Public Transport Dar es salaam vs Nairobi

Kaka mmoja hapa JF akaniita mshamba kwa kumpa picha za Nairobi!! Sasa ushamba utazidi huu wa mtu kuita vitu kama hivi America? Ushamba ulioje? Angalia ndani ya hili basi, ni basi nzuri najua, lakini angalia walio kaa ndani!!! Duu!! Yaani hivi kukaa miguu ikiwa imetiwa upande wa median ni nini?? Ushamba? Ama Basi hili limeundwa bila kuzingatia starehe za msafiri kwamba viti vimefungwa pamoja hadi huwezi kaa vizuri? Angalia huyo kaka wa malapa (jampali au slippers) Yaani unashangaa basi nzuri na unakaa kama uliyepanda tuktuk! Haya mabasi kweli hayana starehe ukiona hawa ndugu walivyoketi hapa!! Nairobi Mabasi ni starehe ya kweli ukitalala, ukitaka oga, ukitaka itisha!!! Kwa raha zako!!
Image-courtesy-of-www.Kenyacarbazaar.com_.jpg

0fgjhs5umjedf44n3.f6cb34f0.jpg

interior.jpg

Inside Modern coast
8.jpg

portfolio_1_5.png
Kwanza c ushaambiwa n America!! Povu linakutokea nn? [emoji45] [emoji45]
Then hyo ni bus ndani city (commuter) halafu ulivyo PUNGUANI wa Akili unafnanisha Commuter na basi za masafa marefu [emoji45] [emoji45] ,Haijalishi unatuwekea ma celebrity kna Saut Soul!! Ulitegemea wakae pose za ovyo [emoji45] [emoji45]
However Kukaa n uamuz wa mtu na huwez jua lbd alkuwa anajiandaa kushuka [emoji45] [emoji45]

WateKENYWA limbukeni sana cjapata kuona!!
 
I think it doesn't hurt, when you grow up and share issues without displaying this unspeakable levels of mediocrity in the forum! You are making these threads lack meaning! if all the people will drop to your level, then JF will remain with Bongo people alone, i have followed keenly and i have seen, Bongo people are quite abusive for no reason, anytime they are out done and out witted, they swap to cheep abuses, grow up and sober up!!
 
Mkuu hizo commuter zilimfanya MK254 kupitikiza vituo hadi kujikuta anashuka kivukoni.
Hata siku moja huwa hazipondei, japo hajawahi kusifia maana always nyang'au is snitch.
mapoyoyo wa kariobangi wasiozijua ndio wanaziponda humu .
Haha, this is funny. [emoji23][emoji23][emoji23] MK254
 
Kaka mmoja hapa JF akaniita mshamba kwa kumpa picha za Nairobi!! Sasa ushamba utazidi huu wa mtu kuita vitu kama hivi America? Ushamba ulioje? Angalia ndani ya hili basi, ni basi nzuri najua, lakini angalia walio kaa ndani!!! Duu!! Yaani hivi kukaa miguu ikiwa imetiwa upande wa median ni nini?? Ushamba? Ama Basi hili limeundwa bila kuzingatia starehe za msafiri kwamba viti vimefungwa pamoja hadi huwezi kaa vizuri? Angalia huyo kaka wa malapa (jampali au slippers) Yaani unashangaa basi nzuri na unakaa kama uliyepanda tuktuk! Haya mabasi kweli hayana starehe ukiona hawa ndugu walivyoketi hapa!! Nairobi Mabasi ni starehe ya kweli ukitalala, ukitaka oga, ukitaka itisha!!! Kwa raha zako!!
Image-courtesy-of-www.Kenyacarbazaar.com_.jpg

0fgjhs5umjedf44n3.f6cb34f0.jpg

interior.jpg

Inside Modern coast
8.jpg

portfolio_1_5.png
I truly believe Nairobian don't travel in luxury couches, halafu wapi in the world (America, France Japan, south Africa) commute within the city in soft padded chair on the daily basis? Kama ni luxury couches hata Tanzania zipo.
 
BRT!!!! We said here that Nairobi BRT iko jiani yaja, basi ndiyo hayo mamba yashaanza kuroll style hii
highway.jpg
 
You guys will compare even things that do not make sense
 
I can't wait to see that, maana humu kuna watu they will go places where no normal human being will dare to go.
 
Back
Top Bottom