Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
Kwa kuwa Xmas ni Jumatano na Boxing Day ni Alhamisi, Rais Samia anaweza kutumia busara tu ya ukuu wa nchi Kwa kusema tu, Ijumaa watu wapumzike na kazi zianze rasmi Jumatatu ya December 30.
Hata kama sikuu ya Idd mosi ikiangukia Jumatano na Idd Pili Alhamisi, still Ijumaa watu wanaweza kupumzisha akili kisha kazi zikaanza Jumatatu.
NB: Mapumziko ya kutosha, huimarisha afya ya akili na kusaidia kuongeza ufanisi kazini.
"Ninapenda kuchukua wasaa huu kuwatakia kheri ya sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo (Christmas) ndugu zangu wakristo wote na watanzania kwa ujumla, na katika kusherehekea hilo, ninapenda kuutangazia umma wa watanzania ya kuwa siku ya Ijumaa ya December 27, 2024, itakuwa pia ni siku ya mapumziko na kazi zitaanza rasmi siku ya Jumatatu, December 30, 2024"
ANGALIZO: Ninakaribisha Ukosoaji wenye tija (Constructive Criticism)