Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha acha kabisa

Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha acha kabisa

Sijanywa pombe yoyote tangu January 1 2024 nilipokunywa Champagne ya kusheherekea mwaka mpya. Nimeamua kutokunywa mwaka huu, na naweza kuendelea.

Pombe ina madhara mengi, lakini ni mtu mwenyewe atakayeamua kama aache au anywe.
toka nizaliwe sija wahi pombe au mihadarati yoyote.

na nime ishi na watu baadhi wanao tumia, ila ni maamuzi tu.
 
Kuna siku nilikuwa kwenye happy hour ya kazini.

Bosi mkubwa katutoa, kika mtu anaagiza pombe yake, mimi nikqkataa pombe.

Watu wal8nishangaa, ila walichukua sekunde chache tu kunielewa na kuheshimu maamuzi yangu.

Tena wengine ndio wanafurahia wakijua kuna mtu hanywi huyu ndiye atatulinda tukilewa.
hahaha nime Kumbuka Kuna mdada ali lewa, si aka anza kusema Eti love at first sight 😂
 
Back
Top Bottom