yaah ni lazimq atakua amepiga sana punyeto na hayo ndo moja ya madhara yake,asipokua na moyo wa dhati wa kuacha hiyo kitu tambua ilo tatizo halitatoka,punyeto huathiri misuli ya kusimamisha uume hivyo kukupa fedheha na aibu kwa dem mpya.*niwaase vijana wenzangu kama unapiga punyeto mpk sasa acheni huu mchezo usisubiri ukumbwe na hz fedheha ndo uache,mm ninayeongea haya sijasimuliwa nimekumbwa na ili tatzo,juhudi na gharama nilizotumia kurejesha uimara wa uume wangu ni kubwa sana hivyo sipendi nawe yakukute*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Asante mkuu kwa ushauri mzuri
 
Mkuu umeongea kwa uchungu sana. Hebu tupe historia yako toka unaanza mpaka unakuja kuacha punyeto, ili na sisi tujifunze
 
Mkuu punguza hofu kabisa. Hiyo hali ni very common sema wanaume tunajifanya ni better than anyone ndo maana wachache sana wanaweza kufunguka kama wewe. Yani isikuumize kichwa hata kidogo.

Mara nyingi ukiwa umepania au ukiwa super excited misuli ya mashine inashindwa ku-relax na kuruhusu damu iingie na kuifanya iwe ngumu. Inabidi utulie kwanza na kama inawezekana lala na mpenzi wako kidogo mkiwa mnazungumza mabo ya hapa na pale na kushikana kidogo. Usifocus sana kwenye kuchomeka na kuanza mechi.

Narudia tena, hiyo ni very common na usijaribu kabisa kuihishisha na punyeto kwani punyeto haina uhusiano wowote na hiyo hali. Pigeni hata story za hapa na pale kabla ya mechi ili akili yako iwe sawa na upunguze anxiety.So, usiwaze mkuu. Umekamilika ndo maana mashine inasimama wakati wa punyeto, otherwise ungekuwa na shida hata wakati wa punyeto ungekuwa unashindwa kusimamisha.

Na wakati mwingine inatokea sana pale unapokuwa na mpenzi mpya kwa mara ya kwanza kwasababu mnakuwa hamjazoeana na wewe unaingia na mindset ya kusimamia show kisawasawa ndo maana kila muda unapoenda unaona mashine inachelewa kuinuka basi unaendelea kupanic zaidi. Ninauhakika next time utaenjoy vizuri tu. So....relax!!!
 
Exactly mkuu!! Tena asijaribu kabisa kuhusisha na punyeto hata kidogo kwani ataingia gharama za kipumbavu kutibu tatizo ambalo si la kimaumbile bali la kisaikolojia . Alikuwa anxious sana kwakuwa ni mpenzi mpya, that's all!
 
Mkuu umeongea kwa uchungu sana. Hebu tupe historia yako toka unaanza mpaka unakuja kuacha punyeto, ili na sisi tujifunze
mkuu nilishaifanya hiyo kitu kwa miaka kama 10(kipindi icho chote nilikua nikipata show napiga haswa)ils tatizo liliibuka mwaka jana ambapo ilikua ukiwa na kimwana mashine inasimama but kwa muda mfupi mno yan ile unatak kupelek moto inalala ziii,hiyo inapelekea kudharauliwa sana hasa product ni mpya na si ajabu ukawekwa kundi la dimpoz,kiukweli iliumiza sana and nilipo-seek proffessional advice,i was questioned if i have ever masterbate in my lifetme?jibu n ndiyo ndipo nilipoambiwa hatua moja ya msingi kutibu ili tatzo ni kuach kabisa masterbation kisha taratibu zingine za kurejesha uimara zianze,kiukweli kuiacha ile kitu sio rahisi ila kwa ila kwa ile fedheh kama hutaweza kuacha basi utakua zaid ya shetani,afterall nilifanikiwa kuacha na kufanya hatua zote zilizohtajika kurejesha heshima iliyopotea nashukuru nimerevover vema sana,kwa sasa naiogopa punyeto zaid ya mawakili wa serikal na mago wanavomuogop lissu,ewe kijana ama mzee unayeendelea na huu mchezo jitahd kuacha huu mchezo kabla hujakumbwa na fedheha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tehetehetehe mkuu umenichekesha sana ulivyosema unaweza kuwekwa kwenye kundi la kina dimpoz...

Kwa hiyo mkuu baada ya kuacha ulirudishaje uimara wako kama mwanzo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…