Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiwa primary, nilisumbuliwa sana na malaria, dawa zilikuwa choloquine, baadaya kupona nilikuwa nawashwa sana!, nikawa napewa na phenogan, lakini wapi, ukijumlisha nilikuwa kibonge na vipele vya jasho, ilikuwa baada ta kupona napata mateso makubwa zaidi kuliko hata nilivyokuwa naumwa!. Nikaanza kudevelop ioga wa dawa za malaria, hivyo nikiumwa, bora nisiseme, nijikaze hadi nikizidiwa saana ndipo niseme!.
Thrugh nilipoingia sekondari uoga huu wa dawa,ukazidi, nikawa nikisikia dalili kwa mbali, napiga moyo konde, kisha dalili zinapotea. Tangu baada ya mulaliza sekondari, nilikaa 10 years bila kuugua malaria!. Mwaka 2000, nikapata trip ya Canada nikatakiwa kuomba migrant visa, inatolewa Nairobi, ila pia shurti upime ngoma kwenye accredited hosputal ilioorodheshwa, hivyo nikaenda Agha Khan hatua ya kwanza ni kupima full blood picture!, jamaa alinipima tuu, akaja ana shangaa, how could this man survive vidudu ving ajabu vya malaria sijui ni plus plis ngapi!.
Jamaa wa maabara akaniita ni kuniambia nina malaria nyingi ya ajabu kiasi kwamba anashanga niko hai?. Kwa kiwango hicho, i was supposed to have been dead long ago!. Sikumuhadithia, nikamweleza hapa nimekuja kupima ngoma ndio mpango mzima!, jamaa akasema kwa kiwango cha malaria kilichopo, natakiwa kwanza kirudi kwa daktari, ndipo nikaridi kwa dakrati na vipimo, Dr pia akashangaa!. Akasema first thing natakiwa kuwa addmited haraka sana!, nikamgomea kuwa siumwi, sikubali kuwa addmited nahitaji tuu kipimo cha HIV!.
Ndipo yule dr akanieleza kuwa huwezi kupimwa HIV kwa sababu damu yangi ina kiwango kikubwa mno cha vimelea wa malaria beyond human survival, hivyo white blood cells hazionekani kabisa!, kipimo cha ngoma enzi hizo kimbe kilikuwa kinapima tuu kiasi cha kinga iliyopio, wakikuta imeshuka, ndipo wanajua ni HIV+ve, akanieleza nina very chronic malaria, hivyo kipimo kitaonyesha ni positive hivyo ili nipime, ngoma lazima kwanza niitibu malaria!. Akanieleza hata wagonjwa wa TB wakiscreen inaonekana ni ngoma, ukiitibu ukapona ndipo inapimwa ngoma!.
Hiyo daktari nikamweleza ukweli kuwa huwa naugua malaria lakini kutokana na kuogopa dawa, sithubutu kuitibu, its 10 years now!. Akashangaa na kusema hakuna hii kitu ya mtu kutougua malaria tropical Africa. Akanihimiza kukubali admission, pesa ikawa ni issue!, ndipo akaniambia kama tatizo langu lilikuwa chloroquine sasa kuna metakelfin na fansidar hivyo element ya kuwashwa hakuna!, lakini kutokana na kiwango kikubwa cha malaria kwenye damu yangu, ana recomend drip ya quinine ili kuipinguza kidogo kodogo!. Sina pesa za kulazwa Agha Khan, kwanza nimekwenda tuu hospitali hiyo kwa sababu ni mark hospital kwa migrant visa ya Canada.
Hivyo nikasisitiza nipewe tuu vidonge. nikapewa metal kelfin kunywa winne siku ya kwanza, kisha vinne tena siku ya pili na viwili siku ya tatu, siku ya nne nirudi kucheki!. Siku hiyo nikanywa usiku, na maji mengi kwa maelekezo ya daktari!, mwili ulikuwa unawaka moto, sikulala usiku kucha ni kukoroma tuu kwa kugumia maumivu, kesho yake sikuweza kuamka, mwili wote umevimba, chakula hakipiti, maji hayapiti, siwezi kuamka, kiukweli nikajua sasa ndio safari!.
By that time wife keshahamia US, na mimi naenda kuhamia Canada kwenye issue nyingine kama prospective husband wa a Tanzanian lady mwenye Canadian citizenship!. Hivyo nikaomba msaada home kwa wazee, nikafuatwa nikapelekwa Tumaini Hospital nikalazwa, wakachukua vipimo upya wakakuta kuvimba ni reaction ya sulfa, hivyo wakabadili dawa nitundikiwe drip ya quinine kuishusha hiyo malaria wakati huo mwili unajoto kali ajabu!.
Drip ya kwanza imekwisha uvimbe umepungua lakini malaria bado ipo na homa bado juu, drpi ya pili ikaisha hsli ile ile, drop ya tatu naingia siku ya pili, hali ile ile, nikaona madaktari wanapisha, kama panic fulani, homa gani hii haishuki, Dr, Mkuu wa Pale Dr. Yongolo akasema ikifika siku ya tatu haijashuka, nitahamishiwa muhimbili!. Pia akamleta Dr Mmoja bnti mrembo toka Mhimbili akiita Dr. Masha Makata, Msukuma ni Msukuma tuu, hata mgonjwa vipi, binti mrembo mweupe!, mbona nilipata nafuu ghafla, nikakaa kitandani!.
Kiukweli Masha alikuwa very friendly, akajaribisha dawa nyingine nyingine, homa ikashuka, vidudu vya malaria sasa havipo, lakini bado naumwa!. Nikaomba Masha aje baada ya ndugu kuondoka, ndipo nikaconfess kwake kuwa hii inawezekana kuwa ni ngoma!, nakamuomba akanipime kisiri siri ili nijue cha kufanya na sio kuunguza tuu fedha hospitalini. Akasema mgonjwa mwenye hali kama yangu, haruhusiwi kupima ngoma, ila kila mgonjwa anaelazwa kwa lolote, pia anapimwa ngoma, hivyo na wao walikuwa wanasubiri 7 days ndipo nipimwe!, nikaziona ni mbali, nikamsihi amisaidie, akanigomea kuwa yeye kama daktari hawezi, ila kunisaidia ataniitia mtu wa maabara niongee nae!.
Jamaa wa maabara akaja siku ya nne, akatoa damu, na kwenda kuipimia Mhumbili majibu atampa Masha. Siku hizo ukipima leo majibu kesho. Adubuhi ya suku ya 5, Dr. Masha kaja asubuhi, smiling na mimi nazidi kupata nafuu, huku riho inadunda. Niliisha panga nini cha kufanya iwapo nitakuwa positive maana nimeisha shuhudia shughuli ya kuwahudumia terminal ill HIV victims ndani ya familia, by the vidonge vya kupunguza makali vinatoka Nairobi au South na ku drain the family at the end of the day bado mtu ni safari!. Miliisha jiandaa kisaikolojia kuzuia kutesa watu!. Ndipo Masha akaniambia niko negative!. Amini usiamini nilipona pale pale nikataka kusimama drip ikanizuia!.
Mwaka huo wa 2000, ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kutibiwa malaria ndani ya miaka 10!, na ndio mara yangu ya mwisho kutibiwa malaria mpaka hii leo 14 years on, no more malaria!. Hata nikijisikia kuumwa, nikipimwa na kukutwa nayo, never again nitathubutu kuitibu!.
Huu ndio ushuhuda wangu!.
Next ni how is it possible, jee ni malaria tuu au na magonjwa mengine?.
Pasco.
Somo la Tatu: Nguvu za Uponyaji zinatoka wapi?.
Anza sasa kuzifungua hizo nguvu zako na kuanza kuzitumia kufanya mambo madogo madogo.
- Msingi wa Nguvu za uponyaji ni Mungu, kwa jina lolote lile. Siku Mungu alipotuumba, alituumba kwa mfano ambapo mwili wetu una sehemu kuu mbili, mwili na roho. Mwili ni hii body inashikika, inaonekana, ina uzito, ina tabia zote za maada/matter. Sehemu ya pili roho, ni pale alipotuumba kwa ,fano wake na kutupulizia pumzi ya uzima, life, life force, spirit, spiritual body, astara body, roho, uhai. Kinachofanyika ndani yangu kuzuia malaria ni kufuatia ule uoga wangu kuogopa kuteseka na dawa za malaria, ninapo jisikia dalili tuu za awali kabisa, kwa mwili kuwa hypasensitive to touch, nikijigusa tuu vinyelea vya mkono, you feel something, then nasema kwa imani, it can't be malaria!. Hii inaitwa "denial the negativivity", kwa kujitamkia tuu maneno hayo kimoyo moyo, hiyo malaria stops there and then!.
- Hizo powers zipo ndani yetu zimehifadhiwa, namna ya kuzifungua ni kwa imani tuu!. Ukiamini, Milango ya powers inafunguka, "powers from within" zinaufanya mwili kuwa stronger na vile vidudu vya malaria harmless ila vipo!. Kadri siku zinavyokwenda vijidudu vinazidi ku pile, ila ni harmless. In ten years time vikawa vingi sana but harmless, nilipopimwa mpimaji anashtuka, daktari anashtuka, mimi niko ok.
- Kitendo cha kukubali kunywa ile dose, ni "accepting defeat" hivyo nika break ile barrier ya strenght ya powers from within, hivyo ile kinga ya mguva zangu ikatoweka, wale wadudu waliokuwa dormat wakarudi kuwa active, nisingewahiwa hospitali, pale ndio ingekuwa safari!. Once ukishajiaminisha kitu fulani kibaya kwako ni never, then don't and never accept defeat!. Ukiisha weka nia, never go back, ng'ang'ana hapo hapo hata kama hujaona matokeo spontaneously, never give up, Mungu ana namna zake za kujibu, halazimishwi!.
- Tangu ile 2000 mpaka leo, 2014, sijawahi kuugua tena malaria, lakini sasa sio mimi tuu bali na nyumba yangu yote, nimeishield, hatuugui malaria sisi wote tunaishi humo!. Nina watoto 7!, watano wakubwa na wawili wadogo. Wale wakubwa wote watano hawaishi home, wawili wakubwa wako chuo, mmoja yuko A level boarding na wawili wako O-level boarding, home niko na wale wadogo wawili tulio nao home malaria ni no tangu wamezaliwa ma hakuna trips za hospital zaidi ya cliniki. Wale wa boarding, sometimes wanapata malaria wakiwa shule/vyuo ila wakirudi home, no more malaria!.
- Baada ya kufanikiwa kwenye malaria, nikaamua kusema no kwa baadhi ya magojwa mengine!. Hata katika pita pita zangu, ukikutana na "njia" ambayo sio, machale yanakucheza hivyo sipiti "njia" hiyo!. Na baada ya kutopita, hautapita muda mrefu sana utasikia ya kusikia kuhusu ile "njia" uliotaka kupita!.
- Kwa vile hizi works of powers hazina uthibitisho wowote, scientifically, biologically, anatomically or medically to prove how they work, then siwezi kusema conclusiwe kwamba hizi kwangu ni powers za kuzuia malaria, inawezekana its just a game of chance kwamba mbumbu wote wanaingia nyumbani kwangu au kokote ni nilipo ni wale mbu wasio na malaria!.
- Pia licha ya kuwa na hiyo kinga dhidi ya malaria, au machale ya kuziepuka "njia" fulani fulani katika "pita pita" yangu, sasa badi ndio tusilale na neti, si tuna kinga?, au kule katika ile "pita pita" ndio nijipitie tuu peku peku ati kwa sababu nina kinga!. No way!.
- Hata wale wanaotibiwa maradhi kwa imani, haina maana akiumwa ndio asiende hospitali ati kwa sababu tuu anamtegemea Mungu!, au alikuwa na ukimwi, kifua kikuu, canser, akatibiwa kwa imani, akapona, basi hospitali ndio basi!, no!. Faith healing is not a substitute to medical treatment, but rather a complementary!.
- Namalizia kwa msisitizo, kuponywa kwa miujiza, nguvu za uponyaji zinatoka kwako wewe mgojwa mwenyewe na sio hiyo anayekuombea!. Wachungaji wengi au waganga, hujifanya wao ndio wenye hizo nguvu za kuponya!, No way, wao wanakupatia tuu ufunguo wa kuzifungulia hizo nguvu zilizo ndani yako ndizo zinazoponya. Hata kile kikombe cha Babu, what you drink is nothing!, imani kuwa kikombe kinaponya ndio imewafungulia njia wenye imani, nguvu zao zilifunguka zikawaponya, na wale wenye imani haba, it was a waste, wastage of time and resources!.
- Ukiwa na very strong faith kuwa sisi tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, hivyo tunazo nguvu za Mungu ndani yetu, chochote utakachopanga kwa imani, kitafanikiwa!, sky is the limit!.
Mada inayofuata ni sura ya 4. Jee wahubiri wa Miujiza ni lazima wawe Wakristo?.
Asante.
Pasco.
Mkuu Pasco hebu niambie uelewa wako juu ya hili. Kwakuwa zipo nguvu za Mungu na za shetani, kwa watu walizonazo ipi ni Nguvu kuu? Je, kwakuwa ni imani zetu tu ndio umesema zina invoke nguvu za kutenda miujiza kwa watu wawili kwa mfano, mmoja anaamini shetani na mwingine anaamini Mungu wakipambanisha imani zao ktk kutenda muujiza fulani ni yupi atashinda? Na kama atashinda/atashindwa kwanini ashinde/ashindwe wakati kila mmojawapo kati yao anatenda ivyo kwa imani iliyo ndani yake?
Hapana ndugu mbeki hili ni jukwaa la wazi hivyo huna ulazima wa kunifunga mawazo ya kuhitaji kujua nisichokijua. Badala ya wewe kupoteza muda kwa kuniambia najaza server ni vema ungenijibia maswali yangu kama una ufahamu nayo kuliko kujaza server kwa swali lisilokuhusu.
asante Pasco
Hiki kitabu sio mchezo. Nimekisoma chote na sasa nimeamua kurudia kukisoma tena.simu imedownload sasa tatzo lugha ndo shida jamani!!!
Maria Roza hata huku upogo....?...good
Josêph M Mike;8550127 said:Inaonekana ni Topic moja nzuri sana. Nmekuwa Interest nayo kwa kias kikubwa, tangia nianze kufuatilia Habari kama hiz kwenye source mbalmbal (nilianza na Illuminant nikaja Freemasonry lakin bado nilikuwa cjapata point nilizokuwa nikizihitaji. Sasa nmeona hii maada inabeba kila kitu chenye uhalisia wa Maisha Ya WanaDamu.
Ushauri wangu ni kwamba kwann tuiishie kusoma,kuelewa na kuchangia point kwenye Mada hii tusifanye taratibu tukafungua kituo cha Mafunzo/Masomo il hata wengine tuzidi kukomaa kufuatilia kila Hatua.
NaSupport Sana Kichwa cha Mada hii kuwa Kila Mwanadam ana psychic powers na kuna wakati anaweza kuzitambua ama haczitambue ila akawa anapatwa na baadh ya strange things akabaki anashangaa 'What is this!?'
Binafsi huwa kuna hali fulan hiv Ambayo kuna wakati ninapofanya tukio hisia za haraka unitokea na kuonesha kama nimeshalifanya mda si mrefu lakin papo hapo nafikiria kuwa nilikuwa bado sijalifanya, mf: Nikiwa Nataka kuruka either Mtaro/shimo nk.. Katika ile hali ya maandalizi Akili yangu inaflash kama hilo tendo nimeshalifanya pia nikiwa kwenye motion na inachukuwa mda mfup sana kupatwa na kubaini nini kinaendelea. Ni mara nying nmekuwa nikipatwa na hali hii japo sku hz inaelekea kupungua. Na huwa najaribu kujichunguza lkn conclusion nilikuwa nikijisemea kuwa na Mambo ya kawaida ya Mwilin mwangu. Ckujua kama nia Psychic Powers.
Sasa pengne ninazo nyingne ila zjajtambua maadam nimepata sources nyingne sasa nina mpango wa kufuatilia mwanzo Mwisho Kuhusu suala la "UTAMBUZI"
Tupeane shavu. Nafikiri Illuminant,Freemason na Taasisi nyingne za siri (Secret Societies) walipitia na wanatumia njia hizi katika Kufanya UTAMBUZI,nahisi kama Wamefanikiwa japo inasemeka wao wanatumia ule upande wa Giza haswa na wanatumia fursa hiyo kuconnect pple kwani walishagundua mapema, Kuna Ushindani Mkubwa Hapa Ulimwenguni.
"Just Enough Education To Perform"
TUJITAMBUE!.
Sent from my BlackBerry 8520 using Jamii Forums
Mkuu mayenga, mimi nina
Telepathy - Transfer of thoughts or emotions, kwa kiasi kidogo!. Zamani nikiwa kijana mdogo nikisoma sekendari ya Tambaza na baadae Ilboru, ilitokea kuna vibinti fulani vya Kisutu na Jangwani, nilivitazama kwa kuvihitaji tuu, nikaja kuvipata!.
Ikawa nikienda kwenye party, nikimzimikia tuu binti, nikimtazama kwa concentration huku nikisema kimoyo moyo, nakuhitaji!, yule binti, atageuka na macho yakigona tuu, nitatoka nje, atanifuata!, tutazunguka tuu mahali popote penye faragha!, nitamaliza shida zangu na kurudi kwenye party!.
Nilipomaliza na kujiunga JKT, kule ikawa balaa!, kila macho yanapoona, moyo ukipenda, napita na sikosi!.
Nilipoanza kazi, nikajikuwa huwa nakuwa MC, nikawa nikienda kwenye sherehe mbalimbali, naondoka na mtu!. Hata nikiwa kwenye Daladala, nikizimika mahali, natazama tuu, nikishuka naye anashuka!.
Matumizi ya nguvu hizi yalikuwa ni kwa "kata funua tuu!, mpaka nilipokutana na dada mmoja aliyekuakisoma Jangwani, ndipo akanieleza kuhusu uwezo huo, na ninachokifanya ni abuse of power! akanionya nikiendelea hivyo matokeo yake yatakuwa nini, ndipo nikabadilika!.
Pasco.
Nina tatizo ambalo ni peculiar!
Tatizo ambalo kwa kweli silipendi na huwa lina nisononesha!
Nina uwezo wa kutongoza kila mwanamke mzuri nineye mtongoza hata tusishia sita kwa sita.
Nasema baada ya hapo huwa nasononeka sana na naishia kujihurumia.
Unanishaurije.
Watanzania ni waajabu sana. Mnapend spoon feeding. Hakuna jipya hapa kwa mwenye ufahamu.