Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
- Thread starter
- #61
Hizo ni nadharia tu za kwenye makaratasi mkuu. Mbona marudio ya uchaguzi mnapoteza pesa nyingi badala ya kuchagua mbunge mwingine kutokea chama kile kile cha mbunge wa zamani??..Time is a factor of production.
Je unajua watu wasipoenda kazini siku Moja ni kiasi gani cha fedha hupotea?
Je unafahamu kwa hiyo siku iliyopotea serikali inapoteza kiasi gani cha Kodi?