Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
- Thread starter
- #21
Mkuu, mapumziko huongeza ufanisi kazini.Watanzania kwa kutopenda kufanya kazi hawajambo sasa hapo ni busara gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, mapumziko huongeza ufanisi kazini.Watanzania kwa kutopenda kufanya kazi hawajambo sasa hapo ni busara gani?
Sijaweka Udini Nina maanisha kupumzika sawa si kwa kiasi hicho unachosema Wewe, Mfano una machine ya kusaga na wafanyakazi10 wanakula Milo mitatu ya nguvu!Wapumzike siku 2Kwako ni Faida??Acha mawazo ya kivivu.Chukua likizo .Ondoa udini hapa mkuu
Lala mapema!Mkuu, mapumziko huongeza ufanisi kazini.
Siku nne za mapumziko bado mtu anatamani aongezewe siku nyingine ziwe tano loh!!!! hi jamii yetu sio poa kabisaMkuu, mapumziko huongeza ufanisi kazini.
Ukakae mitaani,ujiongezee stress na madeni!Siku nne za mapumziko bado mtu anatamani aongezewe siku nyingine ziwe tano loh!!!! hi jamii yetu sio poa kabisa
Kupumzika Ijumaa ni siku 2?? Serikali ina mashine ya kusaga?? Kupumzika analazimishwa mtu?? Kwani hiyo December 26, madaktari na Police hawaendi kazini??Sijaweka Udini Nina maanisha kupumzika sawa si kwa kiasi hicho unachosema Wewe, Mfano una machine ya kusaga na wafanyakazi10 wanakula Milo mitatu ya nguvu!Wapumzike siku 2Kwako ni Faida??Acha mawazo ya kivivu.Chukua likizo .
Mkuu, siku nne in a row au??Siku nne za mapumziko bado mtu anatamani aongezewe siku nyingine ziwe tano loh!!!! hi jamii yetu sio poa kabisa
Tell them brotherKwa wafanyakazi wengine hasa wa serikali siku huyo ya ijumaatrh 27 itakuwa na maudhurio hafifu
Wengine hawatokwenda kazini kwa kigezo Cha ugonjwa au dharura za kifamilia
Ni kweli hawana kuenda kwenye sports au recreation parks wanashinda tu vijueni kupiga kelele za simba na Yanga siku nzima.Ukakae mitaani,ujiongezee stress na madeni!
Sema wale Jamaa walio amua kuwa kazi iwe siku 4 za week na si 5...wale hawatoki bara Afrika lakinWaafrika mnapenda mapumziko, uvivu umewajaa ndio maana umaskini hautaisha
Waajiriwa ni kawaida yao.Waafrika mnapenda mapumziko, uvivu umewajaa ndio maana umaskini hautaisha
Hapo ukisema waafrika unakosea patupu! Hivi hujui Ulaya hii ni festive holiday kabisa ya watu kusafiri mpaka vacation nchi nyingine?Waafrika mnapenda mapumziko, uvivu umewajaa ndio maana umaskini hautaisha
Ijumaa itakuwa siku ya kazi kinadharia ila kiuhalisia hakuna cha maana kitakachofanyika. Utaenda ofisi za serikali utakuta huduma unayotaka utapata nusu, na nusu nyingine utaambiwa njoo jumatatu, kwa sababu mmojawapo wa wahusika ambao wangehudumia jambo lako hayupo amesafiri. File lako liko kwa boss lakini amesafiriKwa kuwa Xmas ni Jumatano na Boxing Day ni Alhamisi, Rais Samia anaweza kutumia busara tu ya ukuu wa nchi Kwa kusema tu, Ijumaa watu wapumzike na kazi zianze rasmi Jumatatu ya December 30.
Hata kama sikuu ya Idd mosi ikiangukia Jumatano na Idd Pili Alhamisi, still Ijumaa watu wanaweza kupumzisha akili kisha kazi zikaanza Jumatatu.
Ninakaribisha Ukosoaji wenye tija (Constructive Criticism)
Absolutely 💯 right. That's my great concern.Ijumaa itakuwa siku ya kazi kinadharia ila kiuhalisia hakuna cha maana kitakachofanyika. Utaenda ofisi za serikali utakuta huduma unayotaka utapata nusu, na nusu nyingine utaambiwa njoo jumatatu, kwa sababu mmojawapo wa wahusika ambao wangehudumia jambo lako hayupo amesafiri. File lako liko kwa boss lakini amesafiri