Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Yaani mtu ana degree na masters logic ndogo tu anashindwa kujibu.
Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha Acha kabisa.
Najua nyie TISS mna majukumu makubwa sana ya kiserikali, Fanyeni vetting ya hivi viwanda vya pombe kali zote. Taifa linapotea sana jamani
Kuna hazina za wasomi hapo baadae zikipotea, tutakuwa kwenye hali ngumu sana.
Nalipoti kutoka ndendeule kwenye kilabu cha pombe nikifanya research ya ukimwi.
Degree na masters zinaendelea sana kuharibika sana.
Nawasilisha