Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Hayo mambo kwangu hapana fanyeni nyieWe kumbe bado mdogo,hujui kazi ya mishumaa?ipo Hadi Ina flavor chumba kizima kinanukia
🤣😂 baada ya kaziUnapata wapi muda wa kucheka!kuwa serious ukiwa kazini tafadhali😄😄😄
Kuna zile lampshade za kuregulate mwanga,Unyama mwingi Sana!Nakazia tu kwenye taa... muwe na taa yenye mwanga mdogo sana au mwanga wa Rangi rangi kama blue au green...
mambo ya kuangaliana usoni Direct kama majogoo yanayogombana hapana😅😅
ikufikie Jeep rubicon
Umefikiria nini hadi useme nina dhambi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jamaniii una dhambi wewe
Kwa Mwanga huu nguvu za kupiga game mara nyingi lazima zipatikane😋😋
Sema wallahKitu siwezagi ni hayo mataa ya rangi rangi siyapendi labda iwe nyeusi
acha kutuonea wivu weweeeeJamani kwema?
Hebu fikiria Kuna mtu anaingia chumbani anafunga mlango,anazima taa,anajifunika shuka,lastly anafumba na macho kabisaaaaa !!Sasa najiuliza ni kupenda Sana giza au Aina Fulani ya kuwanga?
Jamani Raha ya kuwa wawili chumbani muonane..
Idd Mubarak.
K iliyotumika sana inalegea... Hadi apate stimu ndio inakazaHayo maelezo yako!hiyo ilikuwa K au balaa
Kumekucha😀Ukitaka nikuogope wee Mwanamke, Anza kuleta habari ya Zima Taa !!.
Mimi nataka nakuangalia mwili mzima, nikufanyie physical examination , nitoke na viashiria vya kwamba una umwa au vipi ,!!.
🤣🤣🤣🤣 Wee unataka kuona jinsi mbusus yako inavyomeza mwenzie🤣🤣🤣🤣Jamani kwema?
Hebu fikiria Kuna mtu anaingia chumbani anafunga mlango,anazima taa,anajifunika shuka,lastly anafumba na macho kabisaaaaa !!Sasa najiuliza ni kupenda Sana giza au Aina Fulani ya kuwanga?
Jamani Raha ya kuwa wawili chumbani muonane..
Idd Mubarak.
Alafu nkishasema 😅Sema wallah
Mbona nasikia kuwa wewe ni Miss Bantu la haja, unaanzaje kujificha gizani tena kama wale wanaojaladia masponchi au zile taiti za michongo?Giza tamu [emoji16]