Pumzika kwa amani rafiki yangu na pole kwa familia nzima

CHAI
 

HIzi ajira zilitangazwa lini? Kazaliwa 2003, 2024 yuko Kwenye ajira baada ya kuhitimu UDSM. Huku si ndiyo kulamba asali?
 
Kwa hyo kazaliwa 2003? Anhaaa akamaliza lini? Ooh sorry....level gn
 
Poleni.
Ila mkuu sijaekewa hapo. Alizaliwa 2023 na amemaliza UDSM mwka Jana!!?
 
Hii kama sio chai ,maana wajeda ,usalama,kafia msituni,umri wa kuzaliwa 🤣🤣.watanzabia tuna kula vitu vingi ambavyo ni hatari kwa afya
 
Umesahau Kuna kurushwa madarasa hasa la kwanza na la pili na la tatu kama unajua basic hesabu, kusoma na kuandika. Tumefanya mitihani ya la saba na wanafunzi waliokuwa vipanga wa darasa la sita na la tano na walikuwa wakifanya vizuri tu.
 
mdogo wangu amemaliza form 6 miaka 17 chuo miaka 21 inawezekana
 
Nami nimeshangaa🤣🤣🤣🤣🪑💺
 
poleni kwa msiba ndugu jamaa na marafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…