maadhimisho ya kitaifa kufanyikia wapi [emoji30]
aisee nyie chaputa acheni huu mchezo mtalemaa
 
Hongera vizuri TANZANIA BILA PUNYETO INAWEZEKANA ukiamua unaweza
 
Duh! Mkuu kwanza kabisa shukran saana kwa Uzi waaako uliotulia.
Pili nina kitu cha kukuuliza mkuu!
1)Asali lazima iwe mbichi au hata iliyochemshwa
2)Mdalasin wa kutwanga mwenyewe au uliosagwa tayar(kutoka kiwandan)
3) Iv n kweli ukichemsha maji ya moto ukatafuta kitambaa lain ukawa kana kwamba unaikanda mishe, et inasaidia misuli yaake kimalika na mishe kuongezeka Ukubwa?

Ntashukuru kwa ufafanuzi waako mkuu
 
Swadakta Mkuu... [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mungu akuzidishie na akupe moyo wa uvumilivu ktk jitihada za kuwasaidia watu.
 
asante mkuu!
kuhusu maswali yako nitayajibu kutokana na experience sio kitaalamu. wataalamu watakuja kuongezea
1.asali mbichi inasemekana ni nzuri zaidi kuliko iliyochemshwa, mwenyewe natumia mbichi coz inakuwa na virutubisho vyote muhimu haijachakachuliws.
pia kuna asali ya nyuki wadogo na wakubwa, hapa nakushauri tafuta ya nyuki wadogo japo bei yake IPO juu.
2.mdalasini wowote ule ilimradi unavyoutumia uwe katika ungaunga, ko ukitaka kutwanga mwenyewe powa, uliotwangwa toka kiwandani ni sawa pia. kinachomata ni unga.
3.aisee hii njia sijawahi kuitumia japo kuna watu nimeona wanashauri hivyo ila binafsi sijawahi kuthubutu,, labda tumwombe Mzizi mkavu na wataalamu wengine watusaidie
 

Cc MziziMkavu
 
Mkuu Hongera ulivyo sema vyote ni sawa hakuna kitu cha kuongeza hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…