Bangi ni chakula kizuri, ni vile hawatumii kistaarabu.Bangi ndo tatizo kabisa
Bangi haihusiani na huu uzi na wala haihusiani na taifa kuangamiaBangi ndo tatizo kabisa
Kama kusoma tusomili bheee lakini khasi hakuna,wacha tukimwelaki uvukimbi tu.Yaani mtu ana degree na masters logic ndogo tu anashindwa kujibu.
Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha Acha kabisa.
Najua nyie TISS mna majukumu makubwa sana ya kiserikali, Fanyeni vetting ya hivi viwanda vya pombe kali zote. Taifa linapotea sana jamani
Kuna hazina za wasomi hapo baadae zikipotea, tutakuwa kwenye hali ngumu sana.
Nalipoti kutoka ndendeule kwenye kilabu cha pombe nikifanya research ya ukimwi.
Degree na masters zinaendelea sana kuharibika sana.
Nawasilisha
Jah! Bless,Jah rastafali,majani yaheshimiweBangi haihusiani na huu uzi na wala haihusiani na taifa kuangamia
canniba nilijua tu utakuja kwa fujoBangi haihusiani na huu uzi na wala haihusiani na taifa kuangamia
Sijanywa pombe yoyote tangu January 1 2024 nilipokunywa Champagne ya kusheherekea mwaka mpya. Nimeamua kutokunywa mwaka huu, na naweza kuendelea.Yaani mtu ana degree na masters logic ndogo tu anashindwa kujibu.
Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha Acha kabisa.
Najua nyie TISS mna majukumu makubwa sana ya kiserikali, Fanyeni vetting ya hivi viwanda vya pombe kali zote. Taifa linapotea sana jamani
Kuna hazina za wasomi hapo baadae zikipotea, tutakuwa kwenye hali ngumu sana.
Nalipoti kutoka ndendeule kwenye kilabu cha pombe nikifanya research ya ukimwi.
Degree na masters zinaendelea sana kuharibika sana.
Nawasilisha
Mnapotosha sana watu kuhusu mmea, leo hii mmea ungehalalishwa halafu pombe ikapigwa marufuku tungekuwa mbali sana kama taifacanniba nilijua tu utakuja kwa fujo
Mkuu nataka kujua hii saikolojia ya kuacha pombe. Mtaani kuna perception nyingi sana, Mungu anisamehe lakini pia hata makanisani huku kuna kitu hakijakaa sawa. Je, wewe binafsi ulifanyaje mpaka umeweza huu mwaka haugausa kabisa kinywaji ? Nitashukuru sana kwa jibu makiniSijanywa pombe yoyote tangu January 1 2024 nilipokunywa Champagne ya kusheherekea mwaka mpya. Nimeamua kutokunywa mwaka huu, na naweza kuendelea.
Pombe ina madhara mengi, lakini ni mtu mwenyewe atakayeamua kama aache au anywe.
Bangi haina tatizo kabisaBangi ndo tatizo kabisa
kwa nini?Bangi haina tatizo kabisa
Kuna umbeya kwamba asilimia kubwa ya pombe ktk soko la Tanzania ni SUMU na FEKI halafu wamiliki wanapeleka mkono wa ASANTE kwa wenye MAMLAKA.Yaani mtu ana degree na masters logic ndogo tu anashindwa kujibu.
Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha Acha kabisa.
Najua nyie TISS mna majukumu makubwa sana ya kiserikali, Fanyeni vetting ya hivi viwanda vya pombe kali zote. Taifa linapotea sana jamani
Kuna hazina za wasomi hapo baadae zikipotea, tutakuwa kwenye hali ngumu sana.
Nalipoti kutoka ndendeule kwenye kilabu cha pombe nikifanya research ya ukimwi.
Degree na masters zinaendelea sana kuharibika sana.
Nawasilisha
KUacha POMBE ni hatua si kitu cha siku moja,,,,kama upo Dar el salaam nikupe muongozo..........Mkuu nataka kujua hii saikolojia ya kuacha pombe. Mtaani kuna perception nyingi sana, Mungu anisamehe lakini pia hata makanisani huku kuna kitu hakijakaa sawa. Je, wewe binafsi ulifanyaje mpaka umeweza huu mwaka haugausa kabisa kinywaji ? Nitashukuru sana kwa jibu makini
Mmea ni chombo cha ibada....Mnapotosha sana watu kuhusu mmea, leo hii mmea ungehalalishwa halafu pombe ikapigwa marufuku tungekuwa mbali sana kama taifa
Research ya Ukimwi ndiyo research gani hiyo? Kama wasomi wenyewe ndiyo wa namna kama yako hao TISS waanze na wasomi uchwara wa caliber yako.Yaani mtu ana degree na masters logic ndogo tu anashindwa kujibu.
Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha Acha kabisa.
Najua nyie TISS mna majukumu makubwa sana ya kiserikali, Fanyeni vetting ya hivi viwanda vya pombe kali zote. Taifa linapotea sana jamani
Kuna hazina za wasomi hapo baadae zikipotea, tutakuwa kwenye hali ngumu sana.
Nalipoti kutoka ndendeule kwenye kilabu cha pombe nikifanya research ya ukimwi.
Degree na masters zinaendelea sana kuharibika sana.
Nawasilisha
Pombe na sigara naweza acha Ila hawa wasichana ninawapenda kweli🎶alisikika bwana mmojaYaani mtu ana degree na masters logic ndogo tu anashindwa kujibu.