Kuna siku nilikuwa kwenye happy hour ya kazini.
Bosi mkubwa katutoa, kika mtu anaagiza pombe yake, mimi nikqkataa pombe.
Watu wal8nishangaa, ila walichukua sekunde chache tu kunielewa na kuheshimu maamuzi yangu.
Tena wengine ndio wanafurahia wakijua kuna mtu hanywi huyu ndiye atatulinda tukilewa.