Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha acha kabisa

Yaani mtu ana degree na masters logic ndogo tu anashindwa kujibu.

Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha Acha kabisa.

Najua nyie TISS mna majukumu makubwa sana ya kiserikali, Fanyeni vetting ya hivi viwanda vya pombe kali zote. Taifa linapotea sana jamani

Kuna hazina za wasomi hapo baadae zikipotea, tutakuwa kwenye hali ngumu sana.

Nalipoti kutoka ndendeule kwenye kilabu cha pombe nikifanya research ya ukimwi.

Degree na masters zinaendelea sana kuharibika sana.

Nawasilisha
Shukuru Mungu tuh
Uraibu wako hauongelewi sana
watu siku hizi hawataki ushauri!?
 
TISS iache kulinda CCM ibaki madarakani wao na wanaowalinda walipane posho na mishahara minono,
Ingaike na watu wanaojifanya wajanja wa kubugia Kila kitu....
Vijana kunyweni tu pombe musiwe na akili,musiweze kuwagonga mademu zenu
Sisi tupo tutawasaidia
Yule alikuwaga commisioner TISS kitengo cha drugs alipigwa risasi kwenye gari yake,kajenga mijengo mikubwa mikubwa kibao maeneo mbalimbali ,na chanika yapo wanaishi popo na malaya wake mmoja alimuwekaga mijengo kesi ina unguruma dhidi ya huyo mama na watoto wa mshua
 
Sasa haya mambo ndio sisi tunayapendaga weka wazi kaka. Usiogope jF hawatafuta comment
 
Naam. Mimi ikifika January 1 2025 itakuwa mwaka mmoja bila pombe.

Na hapo nina pombe kibao nyumbani nyingine mpaka beer baridi kwenye friji, sijagusa.
Hongera chief! Najitahidi pia, kila kitu ni mipango tu japo kuna wana watakuona mnafki, unaringa unajitenga lakini kamwe stick na malengo yako,,, hii ndio nguzo kubwa kwangu
 
Kuna siku nilikuwa kwenye happy hour ya kazini.

Bosi mkubwa katutoa, kika mtu anaagiza pombe yake, mimi nikqkataa pombe.

Watu wal8nishangaa, ila walichukua sekunde chache tu kunielewa na kuheshimu maamuzi yangu.

Tena wengine ndio wanafurahia wakijua kuna mtu hanywi huyu ndiye atatulinda tukilewa.
 
Mfumo sahv unapenda kuona watu wakilewa wakikata mauno tu
Mfumo unataka watu wawaze pombe miziki usimba yanga

Subirini hilo tukio la mkuu wa mkoa dar bata la nn sjui muende

Ova
 
Yaani mtu ana degree na masters logic ndogo tu anashindwa kujibu.

Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha Acha kabisa.

Najua nyie TISS mna majukumu makubwa sana ya kiserikali, Fanyeni vetting ya hivi viwanda vya pombe kali zote. Taifa linapotea sana jamani

Kuna hazina za wasomi hapo baadae zikipotea, tutakuwa kwenye hali ngumu sana.

Nalipoti kutoka ndendeule kwenye kilabu cha pombe nikifanya research ya ukimwi.

Degree na masters zinaendelea sana kuharibika sana.

Nawasilisha
Polisi huyu akamatwe arudishwe Milembe, tunapoteza hazina nyingine mkimuacha kitaa
 
Back
Top Bottom