Punguzo la PAYE kwa asilimia 1 ni dhihaka kwa wafanyakazi!


Hapo ndipo penye mziki na wafanya kazi wengi wanapokea above that amount of Salary hebu niambie sasa unarudi home na nini hapo at the end of the month hujapita sokoni,kodi ya nyumba per month na makorokoro mengine pia.

Kweli serikali imeshindwa kubuni mbinu mbadara ya kukusanya kodi nchi hii hapo ina maana nchi yetu inaendeshwa kwa kodi za wafanyakazi period


 
jaman wana jf hivi ni kweli nimesikia kama kodi za mishahara zimepunguzwa toka 14% adi 13%, sasa wamepunguza nini hapa? ki ukweli ni sawa na hakuna kabisa, bado ni majanga hasa sisi wenye mishahara midogo ambayo nayo inaishia kwenye kodi.
 
Mbona tangu mwanzo kodi ni zaidi ya asilimia 14%, hilo punguzo la kutoka 14% - 13% limetoka wapi????. Mfano, makato ya kodi ya mshahara wangu kwa mwezi ni Tshs. 648,200/- na Gross salary yangu ni sh. 2,600,000/-. Sasa nisaidieni hiyo ni asilimia ngapi?
 
....
...♥♡☆★...
Safi sana Serikali sikivu.... xcellent...!!!!

.... HAKUNA MTU KULALAMIKA.....keep quite....!!!
 
mkuu alipoingia jk madarakani kodi ilikuwa asilimia kumi na nane leo imeshuka hadi 13% unalalamika unataka nini,kikubwa ni stage by stage.
 
Wanochoongelea ni asilimia ya kwenye mabano ambayo ni sawa tsh 1,900 ndio wamepunguza , hii serikali ina utani na watu wake kweli , wamepandisha mafuta tena so ni maumivu zaidi tuu .

[TABLE="width: 237"]
[TR]
[TD="class: xl64, width: 65, bgcolor: transparent"]from[/TD]
[TD="class: xl65, width: 59, bgcolor: transparent"]to[/TD]
[TD="class: xl65, width: 70, bgcolor: transparent"]amount [/TD]
[TD="class: xl66, width: 49, bgcolor: transparent"] [/TD]
[TD="class: xl67, width: 72, bgcolor: transparent"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl68, bgcolor: transparent"] - [/TD]
[TD="class: xl63, bgcolor: transparent"] 170,000 [/TD]
[TD="class: xl63, bgcolor: transparent"] 170,000 [/TD]
[TD="class: xl63, bgcolor: transparent"] - [/TD]
[TD="class: xl69, bgcolor: transparent, align: right"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl68, bgcolor: transparent"] 170,000 [/TD]
[TD="class: xl63, bgcolor: transparent"] 360,000 [/TD]
[TD="class: xl63, bgcolor: transparent"] 190,000 [/TD]
[TD="class: xl70, bgcolor: transparent, align: right"]14.0%[/TD]
[TD="class: xl69, bgcolor: transparent, align: right"]26600[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl68, bgcolor: transparent"] 360,000 [/TD]
[TD="class: xl63, bgcolor: transparent"] 540,000 [/TD]
[TD="class: xl63, bgcolor: transparent"] 180,000 [/TD]
[TD="class: xl70, bgcolor: transparent, align: right"]20.0%[/TD]
[TD="class: xl69, bgcolor: transparent, align: right"]36000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl68, bgcolor: transparent"] 540,000 [/TD]
[TD="class: xl63, bgcolor: transparent"] 720,000 [/TD]
[TD="class: xl63, bgcolor: transparent"] 180,000 [/TD]
[TD="class: xl70, bgcolor: transparent, align: right"]25.0%[/TD]
[TD="class: xl69, bgcolor: transparent, align: right"]45000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl68, bgcolor: transparent"] 720,000 [/TD]
[TD="class: xl63, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: xl63, bgcolor: transparent"] 1,620,000 [/TD]
[TD="class: xl70, bgcolor: transparent, align: right"]30.0%[/TD]
[TD="class: xl69, bgcolor: transparent, align: right"]486000[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
kiukweli ata mm nishawahi piga nikagundua siyo 14% ni zaidi ss sijui wao wanatumia vigezo vp
 
Ile bajeti ni ya kumkandamiza mwananchi wa kawaida kabisa. Kulingana na ile bajeti, gharama za maisha zitakuwa kubwa sasa na wakati ujao kwa sababu kodi zimepanda, hiyo PAYEE wanayosema imeshuka imeshuka kwa 1,500 tu ambayo ukinunua maji ya kunywa imeshaisha. Ila kodi ya mafuta imepanda na hivyo itaongeza gharama ya maisha katika kila kitu.
 
ukiuliza watakuambia ni hesabu za kitaalamu zaidi km vile sisi siyo watalam
 
Kaka mjibu ki kodi zaidi, kwa watu wasio wataalamu wa kodi hii ni ngumu kumeza, haieleweki!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mm nashukuru kwa kupungua hiyo 1% toka 14% mpaka 13% sio sawa na kubaki ile ile japo bado inaumiza!!
 
jaman wana jf hivi ni kweli nimesikia kama kodi za mishahara zimepunguzwa toka 14% adi 13%, sasa wamepunguza nini hapa? ki ukweli ni sawa na hakuna kabisa, bado ni majanga hasa sisi wenye mishahara midogo ambayo nayo inaishia kwenye kodi.

mi naona nakatwa 16% ya mshahara wangu na siyo 14%
 
Fanyeni kazi hakuna mfanyakazi duniani asiyelipa kodi

Watingaji hatukatai kulipa kodi, lakini kodi hiyo ina fanya kazi gani iwapo huduma zote za serikali ninatakiwa nilipe cash money? Pia serikali haituhakikishii maisha yetu baada ya kustaafu. Kama ninalipa KODI ya zaidi ya 50% ya pato langu kwanini mtotowangu asisomeshwe bure, nisipate matibabu bure, nisipate huduma ya maji bure, nisipewe nyumba za serikali kwa bei nafuu n.k.

Nchi kama Sweden zinazo toza kodi ya 50% kama yetu, wafanyakazi wake wanauhakika wa maisha baada ya kustaafu.
 
Mkuu ungeweka heading hivi;Mkanganyiko katika kodi ya mishahara.Tungechangia vizuri lakini sasa tunajadili punguzo la kodi hata kama ingekua imepunguzwa 0.05% bado ni punguzo.Ila ni kweli hata mimi sielewi ukokotoaji wao.
 

Nasema ni kweli na kweli tupu. Ni kwa vile nitaji-expose ila ningeweka salary slip yangu. Sasa uone NHIF ni sh. 78,000 tu kwa mwezi
 
Pole sana.Unaye-argue naye ni huyo huyo ambae ana ishi kwa kutumia kodi yako,kwa hiyo unaposema kodi ipunguzwe hakuelewi.He is a blood sucker,achana nae.Unapoteza nguvu bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…