MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 890
- 1,487
Shukuru Mungu tuhYaani mtu ana degree na masters logic ndogo tu anashindwa kujibu.
Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha Acha kabisa.
Najua nyie TISS mna majukumu makubwa sana ya kiserikali, Fanyeni vetting ya hivi viwanda vya pombe kali zote. Taifa linapotea sana jamani
Kuna hazina za wasomi hapo baadae zikipotea, tutakuwa kwenye hali ngumu sana.
Nalipoti kutoka ndendeule kwenye kilabu cha pombe nikifanya research ya ukimwi.
Degree na masters zinaendelea sana kuharibika sana.
Nawasilisha
Anavuta kwa kujificha huyo.Nimeolewa nimekuta mume wangu mpenzi wa Bangi sana nilianza kumrekebisha taratibu Hadi ameacha kabisa
Namchunguza naona ameachaAnavuta kwa kujificha huyo.
Yule alikuwaga commisioner TISS kitengo cha drugs alipigwa risasi kwenye gari yake,kajenga mijengo mikubwa mikubwa kibao maeneo mbalimbali ,na chanika yapo wanaishi popo na malaya wake mmoja alimuwekaga mijengo kesi ina unguruma dhidi ya huyo mama na watoto wa mshuaTISS iache kulinda CCM ibaki madarakani wao na wanaowalinda walipane posho na mishahara minono,
Ingaike na watu wanaojifanya wajanja wa kubugia Kila kitu....
Vijana kunyweni tu pombe musiwe na akili,musiweze kuwagonga mademu zenu
Sisi tupo tutawasaidia
Uoongooo,tunaeeza kuacha mke sio bangi,sema kabadili formula tuNimeolewa nimekuta mume wangu mpenzi wa Bangi sana nilianza kumrekebisha taratibu Hadi ameacha kabisa
Heshimuni vinywaji vya watu
Endelea tu kujiaminisha hivyo ila huyo hajaacha.Namchunguza naona ameacha
Sasa haya mambo ndio sisi tunayapendaga weka wazi kaka. Usiogope jF hawatafuta commentYule alikuwaga commisioner TISS kitengo cha drugs alipigwa risasi kwenye gari yake,kajenga mijengo mikubwa mikubwa kibao maeneo mbalimbali ,na chanika yapo wanaishi popo na malaya wake mmoja alimuwekaga mijengo kesi ina unguruma dhidi ya huyo mama na watoto wa mshua
Sina hulka ya hofu mimi,ila nilimaanisha mfumo wa usalama wa nchi umetawaliwa na mazumbukuku ukiondo JWTZ,,TISS ndio hovyo kabisa na tanpolSasa haya mambo ndio sisi tunayapendaga weka wazi kaka. Usiogope jF hawatafuta comment
Nani ? Tanpol na TISS?Ila najua wtatumind sana. #Notedwiththanks
Hongera chief! Najitahidi pia, kila kitu ni mipango tu japo kuna wana watakuona mnafki, unaringa unajitenga lakini kamwe stick na malengo yako,,, hii ndio nguzo kubwa kwanguNaam. Mimi ikifika January 1 2025 itakuwa mwaka mmoja bila pombe.
Na hapo nina pombe kibao nyumbani nyingine mpaka beer baridi kwenye friji, sijagusa.
Kuna siku nilikuwa kwenye happy hour ya kazini.Hongera chief! Najitahidi pia, kila kitu ni mipango tu japo kuna wana watakuona mnafki, unaringa unajitenga lakini kamwe stick na malengo yako,,, hii ndio nguzo kubwa kwangu
hivi unajua utamu wa gongo iliyowekwa kwenye friji wewe??
Meditation & too much awareness.kwa nini?
Polisi huyu akamatwe arudishwe Milembe, tunapoteza hazina nyingine mkimuacha kitaaYaani mtu ana degree na masters logic ndogo tu anashindwa kujibu.
Punguzeni pombe vijana, Ukipata nafasi ya kuacha Acha kabisa.
Najua nyie TISS mna majukumu makubwa sana ya kiserikali, Fanyeni vetting ya hivi viwanda vya pombe kali zote. Taifa linapotea sana jamani
Kuna hazina za wasomi hapo baadae zikipotea, tutakuwa kwenye hali ngumu sana.
Nalipoti kutoka ndendeule kwenye kilabu cha pombe nikifanya research ya ukimwi.
Degree na masters zinaendelea sana kuharibika sana.
Nawasilisha
Sio kweliMeditation & too much awareness.