Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha acha kabisa

Mkuu,

Mimi nina saikolojia kwamba mimi ni mtawala. Pombe hainitawali mimi, mimi naitawala pombe.

Saikolojia hii huwa nai test kila mara, hii wala si mara ya kwanza kuacha kunywa pombe, kuna wakati nilikaa miaka miwili bila kunywa pombe.

Yani kila mara nataka kuji test kwamba nikiamua kuacha kunywa pombe kwa mwaka mmoja au miwili, naweza kufanya hivyo.

Na kila nikiacha kunywa pombe hivyo, ni lazima niwe na pombe nyumbani. Kwa mfano sasa hivi nina Scotch, nina Tequila, nina Vodka, nina wine, nina mpaka beer kwenye friji la garage kila nikifungua friji la garage naziona beer za baridi, lakini sijanywa, nimeziweka kama atatokea mgeni mnywa bia anywe na pia kujihakikishia kwamba nimeacha kunywa pombe kwa kuamua, si kwa sababu nyumbani nimeishiwa pombe.

Ni uamuzi wa mtu tu. Mpaka watu wa kazini tukitoka out wanajua Kiranga hanywi pombe siku hizi. Wananiwekea mazingira ya kunywa vinywaji vingine. Mpaka watu wangu wa karibu ni hivyo hivyo.

Najisikia nishakunywa pombe kama zote ma Bourbon, Whisky, Sake, Tequila,Vodka, wine, beer Champagne.

Sina cha kunywa zaidi.
 
Research ya Ukimwi ndiyo research gani hiyo? Kama wasomi wenyewe ndiyo wa namna kama yako hao TISS waanze na wasomi uchwara wa caliber yako.
Ungeniuliza paper ninayoandika ndio ningekuona wamaana kuliko kujaribu kunijibu ushuzi
 
Vetters wenyewe walevi,wana CCM so hebu fanya upembuzi wa watu wa namna hiyo watu jamii ya Bashitete au vieteee
 
Ahsante kwa jibu zuri sana. Ngoja nilifanyie utafiti kwa makini sana. Ahsante sana
 
Ukiona mtu kalewa kwa pombe za gharama kwenye uchumi huu mheshimu...
 
Labda utakuwa huijui "hans choice wewe" tena usiombe uchanganye na pepsi na ice kwa mbali pembeni unakula embassy *****🤣pembeni nyama ng'ombe fulani kilo moja tena Nyama choma
 
Kaa mbali nayo kabisa ndani ya muda mfupi unaacha
 
Labda utakuwa huijui "hans choice wewe" tena usiombe uchanganye na pepsi na ice kwa mbali pembeni unakula embassy *****🤣pembeni nyama ng'ombe fulani kilo moja tena Nyama choma
Ni suala la mindset tu.

Kuna wengi hawaijui Hans Choice na wameshindwa kuacha pombe.

Na mimi ningekuwa na mindset ya kunywa pombe ningekunywa sana, kwa sababu nina uwezo wa kununua na naalikwa mpaka parties za Wall St na Umoja wa Mataifa zenye pombe za kila aina nyingine mpaka za kufungasha kwenda nazo nyumbani.

Yani pombe imekuwa designed kukuvutia kuanzia muonekano wa chupa tu.

Lakini nasema hapana.
 
Pombe ni mind set tu ! Nina mwez wa 3 huu sijagusa, nina mpango wa kupitisha walau mwaka mmoja !!!! Najitahidi kukwepa vishawishi mfano zile kuonana na wana weekend n.k !
Naam. Mimi ikifika January 1 2025 itakuwa mwaka mmoja bila pombe.

Na hapo nina pombe kibao nyumbani nyingine mpaka beer baridi kwenye friji, sijagusa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…