Punguzeni kuwanga jamani

Watoto watatoka weusi.
 
Siku ukipigwa square pipe kichwani usije na Uzi wa kuwaita watu mbwa...

ila uje na Uzi wa kuwaambia waongeze na protein hao uliowaita wanga
 
Siku ukipigwa square pipe kichwani usije na Uzi wa kuwaita watu mbwa...

ila uje na Uzi wa kuwaambia waongeze na protein hao uliowaita wanga
Relax basi,kwani we unapenda kuwanga?
 
Chumbani mmeweka watt 100 zile bulb za kuwawekea kuku kwanini asizime taa.
 
Muda huu mnagonoka then baadae unakimbilia kwa Mwamposa kwanini usiolewe inajulikana moja
 
Muda huu mnagonoka then baadae unakimbilia kwa Mwamposa kwanini usiolewe inajulikana moja
Kwani kuolewa ndio kuingia mbinguni?hebu niache kwanza niendelee na mishe zangu😎😎
 
Kuna raia wao na giza ni damdam....ila watu kuzma taa imeletwa pia na wapga chabo,mtu anaona liwalo na liwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…