PUBLIC RELATIONS: Rais Samia anaweza kutumia busara tu. Ijumaa (December 27, 2024) iwe siku ya mapumziko.

PUBLIC RELATIONS: Rais Samia anaweza kutumia busara tu. Ijumaa (December 27, 2024) iwe siku ya mapumziko.

Kwa kuwa Xmas ni Jumatano na Boxing Day ni Alhamisi, Rais Samia anaweza kutumia busara tu ya ukuu wa nchi Kwa kusema tu, Ijumaa watu wapumzike na kazi zianze rasmi Jumatatu ya December 30.

Hata kama sikuu ya Idd mosi ikiangukia Jumatano na Idd Pili Alhamisi, still Ijumaa watu wanaweza kupumzisha akili kisha kazi zikaanza Jumatatu.

NB: Mapumziko ya kutosha, huimarisha afya ya akili na kusaidia kuongeza ufanisi kazini.

"Ninapenda kuchukua wasaa huu kuwatakia kheri ya sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo (Christmas) ndugu zangu wakristo wote na watanzania kwa ujumla, na katika kusherehekea hilo, ninapenda kuutangazia umma wa watanzania ya kuwa siku ya Ijumaa ya December 27, 2024, itakuwa pia ni siku ya mapumziko na kazi zitaanza rasmi siku ya Jumatatu, December 30, 2024"

ANGALIZO: Ninakaribisha Ukosoaji wenye tija (Constructive Criticism)
Nchi bado inategemea misaada wanaokupa misaada hawana muda wa kuchezea kama unavowaza wewe hapo! unataka ulale huku akili yote ikiwaza ngono tu na unasema eti akili ipumzike kwa ubize gani mbungo wewe ulokufanya uchoke akili usituongipee
 
We muuza maembe pumzika tu km hayo maembe hayajaoza.
Wengine ndo kwanza tunapasha msuli hapa wa kupiga hela.
We kaa ukune mbupu.
 
Mama ni msikivu mwerevu na mwenye upendo atatekeleza....
Mamaaaa
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Nchi bado inategemea misaada wanaokupa misaada hawana muda wa kuchezea kama unavowaza wewe hapo! unataka ulale huku akili yote ikiwaza ngono tu na unasema eti akili ipumzike kwa ubize gani mbungo wewe ulokufanya uchoke akili usituongipee
Sio lazima mawazo yangu na yako yanafanane.
 
Nchi bado inategemea misaada wanaokupa misaada hawana muda wa kuchezea kama unavowaza wewe hapo! unataka ulale huku akili yote ikiwaza ngono tu na unasema eti akili ipumzike kwa ubize gani mbungo wewe ulokufanya uchoke akili usituongipee
Welcome to my ignore list..
 
Back
Top Bottom