Stupid you! Mwambie amuulize mama yako ampe ushauri

punyeto ni ugonjwa sawa na kula madawa ya kulevya so acha kumtukana mgonjwa anahiyaji msaada kama huwezi kaa kimya anaeudirudia kwa sababu anekua addicted
 
msameheni huyu hajui hiyo ni ugonjwa ea kisaikolojia kurudiarudia no kitokana na addiction sawa na madawa ukila mara kwa mara huachi tena

Ni kuendekeza tabia mbaya, huwa sikubaliani na mazoea mabaya halafu jamii kuyahalalisha ati ni addiction! Madawa ya kulevya ni mtu kuyaendekeza. Ukimwi ni mtu kuendekeza uzinzi (ukiacha wanaopata kwa njia ya damu, sindano and the like)
 
Naombeni ushauri wenu wakuu, me ni kijana wa mika 20 sasa but nimeshndwa kutmza hata wiki bila ya kutopga punyeto. Nifanyeje ili niache hii tabia mbaya. Nisaidieni plz.

pole sana kk unaweza kuacha kwa kujipangia ratiba ngumu ili uwr busy achana na hao wanaokutukana
 
Ulaaniwe, ufe una faida gani duniani, uchafu mtupu! Ulaaniwe tena na tena, shetani mkubwa Lusiferi mwana haramu!

Acha upu..mbavu wewe!! Msaidie mwenzio. Hakuna mtu kwenye dunia hii ambaye hajwh kupiga punyeto, labda watoto... mpe tu ushauri jinsi gani wewe mpaka sasa hivi hujawahi kupiga punyeto na umetumia njia zipi.. sio unatoa laana za kijinga jinga..
 
Acha upu..mbavu wewe!! Msaidie mwenzio. Hakuna mtu kwenye dunia hii ambaye hajwh kupiga punyeto, labda watoto... mpe tu ushauri jinsi gani wewe mpaka sasa hivi hujawahi kupiga punyeto na umetumia njia zipi.. sio unatoa laana za kijinga jinga..

Acha sweeping statements! Kama umepiga ni wewe, usiwasemee wenzako. Sema unapiga/uliwahi etc, not Tulipiga! Jisemee wewe. Usiseme hatuna pesa, sema sina pesa!
 
mbona ni ya zaman sana....had Leo ashaacha
 
nani kakwambia punyeto mbaya?
kuwa na gf sio solution, hata ukiwa naye utakuja kuelewa kwamba at some point utapiga tu punyeto, peke yako au na mwenzako...kuna blowjob, fellatio, cunnilungus, finger techs etc, zote ni punyeto.
sugua mwana!

We una pepo! Ndo ushauri gani uwo sasa? Punyeto ni mbaya sana.
 
Jitahdi sn kujiepusha kuwa peke yko mda mrefu ukiwaza mambo ya ngono, fanya sn ibada na jiepushe kuangalia movie za ngono, ukishindwa kabisa tafta mpenzi japo ushahdi upo hata walio oa bado wanapiga nyeto kikubwa uwe na hofu na mungu.
 
haya majibu zi ya kiungwana. Watu wankosea na Mungu anasamehe, wewe nani umhukumu?
 
Naombeni ushauri wenu wakuu, me ni kijana wa mika 20 sasa but nimeshndwa kutmza hata wiki bila ya kutopga punyeto. Nifanyeje ili niache hii tabia mbaya. Nisaidieni plz.

Ni PM na namba yako nikupe ushauri jinsi ya kuondokana na shida yako Kijana.
 
*CHUACHAKARA* Nimekudharau sana kwa upuuzi uliouonyesha humu...Huna mamlaka ya kulaani...pamoja na hayo mleta Uzi namwita Ana akili Kwani amegundua kosa lake na kuona hawezi kulitatua kaja omba ushauri we nawe eti ulaaniwe...who are you to curse your fellow human? Zirudishe akili zako sehemu yake
 
Ipo hii inazunguka kwenye group moja la Whatsapp huko. Watu wengi wanakiri kuwa madhara yaliyotajwa ni ya kweli kabisa na kuna mpaka ambao eti walifeli mitihani mashuleni na vyuoni kwa kuendekeza hii kitu.

Kama tineja wengi, mimi pia nakiri kuwa nilipitia hii kitu enzi za boarding form two. Hata hivyo nilikuja kuacha baada ya kujifunza kuwa bize wakati wote hasa nilipojiunga na timu ya mpira wa miguu. Yaani mazoezi na mechi zinachosha balaa na mtu ukirudi huna hata tamaa ya kujaribu hii kitu. Na hiyo ikajifia yenyewe na nashukuru haikufufuka tena.

Lakini nina wasiwasi kama kweli madhara yote haya ni ya kweli.
Kama ni ya kweli basi vijana wetu hasa ambao wako addicted watakuwa na shida huko mbele ya safari.

Samahani kama nimemkwaza mtu/nimevunja sheria/nimeweka mahali pasipo pake...


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…