Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

Japo nimechelewa ila huu ni uzi bora niliosoma kwakufungua mwaka huu 2023
 
Hii tafsiri yako sijui ni doctrine ya dhehebu gani??
 
This is good brother na iman ukiendelea hv utakua OK. anza mazoez mdgo mdgo you gonna be OK.
 
Punyeto ni nini
The more you do the more you became more female, yaan kadri unavyopiga nyeto ndio unavyozidi kua na tabia za kike (feminine) ukiacha na kuzuia mbegu tabia inahama unaanza kua na tabia za kiume (masculine), sasa chagua unataka kua mwanamke au unataka kua mwanaume?

Haujaelewa ipo hivi kuna energy mbili kila moja ipo upande wake na inafanya kazi yake

Feminine energy & Masculine energy

Feminine energy = female.
Masculine energy = male

Daoist / Taoist wanaiita Yin & Yang.

Sasa ipo hivi ukipiga puli au nyeto unapoteza masculine energy Ila unapokea feminine energy.

Ukiacha puli au nyeto unapoteza feminine energy unapokea masculine energy.

Sasa chagua unataka kua mwanamke au unataka kua mwanaume?

Future is female maana wanaume wengi wanapiga puli wanapiga nyeto idadi ya wanaume inazidi kupungua kadri wanaume wanavyopiga puli.
 
Haya madai unayatoa wapi mkuu?
Kuna msomi yeyote alifanya tafiti au ni mawazo yako mkuu?

Tupe Rejea tafadhali.
 
Haya madai unayatoa wapi mkuu?
Kuna msomi yeyote alifanya tafiti au ni mawazo yako mkuu?

Tupe Rejea tafadhali.
Mkuu kila kitu nimeandika hapo ubaya wa karne hii ni kwamba dunia na maarifa vipo kiganjani kwako, ukitaka kua mwanaume hakikisha unahifadhi testosterone hormones zako kadri uwezavyo, ukizipoteza ovyo ovyo utaanza kujiremba uwe km mwanamke ili upendwe ili upewe ili upokee
 
Rejea iko wapi mkuu?

Au hayo maarifa umeyatoa wapi? Kuna mwanasayansi aliyafanyia utafiti akaandika kitabu?
Kama ndiyo, tuwekee rejea zako hapa.

Kuna mtaalam wa kiroho amesema?
Kama ndiyo, weka rejea hapa.

Kwenye andiko langu nimesema madai nilipoyatoa, yako umetoa wapi?

Kama ni mawazo yako tu hakuna ubaya pia tuambie, maana kila mmoja anao uhuru kutoa mawazo yake, lakini hatukubali maoni yako kuyafanya yaonekane kana kwamba ni ‘fact’.
 
Emu jaribu kupitia hapa mkuu maana naona mimi hunielewi
 
Kwahiyo hiyo ndiyo rejea yako?
 
Kwahiyo hiyo ndiyo rejea yako?
Mkuu nimejaribu kukuelezea kwa summary fupi haujanielewa nimejaribu kukupa maelezo haujanielewa sasa hata nikikupa rejea 700 najua hautanielewa, tusijaze server za JF kwa kitu cha kawaida ambacho kipo wazi fanya hivi wewe baki na kile unachokiamini nami nibaki na kile ninachokiamini na kukielewa, hapo unaonaje au unahitaji mjadala uendelee nikuletee hizo rejea unazozihitaji?
 
Mkuu mimi sina shida, niko tayari kujifunza.

Madai uliyoleta ni ‘very serious’ na ndiyo maana ninataka rejea kujiridhisha kuwa ni kweli au vinginevyo ifahamike kuwa ni maoni yako.

Yaani madai ya kuwa wanaume wakipiga nyeto wanakuwa na tabia za kike hivyo inatishia uwepo wa wanaume huko mbeleni.

Haya madai ni mazito sana kiasi yanaweza zua taharuki, na ndiyo maana nikaomba rejea maana nimeshtuka sana ukiangalia karibia 95% ya ME wanapiga au waliwahi piga nyeto wakati fulani.

Sasa rejea uliyonipa ni ‘post’ ya mdau mmoja hapa JF ambayo nayo sijaona ikiwa na ushahidi wa kisayansi.

Sasa kama una rejea 700 tafadhali ishushe moja tu kuliweka hili sawa, na kama huna basi iweke wazi kuwa yale ni maoni yako mkuu.

Na usijali kunieleza kwa ‘summary’ nina muda wa kutosha kuzisoma zote 700 mkuu, zilete tu.
 
Ni ngumu kunielewa mkuu nikitulia nitafungua uzi ikiwezekana nitaku-tag kabisa maana nikiandika hapa hapawezi kutosha na pia inahitaji mtu mwenye akili pana kuelewa hili jambo ukiwa na akili za kushikiwa ni ngumu kuelewa,

Hapo mwanzoni kipindi cha ujana wangu nilipokua nasikia habari za nguvu za kiume nilikua sielewi hawa wanamaanisha nini maana wanasema tu nguvu za kiume Ila hawaendi deep kuelezea nguvu za kiume ni nini haswa? Au mwanaume nguvu zake haswa zilipo ni wapi? Wamefanya Siri

Madaktari na wengineo hua wanasema juu juu tu kujichua sijui punyeto inasababisha unapoteza nguvu za kiume Ila hawaelezi kinaganaga kwamba anazipotezaje hizo nguvu zinapopotea hua zinaenda wapi?

Inakubidi ujue nguvu za kiume au nguvu za mwanaume zipo kwenye mbegu zake yaan ukipoteza mbegu zako ukazimwaga aidha kwa kupiga punyeto au vinginevyo, wewe una-shift kutoka kwenye upande wa mwanaume unahamia upande wa mwanamke, umeielewa hio concept kidogo lakini au bado nakuumiza kichwa hapo?

Ngumu kuelewa, basi emu endelea kutafakari.
 
Mkuu wewe haupo kwenye nafasi ya kuamua kama itakuwa ngumu kwangu kukuelewa ama la, wewe weka rejea zako hapa tutazipitia na tuone kama kuna mashiko.

Mkuu haya madai yamefanyiwa tafiti kisayansi au ni maoni yako?

Ukinambia ati Mwanaume akitoa mbegu zake anakuwa mwanamke ni madai ya kuchekesha sana

Mfalme Mswati wa Swaziland ana wake wengi na hakujaripotiwa yeye kuwa mwanamke,

Mfalme Suleyman alikuwa na wanawake 1000 hakuna ripoti ya namna hiyo,

Mtume Muhammad alikuwa na wake 9 hakuna ripoti ya namna hiyo,

Mzee mwinyi alikuwa na wake kadhaa hakuna ripoti ya namna hiyo,

Diamond platinumz anasifika kwa kuwa na wanawake wengi hakuna ripoti ya namna hiyo,

mzabzab , Zero IQ , na wengine wengi hawajawqhi ripoti hivyo.

Isitoshe kama una wazazi jiulize wana miaka mingapi?
Miaka yote hiyo unamuona baba yako akiwa na tabia za kike?

Kama hapana haya madai umeyatoa wapi?


Bado ninaomba rejea, ziweke hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…