Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo


Mwanaume anayejichua ni mwanaume dhaifu kuanzia mwili hadi afya yake ya akili.
Mkuu madai kama haya huleta maana kama yatasindikizwa na ushahidi aidha wa kidini au kisayansi.
 
Hivi Ni Nani huyo aliyegundua huu mchezo wa punyeto maana jamaa alizua balaa Kweli Kweli,dah!
Hakuna aliyefundishwa!!!

Mfano mimi niliujua huu mchezo kipindi nipo kijana siku moja nilitaka kupiga match na mtoto wa mtu mchana wa jua kali nikaingia bafuni nijimwagie maji kupunguza joto sasa nikawa na feelings na yule mtoto kule chumbani mnara ukainuka ktk kujipaka paka sabuni nikajisikia kusisimkwa nikasema ngoja nifanye hivi nikawa interested toka siku hiyo gari likawaka.

Namshukuru Mungu sikufikia kuwa addicted niliiacha mapema ila still huwa nakung’uta japo kwa miezi sita mara moja,na mke ninae nadhani ni shetani tu hataki tuione mbingu.
 
Daah ile sabuni ya jamaa nimeipigia sana nyeto na mafuta ya kula au babycare......

Bao la mkono lilikuwa tamu.....😂😂😂

Ila nimeacha wakuu nyeto noma....

Kuna dogo hawezi kupiga mzogo hadi abusti na vitu aseee.....
 
kumwaga njee + kupiga nyeto + kutumia kondom = taratibu za kuepusha jinsia ya kike kupata mimba
 
Daah yan ndo nmetoka kupga nyeto apa ila bola nioe aisee
Watu hua wanaacha wake zao kitandani wamelala wanaenda zao bafuni kupambana na Mrs. Sabuni.

Uzuri wa Nyeto unajipimia unataka demu gani?Mnene kidogo,mwembamba mwenye vimatako Kama ngumi,kiuno nyigu etc na Ukitaka kumwagia Wazungu unaweza kusitisha zoezi kwa muda kidogo au ukaongeza Muda wa Wazungu kuja yaani Ni kupunguza/kuongeza speed ya mkono na povu la sabuni au ukatemea mate kidogo,itategemea tu na ushirikiano ulioupata Toka kwa huyo kimwana siku hio huko kichwani kwako.
 
Mkuu nadhani point kubwa ya Yesu hapo ilikuwa sio kutazama...point ni kutamani kuzini naye.....sasa kinachofanyika ktk nyeto...kule kuvuta hisia si ndo huko huko kutamani?...na ukumbuke nyeto inahusha uvutaji wa hisia tofauti tofauti...ikiwemo hiyo ya kutamani kuzini na mwanamke fulani
 

Mwanaume anayejichua ni mwanaume dhaifu kuanzia mwili hadi afya yake ya akili.
Basi kwa statement hio nadhani 98% ya wanaume kwa Sasa Ni wadhaifu,tena hio figure yawezekana nimei-underestimate.
 
Daah ile sabuni ya jamaa nimeipigia sana nyeto na mafuta ya kula au babycare......

Bao la mkono lilikuwa tamu.....😂😂😂

Ila nimeacha wakuu nyeto noma....

Kuna dogo hawezi kupiga mzogo hadi abusti na vitu aseee.....
Kitu Cha Porn-induced erectile dysfunction(PIED) ndani ya nyumba.
 
Hongera kwa hatua hiyo mkuu
Tafadhali ‘share’ nasi mbinu ulizotumia kuacha
Nmepunguza kuangalia porno, nmejiepusha kukaa chumban pekeangu na mda nkiwa pekeangu bas ntakuwa naangalia movie au kucheza game

Pia nlfkria sana itakuaje sku na mm ikantokea ile hali ya watu wanayosema kimoja tu chali mtu hawez kuendlea na ndo limenfanya pia nichukue hatua ya kuacha kupiga

Nmefuta channel zote za porno, mfano za huko telegram, Twitter ili kuepusha kuangalia vdeo ztakazonfanya npige

Hayo ni baadh tu.
 
Ili kujua punyeto ni dhambi au sio dhambi, ni lazima tujiulize nini kinapelekea mtu anafanya punyeto; maana dhambi haianzii mwilini, bali dhambi inaanzia rohoni. Ndio maana Bwana Yesu alisema..

Mathayo 15:18-19 “Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi.
Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano."

Hivyo, kabla ya kutaka kufanya tendo lolote la zinaa, huwa linaanzia kwanza moyoni, kwa kutamani. Pale unapotamani tu, tayari umeshazini kabla hata ya kukutana na yule mtu kwa mujibu wa maandiko.

Mathayo 5:28 “lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake”.

Kama ‘wazo’ tu ni dhambi, si Zaidi ‘tendo la wazo’?

Hivyo, kujichua ni dhambi, kwa sababu hilo ni zao la tamaa ya uzinzi. Na haupaswi kufanya kama mtoto wa Mungu, kwasababu wote wanaofanya wanatenda dhambi

Ukiwa mfanyaji wa dhambi hii, wewe mwenyewe tu dhamiri yako itakushuhudia unachokifanya sio sawa, bila hata kuhubiriwa au kusoma biblia.

Kabla hujafanya chochote, tafakari kwanza, Je! Yesu anaweza kufanya hilo jambo? Kama hawezi basi, ujue ni dhambi.
 
Mkuu umenena vyema sana...nami pia nafahamu nyeto ni dhambi kwa sababu hizo hizo ulizozitaja ww.
Sema nina swali moja kwako....Vp kama mtu ameoa na yupo mbali na mkewe...na akaamua kupiga nyeto kwa kumvutia hisia (Kumtamani) mke wake wa ndoa.....hapo punyeto yake itahesabika ni dhambi au siyo dhambi?
 
na akaamua kupiga nyeto kwa kumvutia hisia (Kumtamani) mke wake wa ndoa.....hapo punyeto yake itahesabika ni dhambi au siyo dhambi?
Mkuu; Biblia inatuasa kuzishinda tamaa za mwili.
1 Petro 2:11
Wapenzi, nawasihi kama wapitaji na wasafiri, ziepukeni tamaa za mwili zipiganazo na roho.

Soma pia hapa;
Wakolosai 2:23
[23]Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kunyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali; lakini hayafai kitu kwa kuzizuia tamaa za mwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…