Mi mtu mzima bana sihitaji vijana!hahahahahahhaha mb*** zote hizi???? hapo mtaani vijana wameisha
Mi mtu mzima bana sihitaji vijana!
.
.
Hii kitu sio kama unakuwa umekosa mb*** au mbunye. Ni tabia tu ambayo ikikuingia kuacha inakuwa ngumu. Ni tabia mbaya ila basi tu..
Asante [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]duuuhhhhhhhh poleee
Acha upuuzi wakoKumbe tukiwa tongoza mna tukatalia afuu mnaenda kushiriki ile mi chezo yenu ...na kujiingizia matango heh!!!!!
Aseeeeeeeeeeeeeee
Asante [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaah... Nani kakuambia mimi ni mwanamke.!?
wazee wa puchu mkujee kuna ujumbe wenu
So hata kupiga mashine sana ina madhara?
Je,kufanya mapenzi si punyeto tu,in and out unapata msuguano mpaka unamwaga?
Umerudisha kadi?
Na ni kwanini mnajaribu kujiengua bila kufuata protokali za Chama?
Kabla hatujaitisha kikao kikuu cha wajumbe ninakuomba uonane na uongozi ngazi ya kata, wilaya kisha Mkoa kwanza hasa na katibu mwenezi wa Mkoa.
Itifaki izingatiwe.
Wako, katibu wa CHAPUTA, Taifa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Punyeto tamu shostii ataachaje
Hao watakuwa kimbilio langu mimi hapa.., nasubili nijiimalishe kimwili. Kwa kufanya mazoezi sasa..,
habari ndio hiyo...
Unatakiwa uiheshimu punyeto daima na unafaa kua kiongoz wa kitaifa wa chama chetu...Puchu ilinifanya nipate division 1 form 4. Div one form six. First class chuo kikuuu. Mfanyakazi bora mara mbili mfululizo.
Wewe wa vidole tuhahaaa labda situmii hizo [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa mwanake kunamadhara kufanya punyeto??Hii ni baada ya kuona madhara yake
1. Goli moja chalii
2. Mwili kudhoofu ,
3. Uti wa mgongo kuuma
4. Mawazo kedekede ,
5. Kuchukia wasichana walio nikataa kushiriki nao tendo
6. Matatizo ya akili kama mwendawazimu
Ni hayo tuu ila mengine nimeyaacha maana siyo mazuri
Baada ya yote ninapenda kushukuru kwa yote hasa wale girls walo nitosa na kupelekea mimi kuji-selfie. Ndugu zangu wanaume ACHANENI NA PUNYETO NI HATARI SANA KWA AFYA.
Ni hayo tuu kwa leo.