Pole. Inawezekana hilo puli limekuepushia mengi pia!
 
dah! Dogo ulikosea sana kuanza kujibandua mkono....anyway subili wataalamu waje.ila unaweza kufanya maamuzi magumu ya kuweka msimamo wa kukataa kufanya ushenz huo
 
Unaweza ukashindwa kuacha moja kwa moja cha msingi jaribu kupungua idadi ya hiyo tendo kwa siku hadi wiki na baada ya mda utaona mabadiliko.then usipende kuangalia vitu vitakavyokupa hamu ya mapenzi kama vile kuangalia picha na video za ngono.nadhani baada ya muda fulani utabadilika
 

nashukuru mkuu
 
pole just set it ino your mind kwamba unataka kuacha kisha chukua hatua katika hili. pia ondoa mawazo ya ngono kichwani mwako. kuhusu nguvu kupungua hebu mp MziziMkavu atakusaidia.
 
Last edited by a moderator:
lkn tuache utani puli tamu hata mimi nimepiga sana enzi nasoma secondary lkn baada ya kujua madhara yake niliacha kabisa hata wewe ukiamua kuacha unaweza kabisaa.
 

Acha kujutia kama vile umefanya kitu kibaya sana hapa duniani,hicho kitu ni watu wengi sana wanafanya,ila kwakuwa linafanyika faragha sana ndio maana ni vigumu kubaini nani anafanya na nani hafanyi,huyo anyekwambia kwanini ulikurupukia hiyo kitu badala ya wanawake naye pia hana busara kwani kama ni swala la dhambi zote ni dhambi mbele za Mungu hivyo hakuna cha afadhali,ushauri wangu ni kuwa punguza taratibu hiyo idadi kwa siku,kwa wiki na hatimaye kwa mwezi mpaka utakapoacha,jaribu kuutumia muda wako mwingi kutokukaa peke yako na pia epukana na mawazo ya ngono,fanya mazoezi ya kutosha inasaidia sana kuchangia kuachana na hiyo tabia.
 
Umekumbana na tatizo gani mpaka unataka kuacha?
 
pole sana ndugu, muhimu ni kujitahidi kuwa bize na masomo yako (kama ulivyosema nafikiri bado unasoma) kazana sana na masomo yatakukeep bize, na usipende kukaa peke yako, wala kuangalia movie za ngono. pia jaribu kufanya mazoezi, na kumkumbuka Mungu wako, weka nia halisi na atakufanyia wepesi Inshaallah!
 
1...apa kwamba hutopiga tena punyeto, na kila utakapojaribu kufanya hivyo kumbuka kiapo chako.2...soma madhara yake, mfano kupoteza nguvu za kiume, kutopenda wanawake, pia ni dhambi. Kisha uamue kama unapenda hayo yakutokee basi endelea, kama hupendi acha.3...epuka kukaa peke yako bila shughuli za kufanya. Kama ulivyoamua kuanza kwa kotojua, baada ya kujua sasa unaweza kuacha.Uimara wa afya yako upo juu yako.
 
Tafadhali usiache,wewe endelea lakini ukiona nguvu zina pungua tafuta mwaname(Basha) awe anakuchezea huku unapiga pull siyo akuingilie hapana awe anakutekenya.
 

sawa mkuu
 
puli noma, kama hujai fanya usijaribu kabisa, inachangia kwa kiasi kikubwa upungufu wa nguvu za kiume.
 
Tafadhali usiache,wewe endelea lakini ukiona nguvu zina pungua tafuta mwaname(Basha) awe anakuchezea huku unapiga pull siyo akuingilie hapana awe anakutekenya.

Bila shaka ww una basha, cku zote mshauri anashauri kutona na uzoefu, toa ushauri ukishindwa hacha.
 
Tafadhali usiache,wewe endelea lakini ukiona nguvu zina pungua tafuta mwaname(Basha) awe anakuchezea huku unapiga pull siyo akuingilie hapana awe anakutekenya.

huyu atakua ni shoga bila shaka
 
Nadhani unaweza kupunguza tu kwa sababu tatizo limekuwa chronic.
 
Hahahahha mkuu wasikudanganye....iyo mambo huwezi acha.....iyo kitu nimeifanya pia tangu form moja na sasa nipo chuo....utapunguza tu ila uwezi acha.....lakini mbona kama unaifanya nyeto kitu kibaya....wataalam wa mambo wanashauri kutumia iyo kitu kuzuia hasara za ngono.....kama zipi endeleza tu kujichua.....wala usijione mwenye hatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…