Wee jamaa unauhakika na hayo uliyo yasema ???
 
Pepo la nyeto lina nguvu sana mkuu huwezi acha kirahic mpaka ujiweke karibu sana na Mungu
 
Wee jamaa unauhakika na hayo uliyo yasema ???


Nina uhakika sana mkuu....kule Kinondoni (Dar) kuna mbaba mmoja aliwahi kuanguka chooni na kupoteza fahamu akiwa anajichua. Alipopelekwa hospitalini na kufanyiwa uchunguzi wa kina alionekana kuwa alikuwa na baadhi ya mishipa ya kichwa inayopeleka damu kwenye ubongo iliziba. Vile alivyokuwa anapiga punyeto na kuwa na fikra pevu (kuwaza demu au mnyama kwa ajili ya nyeto) ile mishipa ikafumuka ghafla na kupeleka damu kwa kishindo kichwani, jamaa akaanguka na kupoteza fahamu. Punyeto bwana ina raha na madhara yale kama vitu vingine tu.
 
Great advice broo
 
Wadau hivi ku(bold) au kuandika kwa (italics) unafanyaje? Kwa anayejua msaada apo tuachane na mambo ya punyeto
 
moja ya madhara ya punyeto kwa mwanaume nikushindwa kuzalisha..!? mh..!?? sa mbona wanitisha mkuu.. mimi ilikuwa ndio mchezo wangu mkuu lakini toka nilipo owa mwezi mey 2016 hadi leo mke wangu haja nasa ujauzito lakin tendo namfanya vizur.. embu nielimishe mkuu sinto weza kuzalisha daima ama kunatiba inabidi nitumie kwanza..?
 
Natumai mu wazima was afya,
Siku hii ya Leo na maalumu kabisa kwa Wapendanao. Valentine's.. Kwa Mara nyingine naandika uzi huu, nikiwa na lengo madhubuti la kuelewesha huu ya Punyeto na dawa za kuongea nguvu za kiume.

Katika maisha ya mwanadamu, raha kubwa zaidi kuliko zote huwa inapatikana wakati was Orgasm ( Kufika Kileleni) wakati wa tendo la Ndoa. Kutokana na sababu mbalimbali, pamoja na hali ya ujana. Vijana wengi huitafuta hiyo hali ya Orgasm kwa njia ya Punyeto kwani huwa haina gharama ukilinganisha na swala la kuwa na mwenza wa jinsia tofauti.

Tabia ya upigaji Punyeto, hutengeneza hali ya kuwa addicted ,yani kama watumiaji wa madawa ya kulevya, sio rahisi kuiacha.
Baadhi ya madhara ya Punyeto, ni kuharibu mfumo mzima wa nguvu za kiume, na hata kupelekea uume kushindwa kabisa kusimama pale unapokuwa na mpenz wako.

Katika hali hiyo, Viagra hutumika kama njia ya mda ya kutatua tatizo hilo, lakin madawa haya ,yamekua hayatibu kabisa tatizo hadi likaisha, badala yake huzidi kudhoofisha nguvu za kiume.

Kwa wale wataalamu, naomba mtusaidie kujua namna ya kutatua madhara yatokanayo na Punyeto (Kushindwa kusimamisha uume) na madhara yatokanayo na Viagra.

Nawasilisha,
Benylin M
 
Sor kwa typing error , mambo ya smartphone. But let's talk on the topic theme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…