Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

Kila kitu kifanyike kwa kiasi, ukipiga mkono once in a while haina tatizo, hata maandiko yanasema tuwe na kiasi, kiasi katika kula, kunywa, kuvaa, kuongea, kufanya ngono na hata punyeto [emoji3]
 
Musturbation ni DHAMBI, na sio dhambi tu ila inamuunganisha Mtu na Mapepo na kumconnect na wanawake au wanaume wa kimajini kwa njia ya kiroho

Utashangaa Mtu hapati mke au mume wa kuoa na hata akimpata ndoa haidumu kwasababu tayari ameanzisha uhusiano wa kiroho na kiumbe kingine bila kujua, na hivyo viumbe vina wivu

This is very true, zile mbegu unazomwaga chini au kitandani ni za thamani mno na haziendi bure

Punyeto inamuathiri Muhusika Kiroho, Kiakili na hata Kiafya.
 
Tupe andiko mkuu linalosema mbegu zilizomwaga nje zina uwezekano wa kuanganishwa na roho chafu....
 
Musturbation ni DHAMBI, na sio dhambi tu ila inamuunganisha Mtu na Mapepo na kumconnect na wanawake au wanaume wa kimajini kwa njia ya kiroho

Utashangaa Mtu hapati mke au mume wa kuoa na hata akimpata ndoa haidumu kwasababu tayari ameanzisha uhusiano wa kiroho na kiumbe kingine bila kujua, na hivyo viumbe vina wivu

This is very true, zile mbegu unazomwaga chini au kitandani ni za thamani mno na haziendi bure

Punyeto inamuathiri Muhusika Kiroho, Kiakili na hata Kiafya.
Tupe rejea, maana mtu yeyote anaweza dai chochote.

Ukileta madai kama haya ni LAZIMA ulete rejea kuwa ni nani kasema, na sababu ni moja tu katika hiyo ‘field’ si mimi wala wewe tunaoweza dai kuwa tumefanya tafiti au ni Wataalamu hivyo ni lazima turejee kwa wataalam au watafiti wa ‘field’ husika vinginevyo madai yako yanakuwa ni ‘mere speculation’ mkuu.
 
Musturbation ni DHAMBI, na sio dhambi tu ila inamuunganisha Mtu na Mapepo na kumconnect na wanawake au wanaume wa kimajini kwa njia ya kiroho

Utashangaa Mtu hapati mke au mume wa kuoa na hata akimpata ndoa haidumu kwasababu tayari ameanzisha uhusiano wa kiroho na kiumbe kingine bila kujua, na hivyo viumbe vina wivu

This is very true, zile mbegu unazomwaga chini au kitandani ni za thamani mno na haziendi bure

Punyeto inamuathiri Muhusika Kiroho, Kiakili na hata Kiafya.
According to?
 
Biblia inasema usimtamani mwanamke asiye mke wako..kwa uelewa wangu mdogo hapo maana yake kumtamani mkeo kiasi hata cha kumpigia nyeto kama hampo pamoja sio dhambi.
Mara nyingi wanaopiga nyeto wakati anafanya hamuwazi mtu wake, kama ikitokea ni nadra sana.

Mara nyingi atampigia nyeto mtu mwingine ambaye huwa anamtamani, atamvutia picha. Au kama ni mtu anaye angalia porn atavuta ile picha iliyowahi kumvutia.

Halafu unaweza mvutia picha mtu ambaye kikawaida ukimuona huna hisia nae hata kidogo...usiulize nimejuaje
 
Kama Punyeto ni dhambi basi Mungu sio fair

Imagine kijana anayejipanga na maisha hana uwezo wa kuoa, hataki kubaka wala kuzini, mnataka afanyeje?
 
Sawa Wakuu, nitajaribu kukuwekea baadhi ya mistari na maelezo hapa ila pia nakushauri uingie katika forum ya Nairaland kuna Mtumishi ameeleza kirefu na vizuri sana kuhusu hili.

Title ya Mada ni Spiritual Significance of Semen.
View attachment 2405715View attachment 2405716View attachment 2405718
Screenshot_20220922-075021.jpg
View attachment 2405717
 
Nmepunguza kuangalia porno, nmejiepusha kukaa chumban pekeangu na mda nkiwa pekeangu bas ntakuwa naangalia movie au kucheza game

Pia nlfkria sana itakuaje sku na mm ikantokea ile hali ya watu wanayosema kimoja tu chali mtu hawez kuendlea na ndo limenfanya pia nichukue hatua ya kuacha kupiga

Nmefuta channel zote za porno, mfano za huko telegram, Twitter ili kuepusha kuangalia vdeo ztakazonfanya npige

Hayo ni baadh tu.

Hauwashi VPN Google?[emoji16][emoji16] umesaliti Chama
 
Back
Top Bottom