Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu rejea hapo juu nimekwambia unahitaji akili pana kuelewa Ila km una akili za kushikiwa huwezi kunielewa, wewe akili zako zimeshikwa na kile ulichoaminishwa, Suleiman alikua anazalisha kila siku na huyo bwana Mswati unataka kusema kila siku yeye kazi yake ni kumwaga mbegu tu? Rudi kwenye mada yako inahusu nini, punyeto right? Alafu rudi kwenye kile nimekiandika, bado hauoni uwiano wowote baina ya kile nmeandika na ulichokiandika?Isitoshe kama una wazazi jiulize wana miaka mingapi?
Miaka yote hiyo unamuona baba yako akiwa na tabia za kike?
Fanyia tafiti vitu vya maana Wazungu, Wachina wanafumbua Magari, Tiba za magonjwa, na Midege nyie mmekalia tafiti zilizojikita kwenye imani zako unazoziamini mara roho za kishetaniMkuu rejea hapo juu nimekwambia unahitaji akili pana kuelewa Ila km una akili za kushikiwa huwezi kunielewa, wewe akili zako zimeshikwa na kile ulichoaminishwa, Suleiman alikua anazalisha kila siku na huyo bwana Mswati unataka kusema kila siku yeye kazi yake ni kumwaga mbegu tu? Rudi kwenye mada yako inahusu nini, punyeto right? Alafu rudi kwenye kile nimekiandika, bado hauoni uwiano wowote baina ya kile nmeandika na ulichokiandika?
Tatizo ni moja wewe unahitaji mjadala uwe mrefu wakati mwenye kichwa chepesi atakua ameshanielewa nilichokiandika ni nini, mimi nimesoma katika tafiti zangu binafsi ndio nikabaini hivyo na nikaacha kufanya nilichokua nafanya maana sitaki kugeuka kua na tabia za kike, copy that? Sasa usianze kuniuliza tabia za kike ni zipi au tabia za kike zinakuaje au tabia za kike zinatokana na nini?
Sitoweka rejea zozote hapa Ila nilichoandika umekielewa nimemaanisha nini unapomwaga una-shift kutoka Me kwenda Ke, I am talking about energy spiritually not scientifically (ni km mfumo wa battery ulivyo - na +) namaanisha nguvu zako zinapotea unakua umebaki km mwanamke baada ya kumwaga mbegu you loose (umepoteza yeye amepokea nguvu), means itabidi usubiri tena mwili wako utengeneze upya mbegu zako (recharge) ili uwe mwanaume km awali kwa kipindi hicho wakati mwili unakusanya nguvu unakua na vijitabia vya kike kike, mwili huchukua mda gan kutengeneza mbegu moja ya mwanaume (nguvu za mwanaume)? Swali linarudi kwako, simaanishi unakua mwanamke kijinsia au wanaume wanaanza kukugeuza au unageuka unakua mwanamke miaka yako yote, wewe tatizo unakaza Fuvu mkuu,
Kuna kitabu nilikisoma mwanzo mwisho ndio kilikua kikitoa hayo maelezo, ngoja nikitafute ntakuwekea hapa au ntaku-direct kwa muuzaji na wewe ununue usome
Km haujaelewa na hii basi utakua una kichwa kimoja kizito mno niishie hapa,
Kwa taarifa yako makala nilizozisoma waandishi na waliofanya tafiti hizo ni hao hao Wachina na Wazungu, una kingine nikusaidie mkuu?Fanyia tafiti vitu vya maana Wazungu, Wachina wanafumbua Magari, Tiba za magonjwa, na Midege nyie mmekalia tafiti zilizojikita kwenye imani zako unazoziamini mara roho za kishetani
Ili taifa litaendelea kweli kwa tafiti izi za Kufikirika ambazo hazina uhalisia zaidi ya kutishana tu??
Wanaume wengi tu wamepiga Punyeto hadi leo wamezeeka na hawajawa Wanawake wewe kama ulipiga ukawa Mwanamke ndo utuambie ili tuamini utafiti wako.Kwa taarifa yako makala nilizozisoma waandishi na waliofanya tafiti hizo ni hao hao Wachina na Wazungu, una kingine nikusaidie mkuu?
Nakupa home work ingia Google andika taiji alafu fuatilia kiundani, km wewe ni mwanaume km wewe ni mwanamke pita kushoto,
We jamaa nimesha kufahamuMwanaume rijali na aliyekamilika ni lazima apige punyeto na kubet
Hawataki kuambiwa ukweliTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Relax mkuu hatushambuliani binafsi, tujikite kwenye mjadala.Mkuu rejea hapo juu nimekwambia unahitaji akili pana kuelewa Ila km una akili za kushikiwa huwezi kunielewa, wewe akili zako zimeshikwa na kile ulichoaminishwa,
Haya si maneno yako?Suleiman alikua anazalisha kila siku na huyo bwana Mswati unataka kusema kila siku yeye kazi yake ni kumwaga mbegu tu? Rudi kwenye mada yako inahusu nini, punyeto right?
Hakuna uwiano, maana unashindwa thibitisha madai yako uwiano utatoka wapi na kuna mifano dhahiri ya wazazi wako, je, umemuona baba yako akiwa na tabia za kike? Maana ‘chances are’ anamwaga mbegu kwa njia moja ama nyingine, jibu hujanipa.Alafu rudi kwenye kile nimekiandika, bado hauoni uwiano wowote baina ya kile nmeandika na ulichokiandika?
Sihitaji mjadala mrefu, kitu pekee nakuomba ni rejea tu, nikishapata nitaenda jisomea kujiridhisha. Lete rejea funga mjadala.Tatizo ni moja wewe unahitaji mjadala uwe mrefu wakati mwenye kichwa chepesi atakua ameshanielewa nilichokiandika ni nini,
Anhaa kwahiyo kumbe ni dhana dhahania tu, sawa sasa nimekuelewa kuwa hakuna ushahidi wa madai yako ila ni dhana tu uliyonayo, ila nikutoe wasiwasi mkuu dhana hiyo ni batili na haina ushahidi wowote.Sitoweka rejea zozote hapa Ila nilichoandika umekielewa nimemaanisha nini unapomwaga una-shift kutoka Me kwenda Ke, I am talking about energy spiritually not scientifically (ni km mfumo wa battery ulivyo - na +)
😂 Mkuu unajua unachokisema lakini?namaanisha nguvu zako zinapotea unakua umebaki km mwanamke baada ya kumwaga mbegu you loose (umepoteza yeye amepokea nguvu), means itabidi usubiri tena mwili wako utengeneze upya mbegu zako (recharge) ili uwe mwanaume km awali kwa kipindi hicho wakati mwili unakusanya nguvu unakua na vijitabia vya kike kike,
Hutegemea na mwili wa mwanaume husika. Ila mwili huzalisha ‘sperm’ kila leo na uzalishaji wa ‘sperm’ mpaka ikue inakadiriwa huchukua kati ya siku 60-80 hutegemea na mtu husika.mwili huchukua mda gan kutengeneza mbegu moja ya mwanaume (nguvu za mwanaume)? Swali linarudi kwako,
Sikazi fuvu mkuu, ninakusoma vizuri sana, tatizo madai yako hayana ushahidi mkuu.simaanishi unakua mwanamke kijinsia au wanaume wanaanza kukugeuza au unageuka unakua mwanamke miaka yako yote, wewe tatizo unakaza Fuvu mkuu,
Hicho ndicho nilikua nakuomba muda wote mkuu, rejea tu basi.Kuna kitabu nilikisoma mwanzo mwisho ndio kilikua kikitoa hayo maelezo, ngoja nikitafute ntakuwekea hapa au ntaku-direct kwa muuzaji na wewe ununue usome
Nakuelewaje mkuu na unazua madai mazito ya kuzua taharuki bila ushahidi wowote?Km haujaelewa na hii basi utakua una kichwa kimoja kizito mno niishie hapa,
Weka majina ya vitabu ulivyosoma na waandishi wake mkuu.Kwa taarifa yako makala nilizozisoma waandishi na waliofanya tafiti hizo ni hao hao Wachina na Wazungu, una kingine nikusaidie mkuu?
Nakupa home work ingia Google andika taiji alafu fuatilia kiundani, km wewe ni mwanaume km wewe ni mwanamke pita kushoto,
References:Weka majina ya vitabu ulivyosoma na waandishi wake mkuu.
Usianze na chochote endelea kuzifuga mbegu zako,Je sisi watawa ambao hatijawai kuonja tunda mnatushauri tuanze na Nini kati ya Punyeto na real sex?
Za kwako umezifuga ziko lita ngap mpaka saivi[emoji23]Usianze na chochote endelea kuzifuga mbegu zako,
Nimekuelewa vizuri sana. Yule ni hovyo kutokana na maneno yake sometimesNimependa bandiko...lakini Bora ungeelezea hoja zako vizuri bila kumtaja Zakir Naik, maana ni boya mmoja asiyejua kupangilia hoja yoyote.
Hapo amesema punyeto sawa ila sio ile ya kuangalia porno, kwanini?
Haya ndiyo mambo ulitakiwq fanya muda wote na natumai wanazungumzia jinsi gani ME anakuwa na tabia za kike baada ya kupiga nyeto na kushiriki tendo la ndoa.References:
1. How To Master The Art of Femininity Without Giving Too Much In Your Relationship by Kim Postell
2. The Secret of The Masculine & Feminine Energies: A Guide to Healing Relationships Paperback - October 25, 2010 by Tanya Copprue
3. The Divine Feminine Journal: Inspiring Prompts and Practices to Reconnect to the Wisdom, Power, and Energy Within by Alisha J. Flecky
4. Getting To "I Do" by Dr. Patricia Allen
Anza na hivyo mkuu, au nikuongezee vingine? Km unataka nikuongeze sema niongeze vingine, nitakuongeza
[emoji392][emoji3576] me pleaseMkuu nashukuru nina almost two weeks bila punyeto natamani sana nisijerudia..
Naitwa Mbaga JrWe jamaa nimesha kufahamu
Sawa mkuu ntakuwekea vingine kadri mda utavyoniruhusu,Haya ndiyo mambo ulitakiwq fanya muda wote na natumai wanazungumzia jinsi gani ME anakuwa na tabia za kike baada ya kupiga nyeto na kushiriki tendo la ndoa.
Kama unavyo vingine vya madai husika wala usisite kuviweka hata vifike 700.