Punyeto inavunja ndoa yangu

Km wewe mwenyewe huna nia ya kuacha hiyo kitu huwezi acha. Km upo serious kwanza badili mfumo wako wa maisha 28 una kilo 93? Labda wewe ni mnene sawa ila anza mazoezi ukate kilo wakati huo unaji-keep busy kupunguza au kuacha punyeto.

1. Usikae peke yako
2. Fanya mazoezi sana
3. Kunywa maji mengi
4. Acha kuangalia porn
5. Oga na mkeo
6. Kuwa na ratiba ngumu ya kazi na mazoezi kiasi kwamba hupati muda wa kupiga hiyo punyeto
7. Hutaacha ndani ya mwezi au wiki inachukua muda hivyo punguza kufanya hiyo kitu taratibu hadi mwaka unaisha utaona mabadiliko.
8. Mshirikishe mkeo katika mkakati wako huo wa kuacha atafurahi na atakusaidia na utakuwa huru tena.

Kila la Kheri.
 
Mkuu,
Kwanini aache kula ngano?
 
Miaka 28 kilo 93 Duh izo kilo ndo tatizo Fanya mazoezi ounguza mavyakula ya wanga upunguze kilo atleast ufike kilo 70 na nyeto haitakuadhiri
 
Heri utafute ushauri nasaha kwa madaktari/ wanasaikolojia brother.
mana apo inaonesha nyeto imekumeza.
 
Andika kama mtu mzima...
 
Nimecheka saaaana,
btw unashndwaje kuacha punyeto wakati mke unae ndani...
 
Tafuta mchumba utaacha haya mambo
 
Numepata tabu kusoma, mwandiko unaumiza macho
 
Kuacha ni rahisi tu provided mkeo anajua ndio atakuwa msaada.
Inafaa ajue mbinu za kukurudisha kwenye form ya kawaida na yeye ndio inatakiwa aambiwe. Akupe kimoja asubuhi na kimoja jioni kila siku mpaka pale hamu ya ngono inapokuwa imekata. Na pia asikucheleweshe baada ya siku moja au mbili akupe show tena . Asikupe nafasi.

Pia cha kusoma simulizi za ngono na kuangalia porn movies utakaa sawa. And before game hakikisha unakula ndizi hata moja kwa ajili ya kubusti libido. Mambo ni mengi ya kusema ila hayo yanafaa ukianza kuyafuata
 
Kuna wale mapenzi na tamaa wanahamishia kwenye nyeto.
 
Unatumia sifuri badala ya O vipi kuna shida kwenye keyboard mr.Mkonole?
 
Ila kufumwa unajichua sio pow wakuu me mwaka fulani niko busy kweli najichulia kitandani wakati nakitupa c macho yakaelekea mlangoni kutazama kwa makini naona jicho la mzee wangu ananicheki tu🤣🤣🤣🤣 Dah! Ile siku ilikuwa worst sana asee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…