Punda wa Tanzania hawana mtetezi?

Punda wa Tanzania hawana mtetezi?

Ndio maana huku kwetu hata nyama za wanyama ni ngumu balaa! 😀

Wanyama wanapigwa sana hata kosa lao sijui lipi…
 
Punda mwenyewe hasemi kama anateswa, pilipili usioila yakuwashia nini?
 
Nimeona kuna ng'ombe wameingizwa kamba puani,wamebebeshwa mizigo mikubwa kwenye tela,wanapigwa wakimbie na ile kamba ya pua inavutwa asimame,imagine na ana mzigo..unaona kabisa mnyama anavyoteseka.

Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom