Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
WaleteHaya sasa stori zenu wale wapenzi wazee wa kitengooo
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WaleteHaya sasa stori zenu wale wapenzi wazee wa kitengooo
Ova
Kamaliza UDSM atakuwa kasoma ngazi ya cheti?Na wewe nawe kwani wote upita form 6
CHAIWakuu habari za uzima?
Leo nilienda msibani kwa rafiki, mdogo wangu na jirani yangu wa muda kidogo.
Rafiki yangu huyu amefariki taarifa zikiwa zimeletwa Leo alfajiri saa kumi.
Kifo cha mdogo wangu huyu kimeniumiza sana, amezaliwa mwaka 2003 na alikuwa amemaliza UDSM mwaka jana na baada ya hapo baba yake ni kitengo kwenye usalama akamchukua mwaka huu tarehe 2/1/2024 ili akaanze kozi.
Kiukweli naumia sana, alikuwa bado kijana mdogo hajamaliza hata mwezi na alikuwa na ndoto nyingi, baba yake mzazi alileta taarifa kwa dada yake ambaye mdogo wangu huyu na rafiki amelelewa hapo kwamba amefariki.
Mama yake mkubwa alijaribu kuhoji lakini hakuambilia majibu zaidi ya kwamba walikuwa msituni kwenye mazoezi.
Binafsi sikuwahi kushuhudia kuagwa kwa namna hii kama niliyoiona leo, magari ya jeshi yalikuwa mengi sana, Hakuna mtu hata mmoja aliyeonekana na simu hapa kuchukua tukio hili. Sijui ni mambo ya jeshi au laah.
Baba yake alikuwa ametulia muda mwingi huku akizungukwa na wanajeshi. Daah amelala mdogo wangu huyu na jirani pia.
Baada ya kuagwa kwa mwili, mazishi yanafanyika bukoba kwao.
16/1/2024
Pumzike kwa Amani.
Wakuu habari za uzima?

Poleni.Wakuu habari za uzima?

Umesahau Kuna kurushwa madarasa hasa la kwanza na la pili na la tatu kama unajua basic hesabu, kusoma na kuandika. Tumefanya mitihani ya la saba na wanafunzi waliokuwa vipanga wa darasa la sita na la tano na walikuwa wakifanya vizuri tu.Pole sana,,,
,,ila kwenye figure za miaka ungejiridhisha maana huyo rafiki yako kazaliwa 2003 na chuo kamaliza mwaka jana means anamiaka 20 ,,,form 6 kamaliza na miaka 17 form 4 kamaliza na miaka miaka 14 darasa la saba kamaliza miaka 10,darasa la kwanza miaka 3,chekechea miaka 2 aise alikuwa na akili nzuri kwa umri mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
mdogo wangu amemaliza form 6 miaka 17 chuo miaka 21 inawezekanaPole sana,,,
,,ila kwenye figure za miaka ungejiridhisha maana huyo rafiki yako kazaliwa 2003 na chuo kamaliza mwaka jana means anamiaka 20 ,,,form 6 kamaliza na miaka 17 form 4 kamaliza na miaka miaka 14 darasa la saba kamaliza miaka 10,darasa la kwanza miaka 3,chekechea miaka 2 aise alikuwa na akili nzuri kwa umri mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami nimeshangaa🤣🤣🤣🤣🪑💺Pole sana,,,

Na wewe unafata nini huku urainiNani amekutuma uje uanike habari zetu huku kwenye mitandao? Tafadhari futa hii habari!