Kata tupa kuleeeee. Ya nini kujitesa mkuu. unaweza tu kuwaruhusu wengine wachomekee huko kwingine utaona raha tu. Pumbaaf wenzio tunawaza wizi huu mkuu uliotokea Tz weye unawaza kupumuliwa
 
Pole sana kwa hilo tatizo, ni kweli suala la punyeto ni tatizo kwa vijana walio wengi. Kwanza nakupongeza kwa kuamua kujieleza ni hatua nzuri ya kushinda huo mitihani. Moja usipende kukaa mwenyewe muda mwingi hasa kukaa mwenyewe chumbani, pili acha kuagalia mikanda ya x, picha za uchi, au kutembelea tovuti za ngono, tatu muombe mungu sana akusaidie ili hilo shetani liweze kuondoka, nne epuka story za kimapenzi hasa unapokaa na washikaji zako hapo utawin kwa asilimia kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…