu alijua yote, aliona yote na angeweza kuzuia yote lakini anaacha for a reason!.
Maovu yote shetani anayoyafanya, Mungu anaona, anaweza kuzuia lakini anaacha for a reason!.
Ukifanya utafiti wako mwenywe wa the reasons behind, we may sail the same boat!.
Pasco.
Mbona una kiherehere hivyo ? Swali ameulizwa mwengine, unadakia wewe ...!!!
Ni kosa kudakia Au? Mbona hujiamini?
Ofcoz, ni kosa ...!!! Huwezi kuta watu wazima na akili zao wanaongea, then wewe ukadakia tu ... Utaitwa mdakuzi ...!!!:bange:
Pascoooooo .....!!!:focus:
Maalim Pasco, darasa liendelee .. Tafadhali :director:
Wakati huu, nadhani si vibaya maalim Pasco ukiendelea na kutuelimisha zaidi ...:focus:
Mkuu Ntuzu, yanayofaa na yasiofaa ni relative, yanafuata principle za relativity, mfano mimi ni Mkatoliki, mafundisho yanayofaa kwangu ni pamoja na kuvaa rozari, misalaba makanisani kwetu, siku ya Ijumaa Kuu, tunapiga magoti, tunabisu Msalaba, kanisani tunafukiza ubani, na divai kidogo tunaipiga pale madhabahuni etc!.
Kwa mlokole alie zama deep kwenye Biblia, kwake hizo ni ibada za masanamu na kwake ni sawa na kumtumikia shetani tukifikiri ni Mungu!, mtu asiye Mkatoliki hana right ya kumwambia Mkatoliki hayo ni mafundisho yasiofaa!. Wewe just shika lako!.
Mfano sisi Wakristu tunaamini Yesu ni Mungu!, Waislamu wanaamini Mungu wao ni Allah na Mtume wake ni Muhamed (SAW), kwao Yesu sii Mungu!. Wakristu wenye imani kali wanaamini Mungu sio Allah, etc, Mkristu hana haki kumwambia Muislamu kuwa Allah sio Mungu bali ni ... na Muislamu hana haki kumwambia Mkristu Yesu sii Mungu!.
Wewe shika lako unaloamini, after all hapa jf sio nyumba ya ibada, ndio maana wameweka jukwaa maalum la hayo na ukiingia huko hakuna msalie mtume!. Tukutanie kule tumalizane, hapa tuwapishe watu wa practice powers!.
Pascal.
Hilo nalo tatizo kwa wale wanao amini "YESU NI MUNGU" naomba nijibiwe hili,kama yesu ni mungu yesu huwa anamsalia nani,I meant alikua anaomba kwa nani?
Sijui nimeeleweka
Hilo nalo tatizo kwa wale wanao amini "YESU NI MUNGU" naomba nijibiwe hili,kama yesu ni mungu yesu huwa anamsalia nani,I meant alikua anaomba kwa nani?
Sijui nimeeleweka