Mkuu huku jf tunamalizia stress zetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Tz hii...
Ni mungu tu anatulinda
Huyo binti ndio alikuwa akitaka maana ya hiyo nenoPOPOMA linamaanisha Mtu ' Mpumbavu ' tena ' aliyetukuka '. Sijui una swali jingine tena Mkuu ili nikujibu mubashara?
CC: BIGstallion.
Ole wako hii picha utumie kupigia puchuMtoto mkali hongera [emoji1303]
Huyo binti ndio alikuwa akitaka maana ya hiyo neno
Wewe under wearUnder 18
Maana yake nalijua sababu wote uliokuwa ukiwaita popoma hawakuacha kukunanga na kuna mmoja alikuita popoma pia ulimnanga vya kutosha kwa kumwambia kuwa popoma shangazi yakeKwahiyo na Wewe umekubali kabisa kuanzisha ID yako kwa neno langu pendwa la POPOMA likuwa na maana ya Mtu Mpumbavu? Ungeniuliza kwanza maana kabla ya kuanzisha ID ya neno ambalo kumbe hata Wewe mwenyewe ulikuwa hujui maana yake? Pole sana Popoma.
Ni kweli mkuu ila usiombee yatokee hayoinaonekana umepata manzi mzuri unaempenda... cku mkiachana utaleta thread humu aisee,.
Mkuu nakuomba ukajikumbushe kuandika kwa ufasaha halafu uniulize swali lakoHbr ya asubui,Jibu langu,..!?
HahahahahhaahaaaNitafufua kadi ya zamani
Mkuu nakuomba ukajikumbushe kuandika kwa ufasaha halafu uniulize swali lako
Maana yake nalijua sababu wote uliokuwa ukiwaita popoma hawakuacha kukunanga na kuna mmoja alikuita popoma pia ulimnanga vya kutosha kwa kumwambia kuwa popoma shangazi yake
Maana yake nalijua sababu wote uliokuwa ukiwaita popoma hawakuacha kukunanga na kuna mmoja alikuita popoma pia ulimnanga vya kutosha kwa kumwambia kuwa popoma shangazi yake
[emoji1] mafutaSasa je!?,...najua ni mtu unaejiamini sana na upeo mkubwa tu
Sijakuelewa mkuu[emoji15][emoji1] mafuta