Watanzania ujue kwa ujumla wanamsongo wa mawazo halafu ni waharibifu kinoma wa mali za watuMbwa akipita tu utaskia
"Nipe jiwe, nipe jiwe"
Zamani watu walikuwa wanauwa Sana mbwa hasa koko shule ya msingi Kuna alikuwa anamfuga hamlishi kakondaaa mifupa akamtelekeza alioigwa matofari Kama mwizi hadi kufaMbwa akipita tu utaskia
"Nipe jiwe, nipe jiwe"
Mpaka leo kuna watu furaha yao ni kufanya mauajiZamani watu walikuwa wanauwa Sana mbwa hasa koko shule ya msingi Kuna alikuwa anamfuga hamlishi kakondaaa mifupa akamtelekeza alioigwa matofari Kama mwizi hadi kufa
Mtoa mada (Punda) anadai mteteziUsicheze na wasukuma wewe.