Watanzania ni wachache wanaulekewa wa kuangalia mambo kwa kina ila wengine ni wajinga au wapumbavu kama asemavyo mkapa bado mnadhana potofu sana vichwani mwenu.

Ndo maana mabadiliko na maendeleo mtayasikia nchi jirani kwa huu ujinga hata jambo dogo hamuwezi kulidadavua.
 
Naona Mtoa Mada Hajaeleweka Kabisa. Me Naona Alikuwa Na Lengo Zuri.
Lakini Kwa Sababu Tumetofautiana Uelewa Ndo Yametokea Hayo
Hata hatujayofautiana uelewa huo Uzi unamfundisha nini tineja nyie wanaume ndo vinara wa nyuzi za ajabu JF eti wapiga punyeto tukutane.
 
Uzi upo clear kabisa, kwamba kwa yeyote aliejikwamua kwenye sakata hili aweze kutoa facts zilizomsaidia kujikwamua ili asaidie na wengine, vile vile raia watoe hasara za janga hili ili mwisho wa siku kusaidia jamii nayo ijikwamue.

Ndo nilivyomuelewa mtoa UZI, so uzi umetolewa kwa lengo zuri tu. KUSAIDIA
 
Hivi we mwanamke unajua hata kusoma?? Umesoma uzi unataka nini na umeulewa????
Naanza kukudisvalue kwa kuto elewea vitu vidogo. Naona IQ yako imesfhuka umekuwa kama DEMISS sasa. Hebu soma uzi kisha njoo na maoni
Mkuu kwanza heading ya huu uzi mleta mada ni kama unahamasisha..mada yake ya ndani amemake sense..ila sasa wachangiaji wameanza kutoa mbinu nzuri kupiga punyeto..sasa hapo kuna haja gani ya huu uzi..Uzi ungekuwa maybe"Njia ya kutoka kwenye mustarbation addiction" atleast ingekuwa sawa...
 
Hivi we mwanamke unajua hata kusoma?? Umesoma uzi unataka nini na umeulewa????
Naanza kukudisvalue kwa kuto elewea vitu vidogo. Naona IQ yako imesfhuka umekuwa kama DEMISS sasa. Hebu soma uzi kisha njoo na maoni
Mbona una hasira hivo nimesoma na nimejibu hivo vinyuzi vya punyeto mwanaume mzima kuanzisha huoni aibu, au hamkwenda jandoni.
Wewe Mimi Niko vzuri sana tu nimeelewa ila mada za kipuuzi ka hii isiyo na kichwa wala miguu nawashushua Mpaka mkome.
 
Tatizo watz wng hatuelewi mada wengi husukumwa na mihemko kuliko akili,mtoa mada anakosa gani.alichotaka mtoa mada ni kuchangia mawazo mbadala hili wenye mchezo huo waache,badara ya kutoa wazo mnamshambulia,kuweni na akili kidogo
Tunashambulia ujinga wake mada nyingine ni below level ya great thinker kwahyo wewe huwezi acha punyeto Mpaka wengine watiririke humu.
 
Nyeto haina shida yeyote...

Hujui uliza.
Haina shida ila vingine baki navyo mana kusema unazalilisha ubongo wako tu. Hivi unafikiri wanawake hawafanyi, ulishawahi ona wapi wanawake wanaanzisha vtu vya ajabu ka si nyie wanaume.
 
Hata hatujayofautiana uelewa huo Uzi unamfundisha nini tineja nyie wanaume ndo vinara wa nyuzi za ajabu JF eti wapiga punyeto tukutane.

Mbona kama unaisimamia thread..!!?

Mimi ni katibu wa CHAPUTA Kanda ya kati..

So please. Utuache.

Na kama huamini nitafute uone ntavyokusugua.
 
Nilipiga tubao tuwilibtwa nyeto nilitoka bafuni natambaa ka mchoko
 
Uzi unachefua huu full utoto ujue JF kuna nyuzi hata Facebook na utoto huo hamna kah. Najua JF kuna watu wazima wengi, bado kuna atakayekuja wale wanaotindua tigo tukutane hapa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kama Uzi Unakuchefua Kuna Haja Gani Ya Kuuangalia. Ukikutana Na Wa Ivo Upotezee.
Mara Zingine Hata Uongee Humu Kama Mtu Mwenyewe Hajaamua Hawezi Kuacha.
 
Mbona kama unaisimamia thread..!!?

Mimi ni katibu wa CHAPUTA Kanda ya kati..

So please. Utuache.

Na kama huamini nitafute uone ntavyokusugua.
Sio naisimamia natoa comments tu.

Mi ndo ctaki kabisa mazoea ya kijinga ya mwanaume asiye na mipaka kuandika hadharani vtu vya aibu, maana ni lack of self control I'm sorry
 
Haina shida ila vingine baki navyo mana kusema unazalilisha ubongo wako tu. Hivi unafikiri wanawake hawafanyi, ulishawahi ona wapi wanawake wanaanzisha vtu vya ajabu ka si nyie wanaume.
Ajabu kivipi...

Kama ni ajabu ni kwako..!?

Nyie mbona mko bize na madildo...
 
Kama Uzi Unakuchefua Kuna Haja Gani Ya Kuuangalia. Ukikutana Na Wa Ivo Upotezee.
Mara Zingine Hata Uongee Humu Kama Mtu Mwenyewe Hajaamua Hawezi Kuacha.
Siupotezei ng'o kwani Mimi nimemwambia mtu aache maana naona ni Uzi usio na hadhi ya kuwa jukwaa hili maana akiongea form one sawa ila sio watu wazima wenye ndevu ka kambale.
 
Ajabu kivipi...

Kama ni ajabu ni kwako..!?

Nyie mbona mko bize na madildo...
Ila hatujajitangaza mana ni kitu kisicho cha kawaida, sasa dume zima huoni aibu,
 
Sio naisimamia natoa comments tu.

Mi ndo ctaki kabisa mazoea ya kijinga ya mwanaume asiye na mipaka kuandika hadharani vtu vya aibu, maana ni lack of self control I'm sorry

Sasa unamuamulia muanzisha uzi cha kuandika..

Kama kitu kimekuboa pita kimya.

Nyeto ni selfie,safe,satisfactory,timeless...

CHAPUTA Woyeeeee....
 
Mbona umekuwa mkali dada mzuri?
 
Sasa unamuamulia muanzisha uzi cha kuandika..

Kama kitu kimekuboa pita kimya.

Nyeto ni selfie,safe,satisfactory,timeless...

CHAPUTA Woyeeeee....
Sipiti ng'o mwanaume mzima hana self control analeta utoto JF mleta mada hujakua akili njoo nikufundishe uache tabia za kutokujielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…